Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,066
2,000
Hivyo 9% vilivyojengwa na magufuli vinatoa huduma,vipi kuhusu hivyo 43.4% vinatoa huduma wapi?
Kwa taarifa yako vinavyotoa huduma ni vile ambavyo alivyokarabati,vipya vyote hadi anakufa alikuwa ndio kwanza yuko kwenye mchakato wa kuajiri watumishi wa Afya,kiufupi wameajiriwa juzi na akini Ummy.

So kwa wastani by 2025 mama anaweza Jenga vituo vya afya 800-1000 sio mchezo.
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,066
2,000
Magufuli aliweka tozo na kutumia tozo, tumia parameters sahihi kufananisha watu. Hivi Magufuli angetumia huu mfumo tozo mtozoe SGR na Bwawa ingekuwa mukidemukide. Hao wamechota hazina sasa namna bora ya kujiendesha ni utopolo wa kitozo tozo
Huwezi weka tozo huku unaharibu uchumi,mama kaweka tozo kwa sababu uchumi unaenda juu,Mazao yanatoka kuanzia mbaazi hadi pamba ,vyote hivyo vilianguka kipindi cha Magu.

Magu alichojua ni kuzozana na majirani tuu kama Kenya mwisho wa siku parachichi,mahindi nk vikadoda sokoni huku anajitutumua na propaganda za kijinga eti vita vya kiuchumi.

Sasa hivyo vita vya kiuchumi vinakupeleka chini zaidi vina faida gani?
 
Galileo_Gaucho

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,493
2,000
Kwa taarifa yako vinavyotoa huduma ni vile ambavyo alivyokarabati,vipya vyote hadi anakufa alikuwa ndio kwanza yuko kwenye mchakato wa kuajiri watumishi wa Afya,kiufupi wameajiriwa juzi na akini Ummy.

So kwa wastani by 2025 mama anaweza Jenga vituo vya afya 800-1000 sio mchezo.
Watengeneza video na tv ya wizara tuoneshwe kama ReliTv ya mwanantala, isiwe maneno
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
14,101
2,000
bila ya tozo amejenga vingapi
Hawa watu wapuuzi sana, wakati wana introduces VAT wakasema inaendaa kujenga shule hospital, wakalet Road tall wakasema wanaenda kujenga shule hospital, wakaleta Road licence maneno yaleyale. Leo wameleta tozo za miamala wanaenda kujenga yaleyaĺe, wameshatuona watanzania hamnazo
 
Detective Cpl

Senior Member
Jul 21, 2021
198
500
Kudanganya wapi? Katia Takwimu halisi za Serikali hapo juu, Jafo kasema 350 less 210 Unapata 40,,kwa kipindi jafo anatoa taarifa hivyo 40 ndio vipya na vikivyobakia ndio vikarabatiwa kwa kuongezewa majengo.

Ila hadi wanaondoka ndio ilikuwa jumla 387 less 44=343
Unajua kusoma na kuandika?
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
6,241
2,000
Hizi story kutoka chama Cha magaidi(ccm),usiziamini sana,
Kipindi Cha mwendazake tuliambiwa shirika la Ndege linapata faida,leo tunajua kuwa ilikuwa uhongo shirika lina madeni kibao,
Sasa story za huyu mama,tutajua Zina ukweli ama la,siku akitoka madarakani

Polenta CCM kwa Msiba
 
igogondwa

JF-Expert Member
Aug 1, 2021
1,321
2,000
Huwa najiuliza hivi Kituo cha Afya ni nini?? Majengo? Majengo + vifaa tiba + madawa + watumishi??? Je vituo 220 kama viko tayari vitaanza kufanya kazi lini hasa?? Yaani vinapokamika huwa ni pamoja na vifaa vyote + allocation ya madawa yote + allocation ya watumishi wote??? Naomba kuelimishwa hapa...
 
Haviwezi kuanza kufanya Kazi mwaka huu labda hadi bajeti ijayo ndio watenge pesa ya Vifaa tiba,vitenganishi,madawa,ajira mpya nk ila kwa mwaka huu lazima wakamilishe majengo ya awali kuwezesha huduma kutolewa.
 
Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
4,707
2,000
Kwahiyo unadhani mimi niko malawi kwamba sijui kuna vituo vya afya vipya vinavyotoa huduma?
Kwa taarifa yako vinavyotoa huduma ni vile ambavyo alivyokarabati,vipya vyote hadi anakufa alikuwa ndio kwanza yuko kwenye mchakato wa kuajiri watumishi wa Afya,kiufupi wameajiriwa juzi na akini Ummy.

So kwa wastani by 2025 mama anaweza Jenga vituo vya afya 800-1000 sio mchezo.
 
Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,190
2,000
Hizi story kutoka chama Cha magaidi(ccm),usiziamini sana,
Kipindi Cha mwendazake tuliambiwa shirika la Ndege linapata faida,leo tunajua kuwa ilikuwa uhongo shirika lina madeni kibao,
Sasa story za huyu mama,tutajua Zina ukweli ama la,siku akitoka madarakani
Kuwa na madeni hakuhusiani na kupata faida au hasara kama unalipa kwa utaratibu uliopangwa. Hata m,ashirika mengi yanayopata faida, yana madeni mengi tu, lakini yanayalipa kama ilivyopangwa katika kila mwaka.
 
Ridomil gold

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
1,254
2,000
Hiii ndio JF ya MAXMELO HATARI SANA WATU KAMA KINYONGA PLATFORM YA WATU WENYE MATUMAINI NA KULIA LIA LEO SAMIA ANAUPIGA MWINGI KESHO SAMIA HAWAMUELEWI
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,066
2,000
Mungu tunajua Upo,Msimamie mama huyu kila maadui watafunane wenyewe
Kishindo Cha Samia chapeleka kilio kwa Wakulima wa Kenya 😄😄

Mama endelea kuupiga mwingi 👇👇

Screenshot_20210905-081139.png

Screenshot_20210905-081118.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom