Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Siku hizi ukiangalia kwenye mitandao mingi ya kijamii kama FB, JF, IG etc. Post nyingi zinazomzungumzia JPM unakuta zimejaa comments nyingi za kumponda. Kwa upande mwingine nakutana na post za Lowassa ambazo unakuta comments nyingi zikimsifia na kumkubali mzee lowasa.
Huwa najiuliza mkulu huwa anajisikiaje anapoona hali kama hii ikiendelea kukuwa kwa kasi. Hata kama ni mimi lazima iniume sana. Nitafute kiki mimi lakini mwisho wa siku asifiwe mwingine????? Hapa lazima nikaze muishi kama mashetani ndyo mkome.
Watanzania tupunguze kumuonea Raisi wetu. Hata yeye ni binadamu anakosea. Tuanze mwaka 2017 na kumuombea.
Hasa member wa humu JF mjirekebishe. Nyie ndyo mnaongoza kumponda Raisi wetu.