igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,590
- 3,346
Sasa hiyo ni planning ya wapi? Yaani ujenge vituo 220 halafu popo hawamie mpaka utakapo pata pesa nyingine? Kwa nini usijenge vituo 100 full furnished with vifaa tiba na wataalamu?? Hapo ndiyo unaanza ku smell matango pori...Haviwezi kuanza kufanya Kazi mwaka huu labda hadi bajeti ijayo ndio watenge pesa ya Vifaa tiba,vitenganishi,madawa,ajira mpya nk ila kwa mwaka huu lazima wakamilishe majengo ya awali kuwezesha huduma kutolewa.