Hayasemeki mambo Horseplay yanapofanywa na ndugu.

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
[h=1]Rihanna larks around with her little brother Rajad[/h]
article-0-12D731E5000005DC-833_468x286.jpg
Horseplay: Rihanna posted this picture of her and little brother Rajad on her Twitter account

article-0-12C31736000005DC-711_468x373.jpg
Close family: Rihanna with their mother, Monica Fenty, at the Time gala in New York on April 24

article-2137663-12C17E06000005DC-837_224x587.jpg

article-2137663-12C17DDF000005DC-706_224x587.jpg

Doing her family proud: Rihanna dressed up nicely to accompany her mother to the Time event

'
 
Haijakaa sawa... but maybe it is not what it looks like.
 
Nina shaka labda wanaweza kuwa incests. Maana mtu na mdogo wake wacheze namna hii! Bado sijaelewa.

rihanna-barbados-02.jpg rihanna-barbados-04.jpg rihanna-barbados-06.jpg rr.jpg
Kajionee mwenyewe hapa.
nawasilisha.
 
Nina shaka labda wanaweza kuwa incests. Maana mtu na mdogo wake wacheze namna hii! Bado sijaelewa.

View attachment 53227 View attachment 53228 View attachment 53229 View attachment 53232
Kajionee mwenyewe hapa.
nawasilisha.
Usilinganishe culture za kwenu na za wenzenu. Nishaona baba kaongozana na familia yake mna watoto wa kiume na wa kike wenye umri kati ya miaka 14 hadi 25, kwenda beach. Na katika hali ya kushangaza, mama na mabinti zeke walichojoa wakabaki na bikini na sidiria, baba na kijana wake wa kiume nao wakabaki na vichupi tu. Just imagine wote wapo pamoja na wanaanza michezo yao ya kurukaruka kwenye maji bila kuoneana aibu. Kijana anamwangalia mamake akiwa na bikini, mabinti wanaangalia kitu cha baba yao kikiwa kimetuna. Sembuse hawa kaka na dada?
 
Ni kweli culture zinatofautiana, kwani huko Scandinavia kuna siku ya familia wanaingia sauna familia nzima baba, mama na watoto na hakuna cha ajabu. Kwa wabongo hiyo ni kufuru.
 
Back
Top Bottom