Haya yote mmeyasababisha nyie Maliasili .

mmakondehuru

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
381
250
Hivi karibuni kumekuwa na kamata kamata ya wafanyabiashara wa mazao ya misitu wasio na vibali,ni jambo jema nalipongeza na lina lengo la kuhifadhi raslimali zetu kwa ajili ya vizazi vijavyo.

Pamoja na hilo binafsi nimegundua kuwa kupitia hiyo hiyo kampeni ya Mkaa Luna baadhi ya maofisa wasio wa idara ya misitu hutumia STK,STL na SM kuwakama wabeba Mkaa na kuwa pora Mkaa wao,kinachoshangaza zaidi ni Mkaa tu ndio unaokamatwa na muhusika huachiwa,swali langu ni je, hivi huo Mkaa unapelekwa mahakamani au? Ndivyo mlivyoagizwa kufanya hili zoezi?.tuache kuitumia vbaya kauli ya HAPA kazi tu.ni hayo tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom