Hayati JK Nyerere alishawishiwa na mataifa ya ulaya kuukataa msaada wa reli ya TAZARA

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
138
China imejidhihirisha kuwa rafiki wa mataifa mengi maskini kutokana na misaada ya hali na mali inayotoa kwa nchi hizo,na nchi nyingi za ulaya na USA zimekua adui wa chini kwa chini wa China.leo kwenye televishen ya china cctv imeonyesha hayati mwl JK Nyerere akikiri kwamba mataifa ya ulaya yalimshawishi akatae msaada wa reli ya TAZARA kutoka china na hayo mataifa yangempa msaada huo kitu ambacho mwalimu alikikataa.sidhani kama viongozi wetu wa leo wangeweza kutoa msimamo dhabiti kama huo.
 
Siku hizi bila kuwa rafiki wa Marekani, unakuwa sio kamili. Everyone knows...and the extent of friendship sometimes is undefined. Wathungu wametushika pabaya kweli, lol!!!
 
Ngoja tuone hili la ushoga itakuwaje??

Niwajuavyo viongozi wa leo wapendavyo kuchakachua na misaada
 
Back
Top Bottom