Kiazi weweHizo siyo sifa... Huo ni ujinga wa baadhi ya wananchi kujidhania kuwa wao ni wanyonge... Na yupo mmoja pekee ambaye atawapambania! Sifa za kijinga hizi kutoka kwa wajinga kwenda kwa wajinga!
Tunahitaji mind liberations!
Tunahitaji stronger organizations.
Hatuhitaji stronger people!
People come and go!
Strong institutions will stay to be improved!
#Shame!