Hayati Dkt. Magufuli aliwatumia wamachinga ili kujizolea umaarufu wa kisiasa, hakuwa na huruma na wamachinga

Wewe ni poyoyo tu

Wamachinga hata Mzee Mwinyi aliwaacha, Mkapa na Yusuph Makamba akiwa mkuu wa mkoa alishindwa, huyo cha kuzurura ndiyo kabisa hakufanya lolote!

Soko la machimba limejengwa na City council kwa mkopo toka NSSF

Wakati wa JPM machinga wamepata heshima, na aliwaambia wakuu wa Wilaya kabla ya kuwaondoa barabarani tafuta maeneo kwanza ya kuwaweka
Machinga ni sawa walikuwepo lakini sio kama hawa waliopo toka 2015!!huu sasa ni uchafu, machinga gani anajenga banda la zaidi ya milioni tatu juu ya mtalo?city center, (posta)mama anachoma mihogo /chipsi kwa kutumia jiko la pumba?moshi timu timu!!ni mala ngapi wanapangiwa maeneo hawataki wao wanataka sehemu wanazotaka wao na sio serikali inapotaka!!enzi za jk kariakoo ilikuwa ipo kaka sasa,?mgambo aliogopwa kuliko hata jwtz na wamachinga.
 
Kimsingi hawaa machinga ndio nguvu kazi ya viwandani. Endapo viwanda vitashika kasi hawa vijana wote hawataonekana humo barabarani.
Hahaaaaaa!!kwa nchi hii kuna dalili ya viwanda kushika kasi?toka 2015 tuliambiwa kuna viwanda 8000, ambavyo havijafanya lolote na havionekani kwa macho!!hakuna ambaye anawachukia lakini ki ukweli imekuwa kero kwenye miji, nenda mitaa ya kariakoo uwe na gari utake kuingia kwenye mitaa, uone inakubidi uwaombe ili kupitisha gari, wakikataa basi!!!
 
Hizo ni fikra za Bavicha!
Kumbe je fikra zenu ni zipi au fikra zenu ziko huku??bac sewa

2824982_20210530_064208.jpg
 
Tuliyasema haya wakati akiwa hai na tutayasema wakati huu ambao hatunaye.

Kwanza Wamachinga hawakuzi uchumi wa nchi hii kwa kiwango kikubwa bali wanaukuza uchumi wa China, India na Thailand maana huko ndiko zitokazo bidhaa wanazouza.

Serikali ya Magufuli iliwatumia wanyonge kama mtaji wake mkuu wa kufukia mashimo yake ya kisiasa.

Huwezi mtu kumwacha achafue mji eti kisa mnyonge asibughuziwe.

Aliyejenga Machinga complex nadhani ni Kikwete huyo ndiye unaweza kusema kuwa ana harufu ya huruma kwa wamachinga.

Dar es salaam ina wilaya tano kama sikosei. Kila wilaya ingepata soko la wamachinga lililojengwa kisasa na kugawa vizimba kwa wamachinga hiyo ndio huruma kwa wamachinga.

Kariakoo ingebaki na maduka ya Jumla tu.

Mji ungenoga, wananchi wangerahisishiwa huduma.

Mtu aweke banda lake kwenye mtaro umwache tu kisa mnyonge. No.

Jaribu kwenda Mtaa wa Kongo au sehemu nyingine yenye mkusanyiko wa Wanachinga useme hii statement yako uone kama utapona na kupopolewa kwa mawe.

Eti aliye jenga machinga complex ndiye aliye kuwa akiwajali. Yawezekana lilikuwa toleo moja kati ya miradi mingi ya upigaji hili linathihirishwa na mzengwe ulikuwepo wakati wa kupangishana pale machinga complex na tafuta ujue madalali wa pango enzi hizo.
 
Wewe ni poyoyo tu

Wamachinga hata Mzee Mwinyi aliwaacha, Mkapa na Yusuph Makamba akiwa mkuu wa mkoa alishindwa, huyo cha kuzurura ndiyo kabisa hakufanya lolote!

Soko la machimba limejengwa na City council kwa mkopo toka NSSF

Wakati wa JPM machinga wamepata heshima, na aliwaambia wakuu wa Wilaya kabla ya kuwaondoa barabarani tafuta maeneo kwanza ya kuwaweka
Unahitaji kuelimishwa alijenga machinga comprex ni jk haijalishi fedha imetoka wapi, na lile daraja la ubungo utajema wamejenga wazungu kisa tu wametoa fedha? Na miladi yote inavyanzo vyake vya fedha ila anaetajwa ni yule alieidhinisha fedha kutoka kwaajili ya mladi husika
 
Hivi Magufuli na Ibilisi yupi ana afadhali?
Pia alifanya ni kichaka cha kuficha maovu yake hasa roho mbaya na ukatili wake wa kuzaliwa nao kwa kujifanya ni mtu wa watu na mwenye huruma lakini kiuhalisia alikuwa ni mtu mwenye roho mbaya.
 
Back
Top Bottom