Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

Plsm

Senior Member
Aug 19, 2021
178
500
Hizo siyo sifa... Huo ni ujinga wa baadhi ya wananchi kujidhania kuwa wao ni wanyonge... Na yupo mmoja pekee ambaye atawapambania! Sifa za kijinga hizi kutoka kwa wajinga kwenda kwa wajinga!
Tunahitaji mind liberations!
Tunahitaji stronger organizations.
Hatuhitaji stronger people!
People come and go!
Strong institutions will stay to be improved!
#Shame!
Kiazi wewe
 

Nyaru-sare

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
3,847
2,000
Yote uliyoandika yametokea na kufanywa na viongozi mbalimbali duniani, ni MUNGU wako pekee mwenye upumbavu wa kumtumia JPM kufundisha uyasemayo, wakati si mapya hapa duniani we

Sisi tunayeamini ktk MUNGU mwema tunajua MUNGU amemtumia JPM kufundisha uzalendo wa kweli na uongozi wa kutetea wanyonge
Siku zote MUNGU yupo upande wa wanyonge
mungu mnyonge ni wa kwako tu!! sisi tunakataa/kumkana kwa nguvu zote! tena waiz wazi nenda kamwambie! to hell na huyo mungu wako!!! Mungu wetu ana hela na nguvu zisizo za kawaida yeye aliumba Mbingu na nchi!!!

kamungu kako ka wanyonge hako!! kakija hapa tunakachapa makofi mbele yako!!! kakasimulie huko mbele!! halafu tunakapa mwajuma ndala ndefu bure!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom