Hayati Baba yetu, Dkt John Pombe Magufuli Kuitwa Mtakatifu hapo Mbeleni

Mark my Word : “Livafan”

Mheshimiwa kafanya mambo Mengi sana ya kupigiwa mfano kama kama kiongozi wa Taifa letu;-

Hayati Dkt John Pombe Magufuli nina imani na ninaamini kanisa la Tanzania linahaja na sababu zote za Kumtaja Magufuli kama Mtakatifu:

Yafuatayo ni machache tu Marehemu

1. Alimtumaini Mwenyezi Mungu muda wote wa Utumishi wake, kila jambo alimtanguliza Mungu bila shaka sisi sote ni mashahidi.

2. Upendo : Mheshimiwa alikuwa na upendo kwa kila Mtanzania na haswa wanyonge, hakuwa mbaguzi

3. Alikuwa Mzalendo aliepigania maslahi ya inchi ake inje na ndani ya Tanzania, na hii ilikuwa ni kwa manufaa ya Watanzania wote

4: Aliichukia Rushwa na aliipinga Hiyo rushwa kwa vitendo, sote tunajua ya kwamba rushwa no Adui wa haki

5. Nidhamu ya Matumizi ya Fedha za umma, Kodi za Wanainchi;-

Na mambo Mengi ambayo kila mmoja wetu anayafahamu,

Dkt Hayati Magufuli kuwa Mwenyeheri na hatimae Kuitwa Mtakatifu;-

Raha ya Milele umpe ee bwana, Na Mwanga wa milele umwangazie, Apumzike kwa Amani , Amiina.
Mheshimiwa mungu!!? Ila CCM mna vituko? Akili zenu kama Afande SELE nashangaa wanaomshangaa Afande SELE wakati wafuasi wake wamejaa CCM.
 
"Msiwabomolee nyumba watu wa mwanza sababu walinipa kura. "
"Yaliyowakuta watu wa Kimara kila mtu anajua."
Huu ni ushetani.
Hii kitu iliniuma sana watu wa Kimara kila akisimama pale ni anawatibua tu, sijui kosa lao ni lipi mpaka wasilipwe.
Bado wa Korosho, wapo waliofukuzwa kazi kwa ajili ya Elimu na kugushi hao wote walikokwenda hajui
leo mtu anasema atakuwa Mtakatifu
 
Mark my Word : “Livafan”

Mheshimiwa kafanya mambo Mengi sana ya kupigiwa mfano kama kama kiongozi wa Taifa letu;-

Hayati Dkt John Pombe Magufuli nina imani na ninaamini kanisa la Tanzania linahaja na sababu zote za Kumtaja Magufuli kama Mtakatifu:

Yafuatayo ni machache tu Marehemu

1. Alimtumaini Mwenyezi Mungu muda wote wa Utumishi wake, kila jambo alimtanguliza Mungu bila shaka sisi sote ni mashahidi.

2. Upendo : Mheshimiwa alikuwa na upendo kwa kila Mtanzania na haswa wanyonge, hakuwa mbaguzi

3. Alikuwa Mzalendo aliepigania maslahi ya inchi ake inje na ndani ya Tanzania, na hii ilikuwa ni kwa manufaa ya Watanzania wote

4: Aliichukia Rushwa na aliipinga Hiyo rushwa kwa vitendo, sote tunajua ya kwamba rushwa no Adui wa haki

5. Nidhamu ya Matumizi ya Fedha za umma, Kodi za Wanainchi;-

Na mambo Mengi ambayo kila mmoja wetu anayafahamu,

Dkt Hayati Magufuli kuwa Mwenyeheri na hatimae Kuitwa Mtakatifu;-

Raha ya Milele umpe ee bwana, Na Mwanga wa milele umwangazie, Apumzike kwa Amani , Amiina.
Labda katika kanisa utakalaoanzisha wewe kesho!!!
 
Mwambieni akishazaa aje tena kwa ajili ya mimba nyingine. Huku wanaume wapo telee

Akitaka mwenyekiti wa chama hata mwenyekiti wa kile chama kingine ni mwanaume anaweza kumpa mtoto wa pili
Lakini hili la utakatifu hapana labda la utakavitu
 
Mark my Word : “Livafan”

Mheshimiwa kafanya mambo Mengi sana ya kupigiwa mfano kama kama kiongozi wa Taifa letu;-

Hayati Dkt John Pombe Magufuli nina imani na ninaamini kanisa la Tanzania linahaja na sababu zote za Kumtaja Magufuli kama Mtakatifu:

Yafuatayo ni machache tu Marehemu

1. Alimtumaini Mwenyezi Mungu muda wote wa Utumishi wake, kila jambo alimtanguliza Mungu bila shaka sisi sote ni mashahidi.

2. Upendo : Mheshimiwa alikuwa na upendo kwa kila Mtanzania na haswa wanyonge, hakuwa mbaguzi

3. Alikuwa Mzalendo aliepigania maslahi ya inchi ake inje na ndani ya Tanzania, na hii ilikuwa ni kwa manufaa ya Watanzania wote

4: Aliichukia Rushwa na aliipinga Hiyo rushwa kwa vitendo, sote tunajua ya kwamba rushwa no Adui wa haki

5. Nidhamu ya Matumizi ya Fedha za umma, Kodi za Wanainchi;-

Na mambo Mengi ambayo kila mmoja wetu anayafahamu,

Dkt Hayati Magufuli kuwa Mwenyeheri na hatimae Kuitwa Mtakatifu;-

Raha ya Milele umpe ee bwana, Na Mwanga wa milele umwangazie, Apumzike kwa Amani , Amiina.
Mwl J.K.Nyerere mpaka leo process ya kuitwa mtakatifu haijafanikiwa licha ya aliyoyafanya.

kwa utaratibu wa kanisa katoliki. utakatifu hapewi mtu kwa kazi ya miaka 6. huwa wanachunguza matendo yake toka akiwa mdogo.

nyie mnafosi title . kanisa catholic haliendeshwi kisiasa
 
Mark my Word : “Livafan”

Mheshimiwa kafanya mambo Mengi sana ya kupigiwa mfano kama kama kiongozi wa Taifa letu;-

Hayati Dkt John Pombe Magufuli nina imani na ninaamini kanisa la Tanzania linahaja na sababu zote za Kumtaja Magufuli kama Mtakatifu:

Yafuatayo ni machache tu Marehemu

1. Alimtumaini Mwenyezi Mungu muda wote wa Utumishi wake, kila jambo alimtanguliza Mungu bila shaka sisi sote ni mashahidi.

2. Upendo : Mheshimiwa alikuwa na upendo kwa kila Mtanzania na haswa wanyonge, hakuwa mbaguzi

3. Alikuwa Mzalendo aliepigania maslahi ya inchi ake inje na ndani ya Tanzania, na hii ilikuwa ni kwa manufaa ya Watanzania wote

4: Aliichukia Rushwa na aliipinga Hiyo rushwa kwa vitendo, sote tunajua ya kwamba rushwa no Adui wa haki

5. Nidhamu ya Matumizi ya Fedha za umma, Kodi za Wanainchi;-

Na mambo Mengi ambayo kila mmoja wetu anayafahamu,

Dkt Hayati Magufuli kuwa Mwenyeheri na hatimae Kuitwa Mtakatifu;-

Raha ya Milele umpe ee bwana, Na Mwanga wa milele umwangazie, Apumzike kwa Amani , Amiina.
Sio atakuwa mtakatifu, huyo tayari ni mtakatifu, Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
 
Mark my Word : “Livafan”

Mheshimiwa kafanya mambo Mengi sana ya kupigiwa mfano kama kama kiongozi wa Taifa letu;-

Hayati Dkt John Pombe Magufuli nina imani na ninaamini kanisa la Tanzania linahaja na sababu zote za Kumtaja Magufuli kama Mtakatifu:

Yafuatayo ni machache tu Marehemu

1. Alimtumaini Mwenyezi Mungu muda wote wa Utumishi wake, kila jambo alimtanguliza Mungu bila shaka sisi sote ni mashahidi.

2. Upendo : Mheshimiwa alikuwa na upendo kwa kila Mtanzania na haswa wanyonge, hakuwa mbaguzi

3. Alikuwa Mzalendo aliepigania maslahi ya inchi ake inje na ndani ya Tanzania, na hii ilikuwa ni kwa manufaa ya Watanzania wote

4: Aliichukia Rushwa na aliipinga Hiyo rushwa kwa vitendo, sote tunajua ya kwamba rushwa no Adui wa haki

5. Nidhamu ya Matumizi ya Fedha za umma, Kodi za Wanainchi;-

6. Hakuogopa lolote , Yeyote bali alimtumainia Mungu, hata Corona kwake haikuwa kitu cha kumtisha, aliamini hata baada ya maisha haya ya Dunia kuna Mengine .

Na mambo Mengi ambayo kila mmoja wetu anayafahamu,

Dkt Hayati Magufuli kuwa Mwenyeheri na hatimae Kuitwa Mtakatifu;-

Raha ya Milele umpe ee bwana, Na Mwanga wa milele umwangazie, Apumzike kwa Amani , Amiina.
UPUMBAVU WA KIWANGO CHA JUU KABSAAA
 
Back
Top Bottom