Hayati Baba yetu, Dkt John Pombe Magufuli Kuitwa Mtakatifu hapo Mbeleni

Kwa kuongezea tu hapo..... {Ktk iman.... } neno la Mungu la muelezea Mungu {the allmight God)} kuwa yeye ni Mungu mwenye wivu... Hvyo hapendi kufananishwa na binaadam yeyote and vice versa.... Note; wengi ktk serikali na baadhi ya wananchi walimchukulia kama Mungu na Kumsifu ktk maelezo yao.... Pengine na yy mwenye kutengeneza mfumo uliomfanya aonekane kama mungu mtu... N.k...... Fanya utafit utagundua wng wenye kujfanansha na mungu kwa maana ya kutaka kuhusudiwa, kuogopwa/kutetemekewa na kuheshimiwa kupta kias bas Mungu kwa wivu wake ule ule humchukua mtu huyo........

Kama huamin mjarib.....

Thats it.....
 
Tuna Mitazamo Tofauti kwakeli, yote uliyoyanena hapa its always perfect kulingana na altitude ulionayo juu ya JPM, let it be ,

Naamini huna ushahidi wowote ule ambao utatuaminisha ya kwamba Magu alijilinganisha na Mungu, in case unao prove us beyond doubts otherwise statements ni completely fiction
 
Mchakato ushaanza

IMG_0323.jpg
 
Jamani msimshabulie sana mleta uzi. Yumo kwenye imani ya kipagani zaidi kulingana na alivomalizia uzi wake. Huko hata wachawi wanaweza kuwa watakatifu ili mradi atimize kigezo cha kufa. People make a payment for you basi unaitwa mtakatifu. Huwa haina uhusiano na kwa mtakatifu mbele ya Mungu. Wakijiridhisha wanadamu tu inatosha. Hivyo acheni kumshambulia rafiki huyu.
 
Mtakatifu wa:

1.Kufilisi matajiri wenye utajiri wao wa halali na wa jasho kwa kuwabambikizia kesi za kuhujumu uchumi kisha kupeleka hela hiyo kwenye miradi Chato.

2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda.

3.Kutesa wapinzani wake.

4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5.Kuua vyombo vya habari.

6.Kuua uhuru wa kujieleza.

7.Kuiba kura.

8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9.Kudanganya katika takwimu za uchumi wa nchi.

10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake.

11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.

14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic strategic zone.

16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.

17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia Mayanga constructions LTD.

21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima
 
Back
Top Bottom