Haya yananifanya nisijiunge na king'amuzi cha Azam

maisha bila unafki hayaendi.

Wagalatia inawauma sana wanapo muona Muislaam kafanikiwa. Mleta mada hana cha zaidi ni chuki tu ! ipo TING na Trinety akajiunge nazo!
Kwa sasa post nyingi zinaletwa humu kumchafua tu.
Sasa Dewji ambaye pia Muislaam ndio tajiri wa Tz, mtakunywa sumu! ?
 
bila ubishi azam ni moja ya king'amuzi bora kabisa kwa maana ya kuwa na chanel nzuri na zakupendeza ukilinganisha na ving'amuzi vingine lakini mambo haya mawili yananifanya nisijiunge na hicho king'amuzi...

1. Kutokuwepo kwa chanel ya start tv ambapo huwa napata nafasi ya habari za uhakika kupitia watangazaji mahiri kama salim kikeke, chalres hillary, kasim kayira, zuhura yunus na peter musembi kupitia dira ya dunia saa tatu usiku jumatatu mpaka ijumaa.

2. Kutokuwepo kwa chanel ya gospel hata moja tu ambayo nitaweza kupata mambo ya imani yangu hata wangalau chanel moja tu.

Bila shaka wengi wapo ambao wanasubiri mtatue hayo mawili na bila shaka mtajikusanyia wateja wa kutosha.

Nawasilisha.
acheni zenu ninyi kwani lazima kujiunga?,kwa taarifa yenu kwa azam mutasubiri sana..............hawana hata miaka miwili kwenye gemu lakini mambo wanayoyafanya yenyewe yanajionesha
 
11049525_1407750886198097_7010601218439990040_n.jpg 11049525_1407750886198097_7010601218439990040_n.jpg
 
this is nonsense....!

jibu kwa fact miss.

ulitaka wahindi waende m.city au

kwa huo mfano wako wa kijinga compare distance coverage from k/koo to mwenge and from k/koo to quality center.
I take k/koo coz wahindi wengi wanakaa hapo

Na we we kwa comment yako ya kijinga unajua wahindi wote wanakaa kariakoo?

Ukweli utabaki kuwa ngozi nyeusi hatujui kupeana support....kazi majungu
 
Na we we kwa comment yako ya kijinga unajua wahindi wote wanakaa kariakoo?

Ukweli utabaki kuwa ngozi nyeusi hatujui kupeana support....kazi majungu

me nimesema ''wengi'' wewe unasema ''wote''........hahahaha

umeshinda miss.
 
Nadhani ukitoa DSTV, kwa hivi vya wazawa Azam wako vema; Ina ladha mchanganyiko kwa jamiii ya namna tofauti-
 
akili ndogo kazini..
kwani mbona Luna wide range ya uchaguzi wa visimbusi hapa Tanzania? tenants vingine vina hiyo star TV?

2. ni nani aliemlazimisha mleta Uzi au yeyote yule kununua kisimbusi cha azam?

3. David Ricardo's comparative advantage theory inatuelekeza kwa kina katika uchaguzi wa kitu chochote na kama umechagua AZAM TV kwa mujibu wa David Ricardo upon sahihi sawa kabisa name yule alochagua kisimbusi kingine?

4. kama shida yako ni startv basi nunua kisimbusi cha continental na sio kumlalamikia Mzee backhresa ambaye hajakulazimisha kununua kisimbusi choke?
 
Azam wamejaza machanel ya kiarabu,hasa ya dubai, kihind;kisomal sku iz naona, na za kiislam watu wanamilik hii dgtal sabab ya mpira wa simba na yanga tu....siku iz kuna supespot ubakipa 17 elfu kwa mwez..wkend wanakufungulia chanel zote za mpra

acha uwongo wewe
 
Kilichokuwa kinataka kunipeleka Azam ni mpira wa bongo VPL, ila sasa hivi naangalia Azam Two online safi kabisa.
 
Halafu mbona color yake c nzur manake kimeandikwa hd lkn me ciioni manake kimefugwa jana hapa home lkn chakipenda halafu hakina channel nzur saana
 
Mbona mmeng'ang'ania emmanuel tv tuuuu…kwani dini yake mwaijua au mkisikia dini mnadhani ni christian na islam!!??labda dini yake ni budhism mnajuaje!??
 
Halafu mbona color yake c nzur manake kimeandikwa hd lkn me ciioni manake kimefugwa jana hapa home lkn chakipenda halafu hakina channel nzur saana

Inawezekana unatumia tv ya kizaman..mm natumia sumsung flat color iko poa kabisa..zaid natumia waya wa HDMI
 
Back
Top Bottom