Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,905
Huwezi weka tozo huku unaharibu uchumi,mama kaweka tozo kwa sababu uchumi unaenda juu,Mazao yanatoka kuanzia mbaazi hadi pamba ,vyote hivyo vilianguka kipindi cha Magu.Magufuli aliweka tozo na kutumia tozo, tumia parameters sahihi kufananisha watu. Hivi Magufuli angetumia huu mfumo tozo mtozoe SGR na Bwawa ingekuwa mukidemukide. Hao wamechota hazina sasa namna bora ya kujiendesha ni utopolo wa kitozo tozo
Magu alichojua ni kuzozana na majirani tuu kama Kenya mwisho wa siku parachichi,mahindi nk vikadoda sokoni huku anajitutumua na propaganda za kijinga eti vita vya kiuchumi.
Sasa hivyo vita vya kiuchumi vinakupeleka chini zaidi vina faida gani?