Hayati Dkt. John P. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyechelewa kueleweka katika ukombozi wa pili wa Mwafrika, wala hakuogopa vigingi vya Mabeberu.

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,082
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu bado ninaamini Taifa letu lipo mikononi mwake Mungu. Mungu wetu aendelee kututia nguvu sisi kama taifa katika msiba huu mzito wa kuondokewa na baba yetu, Rais wetu, kiongozi wetu, amani yetu, furaha yetu, cheko wetu, nguvu yetu, mwanga wetu, mshauri wetu, kiongozi wetu na mtu muhimu aliye tupa motisha ya kujituma katika kazi zetu. Hakika tulijivunia yeye, tulitembea vifua mbele popote tulipokwenda kwasababu tulijua yeye Yupo. Hakika Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani na amwangazie mwanga wa milele. Amina.

Baada ya kumshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi naomba nirejee kwenye mada yangu. Ni kwanini nasema Dr. John Magufuli ni nabii?

Ninaposema Dr. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyetumwa kuikomboa Afrika mara ya pili ninamaanisha kwamba yale mahubiri yake ya kutaka waafrika na watanzania tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua mikononi mwamabeberu ndio yanayo tudhihirishia kwamba Dr. Magufuli alitumwa na Mungu kuja kulikomboa bara la Afrika na Tanzania. Na ndio sababu katika uongozi wake alimtanguliza Mungu kwa kila jambo alilolifanya. Aliamini Mungu ndiye mtawala wa dunia. Alituongoza kama wana Waisraeli waliotolewa Misri, kuvuka bahari ya Shamu na kuingizwa Kanaani.

Unyonyaji unaofanyika katika mataifa yetu ya kiafrika unatokana na waafrika kukosa uzalendo na kukumbatia njia zote za kinyonyaji kupitia mikataba feki. Mabeberu waliiteka Afrika Kwa njia zote za kiuchumi, kupitia mawakala wao kama WHO, WB, UN, IMF na nyingine nyingi. Kwa kulitambua hilo Magufuli pamoja na uwezo mdogo wa kiuchumi wa Taifa letu la Tanzania ukilinganisha na aliopambana nao aliweza kuanza kufumua mikataba ya kinyonyaji.

Pengine Unaweza kusema Kwa nini hakupenda demokrasia iliyozidi kipimo jibu ni kwamba mpaka sasa hakuna demokrasia ya kweli tunayoaminishwa. Tumejionea malumbano na watu kupoteza Maisha katika chaguzi za mataifa makubwa yanayo jidai kuitukuza demokrasia ya kweli. Kwenye kudhamilia kitu cha kuleta maendeleo hakuna demokrasia, ukiacha uende na demokrasia vitu vingi vitakwama kwenye utekelezaji. Tulijionea miradi mingi iliyoandikwa zamani iliishia kwenye vitabu bila kutekelezwa huku fedha zukiamishiwa kwenye vitu visivyokuwa na muhimu katika maendeleo ya watanzania.

Katika maelezo ya mama Rais Samia ameeleza vizuri alivyokuwa anatekeleza unabii wake, unaambiwa hakupenda kudanganywa wala longolongo. Alipenda kila mtu atimize wajibu kwa alichoagizwa ndio maana ilikuwa ukichelewa tu anakutumbua na kuweka anayejua kuwajibika. Watu wachache kupitia maono yake wanaweza kusema alikuwa na chembe chembe za udikteta lakini kumbe sivyo. Kwenye swala la kupambana na Mabeberu mawakala wa mabeberu lazima waweke vikwazo ili tu asitimize malengo.

Alipoanza kununua ndege Kwa keshi walilalama kuwa ndege zinanunuliwa Kwa mikopo ilihali pesa zipo. Alipoanza kupanua ubungo watu walimwona katili wakati wao hawakuwa na hati ya kumiliki ardhi ya serikali huku wakijua ardhi Ni Mali ya serikali Kwa matumizi sahihi.

Vyama vya upinzani vipo katika taifa letu lakini vyama vinavyojinasibu kuwa ni vya upinzani vimekaa kiuharakati hivyo kukosa misimamo thabiti ya kuonyesha nia ya kweli katika kuikomboa Tanzania. Ukweli ni kwamba huwezi kuwa unapambana na adui harafu unaomba msaada kwa adui. Adui yetu mkubwa wa maendeleo katika bara la Afrika na Tanzania ni beberu.

Tunahitaji ukombozi wa kifikra ili tuweze kuchomoka katika genge la mabeberu, huo ndio ukombozi ambao Mungu alimpatia Dkt Magufuli. Na ndio sababu Mimi namwona ni kama nabii aliyetumwa na Mungu kuja kuleta ukombozi wa kifikra na kimtazamo. Dkt. Magufuli amewagusa watanzania wengi kwasababu kupitia kifikra na mitazamo na maono aliyopewa na Mungu ameweza kubadili kifikra, mitazamo na maono ya watu wa Tanzania na Afrika.

Kipindi cha awamu ya kwanza Mwl. Nyerere aliipambania sana Afrika na Tanzania alitumia nguvu nyingi sana lakini hawakukosa wachumia tumbo waliokuwa wanakwamisha ukombozi wa kweli.

Tuliona walivyofanikiwa kuua ujamaa, tuliona walivyotumia viongozi wetu wa mwanzo katika awamu tofauti tofauti kutekeleza malengo yao ya kuikwamisha Afrika kupitia ushauri wao wa ubinafsishaji tukajikuta tunabinafsisha kila kitu leo hii viwanda vimekuwa magofu wajanja wanafugia mbuzi, kiwanda kinafanywa Chuma chakavu.

Nabii Magufuli alipoanza kuondoa waliotelekeza viwanda na kuvigeuza ardhi ya kukopea na kufanya mambo kinyume ya makubaliano, wapo viongozi ambao waliosababisha haya waliomba misamaha kupitia tungo zao za kiuandishi kama Historia ya Maisha Yao.

Nina huzuni Sana Nabii Magufuli hakuacha kitabu cha Maisha yake labda kingeleta usisimuzi wa kuishi wa aliyoyaanzisha katika harakati zake za kupambana na Mabeberu katika Vita ya kiuchumi.

May our God continue to strengthen us as a nation in this great tragedy of the loss of our father, our President, our leader, our peace, our happiness, our laughter, our strength, our light, our counselor, our leader and the important person who motivated us. of dedication in our work. Surely we were proud of him, we walked chests forward wherever we went because we knew he existed. May God rest him in peace and give him everlasting light. Amen.

Que notre Dieu continue à nous fortifier en tant que nation dans cette grande tragédie de la perte de notre père, notre président, notre chef, notre paix, notre bonheur, notre rire, notre force, notre lumière, notre conseiller, notre chef et l'important personne qui nous a motivés. de dévouement dans notre travail. Sûrement nous étions fiers de lui, nous avons fait avancer les poitrines partout où nous allions parce que nous savions qu'il existait. Que Dieu le repose en paix et lui donne la lumière éternelle. Amen.

الله في تقويتنا كأمة في هذه المأساة الكبرى لفقدان أبينا ورئيسنا وقائدنا وسلامنا وسعادتنا وضحكتنا وقوتنا ونورنا ومستشارنا وقائدنا والمهم. الشخص الذي حفزنا. من التفاني في عملنا. بالتأكيد كنا فخورين به ، كنا نسير في الصناديق إلى الأمام أينما ذهبنا لأننا علمنا بوجوده. رحمه الله وسلمه نورًا أبديًا. آمين.

waliastamira allah fi taqwiatina ka'umat fi hadhih almasat alkubraa lifuqdan 'abina warayiysina waqayidna wasalamina wasaeadatina wadahkatana waqawtina wanuruna wamustasharuna waqayiduna walamuhim. alshakhs aldhy hafazana. min altifani fi eamalna. bialtaakid kunaa fakhawrin bih , kunaa nusayir fi alsanadiq 'iilaa al'amam 'aynama dhahabna li'anana ealimna biwujudihi. rahimah allah wasalamah nwrana abdyana. amin.

Screenshot_20210321_161626.jpg

Nenda baba nenda baba, tutakukumbuka daima.

Screenshot_20210321_114722.jpg

IMG_20210321_162700.jpg

Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati.

Ninaposema Dr. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyetumwa kuikomboa Afrika mara ya pili ninamaanisha kwamba yale mahubiri yake ya kutaka waafrika na watanzania tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua mikononi mwamabeberu.

Unyonyaji unaofanyika katika mataifa mengi ya kiafrika unatokana na waafrika kukosa uzalendo na kukumbatia njia zote za kinyonyaji kupitia mikataba feki. Mabeberu waliiteka Afrika Kwa njia zote za kiuchumi, kupitia mawakala wao kama WHO, WB, UN, IMF na nyingine nyingi. Kwa kulitambua hilo Magufuli pamoja na uwezo mdogo wa kiuchumi wa Taifa letu la Tanzania ukilinganisha na aliopambana nao aliweza kuanza kufumua mikataba ya kinyonyaji.

Pengine Unaweza kusema Kwa nini hakupenda demokrasia iliyozidi kipimo jibu ni kwamba mpaka sasa hakuna demokrasia ya kweli tunayoaminishwa. Tumejionea malumbano na watu kupoteza Maisha katika chaguzi za mataifa makubwa yanayo jidai kuitukuza demokrasia ya kweli. Kwenye kudhamilia kitu cha kuleta maendeleo hakuna demokrasia, ukiacha uende na demokrasia vitu vingi vitakwama kwenye utekelezaji. Tulijionea miradi mingi iliyoandikwa zamani iliishia kwenye vitabu bila kutekelezwa huku fedha zukiamishiwa kwenye vitu visivyokuwa na muhimu katika maendeleo ya watanzania.

Katika maelezo ya mama Rais Samia ameeleza vizuri alivyokuwa anatekeleza unabii wake, unaambiwa hakupenda kudanganywa wala longolongo. Alipenda kila mtu atimize wajibu kwa alichoagizwa ndio maana ilikuwa ukichelewa tu anakutumbua na kuweka anayejua kuwajibika. Watu wachache kupitia maono yake wanaweza kusema alikuwa na chembe chembe za udikteta lakini kumbe sivyo. Kwenye swala la kupambana na Mabeberu mawakala wa mabeberu lazima waweke vikwazo ili tu asitimize malengo.

Alipoanza kununua ndege Kwa keshi walilalama kuwa ndege zinanunuliwa Kwa mikopo ilihali pesa zipo. Alipoanza kupanua ubungo watu walimwona katili wakati wao hawakuwa na hati ya kumiliki ardhi ya serikali huku wakijua ardhi Ni Mali ya serikali Kwa matumizi sahihi.

Vyama vya upinzani vipo katika taifa letu lakini vyama vinavyojinasibu kuwa ni vya upinzani vimekaa kiuharakati hivyo kukosa misimamo thabiti ya kuonyesha nia ya kweli katika kuikomboa Tanzania. Ukweli ni kwamba huwezi kuwa unapambana na adui harafu unaomba msaada kwa adui.

Adui yetu mkubwa wa maendeleo katika bara la Afrika ni beberu, ndani mkitofautiana wewe unaenda kushitaki kwa adui mkuu na kumpa njia za kutudhuru.

Kipindi cha awamu ya kwanza Mwl. Nyerere aliipambania sana Afrika na Tanzania alitumia nguvu nyingi sana lakini hawakukosa wachumia tumbo waliokuwa wanakwamisha ukombozi wa kweli.

Tuliona walivyofanikiwa kuua ujamaa, tuliona walivyotumia viongozi wetu wa mwanzo katika awamu tofauti tofauti kutekeleza malengo yao ya kuikwamisha Afrika kupitia ushauri wao wa ubinafsishaji tukajikuta tunabinafsisha kila kitu leo hii viwanda vimekuwa magofu wajanja wanafugia mbuzi, kiwanda kinafanywa Chuma chakavu.

Nabii Magufuli alipoanza kuondoa waliotelekeza viwanda na kuvigeuza ardhi ya kukopea na kufanya mambo kinyume ya makubaliano, wapo viongozi ambao waliosababisha haya waliomba misamaha kupitia tungo zao za kiuandishi kama Historia ya Maisha Yao.

Nina huzuni Sana Nabii Magufuli hakuacha kitabu cha Maisha yake labda kingeleta usisimuzi wa kuishi wa aliyoyaanzisha katika harakati zake za kupambana na Mabeberu katika Vita ya kiuchumi.
Hakuwahi kuwa nabii wala hana sifa ya kuwa nabii bali ni rais aliyekuwa mbaguzi kuliko mwingine yeyote katika historia ya nchi yetu. Watu wameumizwa, kupotezwa, kuuawa, kuonewa, kudhulumiwa na kunyang'anywa mali zao walizozipata kwa taabu, kaleta chuki kwa watu wanaojitahidi kujinyanyua kimaisha, amewaonea vya kutosha, bado anapingana na dunia nzima wakati even himself succumbed to covid-19. Mnyanyasaji wa makanisa na maaskofu wake. YOTE TUNAYAKUMBUKA, SI RAHISI KUYASAHAU.
 
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu bado ninaamini Taifa letu lipo mikononi mwake Mungu. Mungu wetu aendelee kututia nguvu sisi kama taifa katika msiba huu mzito wa kuondokewa na baba yetu, Rais wetu, kiongozi wetu, amani yetu, furaha yetu, cheko wetu, nguvu yetu, mwanga wetu, mshauri wetu, kiongozi wetu na mtu muhimu aliye tupa motisha ya kujituma katika kazi zetu. Hakika tulijivunia yeye, tulitembea vifua mbele popote tulipokwenda kwasababu tulijua yeye Yupo. Hakika Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani na amwangazie mwanga wa milele. Amina.

Baada ya kumshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi naomba nirejee kwenye mada yangu. Ni kwanini nasema Dr. John Magufuli ni nabii?

Ninaposema Dr. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyetumwa kuikomboa Afrika mara ya pili ninamaanisha kwamba yale mahubiri yake ya kutaka waafrika na watanzania tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua mikononi mwamabeberu ndio yanayo tudhihirishia kwamba Dr. Magufuli alitumwa na Mungu kuja kulikomboa bara la Afrika na Tanzania. Na ndio sababu katika uongozi wake alimtanguliza Mungu kwa kila jambo alilolifanya. Aliamini Mungu ndiye mtawala wa dunia. Alituongoza kama wana Waisraeli waliotolewa Misri, kuvuka bahari ya Shamu na kuingizwa Kanaani.

Unyonyaji unaofanyika katika mataifa yetu ya kiafrika unatokana na waafrika kukosa uzalendo na kukumbatia njia zote za kinyonyaji kupitia mikataba feki. Mabeberu waliiteka Afrika Kwa njia zote za kiuchumi, kupitia mawakala wao kama WHO, WB, UN, IMF na nyingine nyingi. Kwa kulitambua hilo Magufuli pamoja na uwezo mdogo wa kiuchumi wa Taifa letu la Tanzania ukilinganisha na aliopambana nao aliweza kuanza kufumua mikataba ya kinyonyaji.

Pengine Unaweza kusema Kwa nini hakupenda demokrasia iliyozidi kipimo jibu ni kwamba mpaka sasa hakuna demokrasia ya kweli tunayoaminishwa. Tumejionea malumbano na watu kupoteza Maisha katika chaguzi za mataifa makubwa yanayo jidai kuitukuza demokrasia ya kweli. Kwenye kudhamilia kitu cha kuleta maendeleo hakuna demokrasia, ukiacha uende na demokrasia vitu vingi vitakwama kwenye utekelezaji. Tulijionea miradi mingi iliyoandikwa zamani iliishia kwenye vitabu bila kutekelezwa huku fedha zukiamishiwa kwenye vitu visivyokuwa na muhimu katika maendeleo ya watanzania.

Katika maelezo ya mama Rais Samia ameeleza vizuri alivyokuwa anatekeleza unabii wake, unaambiwa hakupenda kudanganywa wala longolongo. Alipenda kila mtu atimize wajibu kwa alichoagizwa ndio maana ilikuwa ukichelewa tu anakutumbua na kuweka anayejua kuwajibika. Watu wachache kupitia maono yake wanaweza kusema alikuwa na chembe chembe za udikteta lakini kumbe sivyo. Kwenye swala la kupambana na Mabeberu mawakala wa mabeberu lazima waweke vikwazo ili tu asitimize malengo.

Alipoanza kununua ndege Kwa keshi walilalama kuwa ndege zinanunuliwa Kwa mikopo ilihali pesa zipo. Alipoanza kupanua ubungo watu walimwona katili wakati wao hawakuwa na hati ya kumiliki ardhi ya serikali huku wakijua ardhi Ni Mali ya serikali Kwa matumizi sahihi.

Vyama vya upinzani vipo katika taifa letu lakini vyama vinavyojinasibu kuwa ni vya upinzani vimekaa kiuharakati hivyo kukosa misimamo thabiti ya kuonyesha nia ya kweli katika kuikomboa Tanzania. Ukweli ni kwamba huwezi kuwa unapambana na adui harafu unaomba msaada kwa adui.

Adui yetu mkubwa wa maendeleo katika bara la Afrika ni beberu, ndani mkitofautiana wewe unaenda kushitaki kwa adui mkuu na kumpa njia za kutudhuru.

Kipindi cha awamu ya kwanza Mwl. Nyerere aliipambania sana Afrika na Tanzania alitumia nguvu nyingi sana lakini hawakukosa wachumia tumbo waliokuwa wanakwamisha ukombozi wa kweli.

Tuliona walivyofanikiwa kuua ujamaa, tuliona walivyotumia viongozi wetu wa mwanzo katika awamu tofauti tofauti kutekeleza malengo yao ya kuikwamisha Afrika kupitia ushauri wao wa ubinafsishaji tukajikuta tunabinafsisha kila kitu leo hii viwanda vimekuwa magofu wajanja wanafugia mbuzi, kiwanda kinafanywa Chuma chakavu.

Nabii Magufuli alipoanza kuondoa waliotelekeza viwanda na kuvigeuza ardhi ya kukopea na kufanya mambo kinyume ya makubaliano, wapo viongozi ambao waliosababisha haya waliomba misamaha kupitia tungo zao za kiuandishi kama Historia ya Maisha Yao.

Nina huzuni Sana Nabii Magufuli hakuacha kitabu cha Maisha yake labda kingeleta usisimuzi wa kuishi wa aliyoyaanzisha katika harakati zake za kupambana na Mabeberu katika Vita ya kiuchumi.
Nabii wa uongo labda.
 
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu bado ninaamini Taifa letu lipo mikononi mwake Mungu. Mungu wetu aendelee kututia nguvu sisi kama taifa katika msiba huu mzito wa kuondokewa na baba yetu, Rais wetu, kiongozi wetu, amani yetu, furaha yetu, cheko wetu, nguvu yetu, mwanga wetu, mshauri wetu, kiongozi wetu na mtu muhimu aliye tupa motisha ya kujituma katika kazi zetu. Hakika tulijivunia yeye, tulitembea vifua mbele popote tulipokwenda kwasababu tulijua yeye Yupo. Hakika Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani na amwangazie mwanga wa milele. Amina.

Baada ya kumshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi naomba nirejee kwenye mada yangu. Ni kwanini nasema Dr. John Magufuli ni nabii?

Ninaposema Dr. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyetumwa kuikomboa Afrika mara ya pili ninamaanisha kwamba yale mahubiri yake ya kutaka waafrika na watanzania tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua mikononi mwamabeberu ndio yanayo tudhihirishia kwamba Dr. Magufuli alitumwa na Mungu kuja kulikomboa bara la Afrika na Tanzania. Na ndio sababu katika uongozi wake alimtanguliza Mungu kwa kila jambo alilolifanya. Aliamini Mungu ndiye mtawala wa dunia. Alituongoza kama wana Waisraeli waliotolewa Misri, kuvuka bahari ya Shamu na kuingizwa Kanaani.

Unyonyaji unaofanyika katika mataifa yetu ya kiafrika unatokana na waafrika kukosa uzalendo na kukumbatia njia zote za kinyonyaji kupitia mikataba feki. Mabeberu waliiteka Afrika Kwa njia zote za kiuchumi, kupitia mawakala wao kama WHO, WB, UN, IMF na nyingine nyingi. Kwa kulitambua hilo Magufuli pamoja na uwezo mdogo wa kiuchumi wa Taifa letu la Tanzania ukilinganisha na aliopambana nao aliweza kuanza kufumua mikataba ya kinyonyaji.

Pengine Unaweza kusema Kwa nini hakupenda demokrasia iliyozidi kipimo jibu ni kwamba mpaka sasa hakuna demokrasia ya kweli tunayoaminishwa. Tumejionea malumbano na watu kupoteza Maisha katika chaguzi za mataifa makubwa yanayo jidai kuitukuza demokrasia ya kweli. Kwenye kudhamilia kitu cha kuleta maendeleo hakuna demokrasia, ukiacha uende na demokrasia vitu vingi vitakwama kwenye utekelezaji. Tulijionea miradi mingi iliyoandikwa zamani iliishia kwenye vitabu bila kutekelezwa huku fedha zukiamishiwa kwenye vitu visivyokuwa na muhimu katika maendeleo ya watanzania.

Katika maelezo ya mama Rais Samia ameeleza vizuri alivyokuwa anatekeleza unabii wake, unaambiwa hakupenda kudanganywa wala longolongo. Alipenda kila mtu atimize wajibu kwa alichoagizwa ndio maana ilikuwa ukichelewa tu anakutumbua na kuweka anayejua kuwajibika. Watu wachache kupitia maono yake wanaweza kusema alikuwa na chembe chembe za udikteta lakini kumbe sivyo. Kwenye swala la kupambana na Mabeberu mawakala wa mabeberu lazima waweke vikwazo ili tu asitimize malengo.

Alipoanza kununua ndege Kwa keshi walilalama kuwa ndege zinanunuliwa Kwa mikopo ilihali pesa zipo. Alipoanza kupanua ubungo watu walimwona katili wakati wao hawakuwa na hati ya kumiliki ardhi ya serikali huku wakijua ardhi Ni Mali ya serikali Kwa matumizi sahihi.

Vyama vya upinzani vipo katika taifa letu lakini vyama vinavyojinasibu kuwa ni vya upinzani vimekaa kiuharakati hivyo kukosa misimamo thabiti ya kuonyesha nia ya kweli katika kuikomboa Tanzania. Ukweli ni kwamba huwezi kuwa unapambana na adui harafu unaomba msaada kwa adui.

Adui yetu mkubwa wa maendeleo katika bara la Afrika ni beberu, ndani mkitofautiana wewe unaenda kushitaki kwa adui mkuu na kumpa njia za kutudhuru.

Kipindi cha awamu ya kwanza Mwl. Nyerere aliipambania sana Afrika na Tanzania alitumia nguvu nyingi sana lakini hawakukosa wachumia tumbo waliokuwa wanakwamisha ukombozi wa kweli.

Tuliona walivyofanikiwa kuua ujamaa, tuliona walivyotumia viongozi wetu wa mwanzo katika awamu tofauti tofauti kutekeleza malengo yao ya kuikwamisha Afrika kupitia ushauri wao wa ubinafsishaji tukajikuta tunabinafsisha kila kitu leo hii viwanda vimekuwa magofu wajanja wanafugia mbuzi, kiwanda kinafanywa Chuma chakavu.

Nabii Magufuli alipoanza kuondoa waliotelekeza viwanda na kuvigeuza ardhi ya kukopea na kufanya mambo kinyume ya makubaliano, wapo viongozi ambao waliosababisha haya waliomba misamaha kupitia tungo zao za kiuandishi kama Historia ya Maisha Yao.

Nina huzuni Sana Nabii Magufuli hakuacha kitabu cha Maisha yake labda kingeleta usisimuzi wa kuishi wa aliyoyaanzisha katika harakati zake za kupambana na Mabeberu katika Vita ya kiuchumi.

May our God continue to strengthen us as a nation in this great tragedy of the loss of our father, our President, our leader, our peace, our happiness, our laughter, our strength, our light, our counselor, our leader and the important person who motivated us. of dedication in our work. Surely we were proud of him, we walked chests forward wherever we went because we knew he existed. May God rest him in peace and give him everlasting light. Amen.

Que notre Dieu continue à nous fortifier en tant que nation dans cette grande tragédie de la perte de notre père, notre président, notre chef, notre paix, notre bonheur, notre rire, notre force, notre lumière, notre conseiller, notre chef et l'important personne qui nous a motivés. de dévouement dans notre travail. Sûrement nous étions fiers de lui, nous avons fait avancer les poitrines partout où nous allions parce que nous savions qu'il existait. Que Dieu le repose en paix et lui donne la lumière éternelle. Amen.

الله في تقويتنا كأمة في هذه المأساة الكبرى لفقدان أبينا ورئيسنا وقائدنا وسلامنا وسعادتنا وضحكتنا وقوتنا ونورنا ومستشارنا وقائدنا والمهم. الشخص الذي حفزنا. من التفاني في عملنا. بالتأكيد كنا فخورين به ، كنا نسير في الصناديق إلى الأمام أينما ذهبنا لأننا علمنا بوجوده. رحمه الله وسلمه نورًا أبديًا. آمين.

waliastamira allah fi taqwiatina ka'umat fi hadhih almasat alkubraa lifuqdan 'abina warayiysina waqayidna wasalamina wasaeadatina wadahkatana waqawtina wanuruna wamustasharuna waqayiduna walamuhim. alshakhs aldhy hafazana. min altifani fi eamalna. bialtaakid kunaa fakhawrin bih , kunaa nusayir fi alsanadiq 'iilaa al'amam 'aynama dhahabna li'anana ealimna biwujudihi. rahimah allah wasalamah nwrana abdyana. amin.
Utaanzisha threads mpaka uchakae ila ndiyo hivyo tena. Nabii gani aliyeshindwa kuthamini afya yake na za wengine kwenye Corona?
 
ACHA UNAFIKI
Watu wamevunjiwa Ndoa zao
watu wanasota Lupango bila kesi kina Rugemalila, Habinder Sigh,
wapo waliovunjwa mguu katika nyumba zilindwazo na Serikalina wengine kushishiwa risasi 30 na Nabii hashtuki
Akwilina huo aliko unadhani lawama anampa nani licha hao ndugu zake,
unamjua Saa nane aliyeitwa kujibu mbele ya nabii, Azory
Hebu kaa kimya muda mfupi hata mwezi hautapita tutasahau machungu ya miaka 6
nabii hakubariki kwao, hata moyo wako unakushuhudia kwamba Dkt. Magufuli ameingia mbinguni kupewa taji lake la imani thabiti.
 
Nianze Kwa kumtanguliza Mungu kama Nabii Dr. John Magufuri alivyopendelea kumtanguliza Mungu kila wakati. Napenda nimshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi kwa kuendelea kuliongoza Taifa letu bado ninaamini Taifa letu lipo mikononi mwake Mungu. Mungu wetu aendelee kututia nguvu sisi kama taifa katika msiba huu mzito wa kuondokewa na baba yetu, Rais wetu, kiongozi wetu, amani yetu, furaha yetu, cheko wetu, nguvu yetu, mwanga wetu, mshauri wetu, kiongozi wetu na mtu muhimu aliye tupa motisha ya kujituma katika kazi zetu. Hakika tulijivunia yeye, tulitembea vifua mbele popote tulipokwenda kwasababu tulijua yeye Yupo. Hakika Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani na amwangazie mwanga wa milele. Amina.

Baada ya kumshukuru Mungu aliyeziumba mbingu na nchi naomba nirejee kwenye mada yangu. Ni kwanini nasema Dr. John Magufuli ni nabii?

Ninaposema Dr. Magufuli ni Nabii wa Afrika aliyetumwa kuikomboa Afrika mara ya pili ninamaanisha kwamba yale mahubiri yake ya kutaka waafrika na watanzania tujitathimini kupenda vyetu ili kujinasua mikononi mwamabeberu ndio yanayo tudhihirishia kwamba Dr. Magufuli alitumwa na Mungu kuja kulikomboa bara la Afrika na Tanzania. Na ndio sababu katika uongozi wake alimtanguliza Mungu kwa kila jambo alilolifanya. Aliamini Mungu ndiye mtawala wa dunia. Alituongoza kama wana Waisraeli waliotolewa Misri, kuvuka bahari ya Shamu na kuingizwa Kanaani.

Unyonyaji unaofanyika katika mataifa yetu ya kiafrika unatokana na waafrika kukosa uzalendo na kukumbatia njia zote za kinyonyaji kupitia mikataba feki. Mabeberu waliiteka Afrika Kwa njia zote za kiuchumi, kupitia mawakala wao kama WHO, WB, UN, IMF na nyingine nyingi. Kwa kulitambua hilo Magufuli pamoja na uwezo mdogo wa kiuchumi wa Taifa letu la Tanzania ukilinganisha na aliopambana nao aliweza kuanza kufumua mikataba ya kinyonyaji.

Pengine Unaweza kusema Kwa nini hakupenda demokrasia iliyozidi kipimo jibu ni kwamba mpaka sasa hakuna demokrasia ya kweli tunayoaminishwa. Tumejionea malumbano na watu kupoteza Maisha katika chaguzi za mataifa makubwa yanayo jidai kuitukuza demokrasia ya kweli. Kwenye kudhamilia kitu cha kuleta maendeleo hakuna demokrasia, ukiacha uende na demokrasia vitu vingi vitakwama kwenye utekelezaji. Tulijionea miradi mingi iliyoandikwa zamani iliishia kwenye vitabu bila kutekelezwa huku fedha zukiamishiwa kwenye vitu visivyokuwa na muhimu katika maendeleo ya watanzania.

Katika maelezo ya mama Rais Samia ameeleza vizuri alivyokuwa anatekeleza unabii wake, unaambiwa hakupenda kudanganywa wala longolongo. Alipenda kila mtu atimize wajibu kwa alichoagizwa ndio maana ilikuwa ukichelewa tu anakutumbua na kuweka anayejua kuwajibika. Watu wachache kupitia maono yake wanaweza kusema alikuwa na chembe chembe za udikteta lakini kumbe sivyo. Kwenye swala la kupambana na Mabeberu mawakala wa mabeberu lazima waweke vikwazo ili tu asitimize malengo.

Alipoanza kununua ndege Kwa keshi walilalama kuwa ndege zinanunuliwa Kwa mikopo ilihali pesa zipo. Alipoanza kupanua ubungo watu walimwona katili wakati wao hawakuwa na hati ya kumiliki ardhi ya serikali huku wakijua ardhi Ni Mali ya serikali Kwa matumizi sahihi.

Vyama vya upinzani vipo katika taifa letu lakini vyama vinavyojinasibu kuwa ni vya upinzani vimekaa kiuharakati hivyo kukosa misimamo thabiti ya kuonyesha nia ya kweli katika kuikomboa Tanzania. Ukweli ni kwamba huwezi kuwa unapambana na adui harafu unaomba msaada kwa adui.

Adui yetu mkubwa wa maendeleo katika bara la Afrika ni beberu, ndani mkitofautiana wewe unaenda kushitaki kwa adui mkuu na kumpa njia za kutudhuru.

Kipindi cha awamu ya kwanza Mwl. Nyerere aliipambania sana Afrika na Tanzania alitumia nguvu nyingi sana lakini hawakukosa wachumia tumbo waliokuwa wanakwamisha ukombozi wa kweli.

Tuliona walivyofanikiwa kuua ujamaa, tuliona walivyotumia viongozi wetu wa mwanzo katika awamu tofauti tofauti kutekeleza malengo yao ya kuikwamisha Afrika kupitia ushauri wao wa ubinafsishaji tukajikuta tunabinafsisha kila kitu leo hii viwanda vimekuwa magofu wajanja wanafugia mbuzi, kiwanda kinafanywa Chuma chakavu.

Nabii Magufuli alipoanza kuondoa waliotelekeza viwanda na kuvigeuza ardhi ya kukopea na kufanya mambo kinyume ya makubaliano, wapo viongozi ambao waliosababisha haya waliomba misamaha kupitia tungo zao za kiuandishi kama Historia ya Maisha Yao.

Nina huzuni Sana Nabii Magufuli hakuacha kitabu cha Maisha yake labda kingeleta usisimuzi wa kuishi wa aliyoyaanzisha katika harakati zake za kupambana na Mabeberu katika Vita ya kiuchumi.

May our God continue to strengthen us as a nation in this great tragedy of the loss of our father, our President, our leader, our peace, our happiness, our laughter, our strength, our light, our counselor, our leader and the important person who motivated us. of dedication in our work. Surely we were proud of him, we walked chests forward wherever we went because we knew he existed. May God rest him in peace and give him everlasting light. Amen.

Que notre Dieu continue à nous fortifier en tant que nation dans cette grande tragédie de la perte de notre père, notre président, notre chef, notre paix, notre bonheur, notre rire, notre force, notre lumière, notre conseiller, notre chef et l'important personne qui nous a motivés. de dévouement dans notre travail. Sûrement nous étions fiers de lui, nous avons fait avancer les poitrines partout où nous allions parce que nous savions qu'il existait. Que Dieu le repose en paix et lui donne la lumière éternelle. Amen.

الله في تقويتنا كأمة في هذه المأساة الكبرى لفقدان أبينا ورئيسنا وقائدنا وسلامنا وسعادتنا وضحكتنا وقوتنا ونورنا ومستشارنا وقائدنا والمهم. الشخص الذي حفزنا. من التفاني في عملنا. بالتأكيد كنا فخورين به ، كنا نسير في الصناديق إلى الأمام أينما ذهبنا لأننا علمنا بوجوده. رحمه الله وسلمه نورًا أبديًا. آمين.

waliastamira allah fi taqwiatina ka'umat fi hadhih almasat alkubraa lifuqdan 'abina warayiysina waqayidna wasalamina wasaeadatina wadahkatana waqawtina wanuruna wamustasharuna waqayiduna walamuhim. alshakhs aldhy hafazana. min altifani fi eamalna. bialtaakid kunaa fakhawrin bih , kunaa nusayir fi alsanadiq 'iilaa al'amam 'aynama dhahabna li'anana ealimna biwujudihi. rahimah allah wasalamah nwrana abdyana. amin.
Naomba sifa 3 tu za Kinabii alizokuwa nazo Magufuli.
1.
2.
3?
 
Usimzushie ulimpaka mafuta ya unabii wewe?!!!!!!.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom