Hayambee....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
mtori.jpg mtori1.jpg
 
Hatari sana December hiyoooooooooo! one way moja matata sana kibosho moja iyo wachaga mmmmmmmmpoooooooooo!
 
Kweli sijui...sitanii

Mtori ni kama uji unaotokana na ndizi da farkhina ambamo unachanganywa na nyama etc. Ni chakula kizuri sana kwa watoto, wagonjwa, wa mama wajawazito na hata kwa wale wanaotumia kilevi inasaidia kukata kilevi asubuhi!
 
Last edited by a moderator:
Mtori ni kama uji unaotokana na ndizi da farkhina ambamo unachanganywa na nyama etc. Ni chakula kizuri sana kwa watoto, wagonjwa, wa mama wajawazito na hata kwa wale wanaotumia kilevi inasaidia kukata kilevi asubuhi!

Watu kwa kweli tunadanganyana jamani. Mimi nasikiaga mtori kuwa ni tigo na mwanamme yeyote anayezoea kula mtori lazima anakuwa na tigo laini na pia anakuwa hana nguvu za kiume ndiyo maana nauwogopa hata kuuona.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom