Haya yalikuwa matumaini ya wengi kwa Dk. Rioba

Pamoja na watu wengi kumsifia Tido Mhando akiwa TBC ni kweli alifanya mkubwa kwa utashi wake lakini kumbuka TBC ina msingi yake ktk uendeshaji wake kama taasisi ya umma.

Dr Rioba ni mzuri lakini kwa TBC ataendesha kwa kufuata msingi ya TBC na si nje ya hapo.

TBC iko makini na kazi zake na INA vyombo vya kisasa na vya gharama sana na kamwe haitafanya Fanya kazi kwa kufuata matakwa ya MTU Bali taratibu za taasisi.

Mkurugenzi Dr Rioba amepewa dhamana na Rais na anajua anachokifanya ili kuboresha shirika na maslahi ya watumishi tumwache afanye kazi.
Sasa hapo ndg yangu linaboreka au linakufa? Imefikia hadi viongozi wa serikali hawalitumii kabisa kwasababu wanajua halina watazamaji, wanaenda clouds au TV nyingine
 
Nimesema TBC ina misingi yake ambayo ukiwa pale unatakiwa kuifuata ndiyo Serikali yenyewe.

Huwezi kuendesha kile chombo kwa utashi wako tu.
Kwani ndg yangu watu wanachopinga ni nini? Wanaipinga hiyo msingi kwani ni mibovu na inapelekea shirika kukosa mvuto.
Unatakiwa MTU mwenye ujasiri wa kumwambia mtukufu kuwa hapana hiyo sio kwa chombo cha umma
 
Pamoja na watu wengi kumsifia Tido Mhando akiwa TBC ni kweli alifanya mkubwa kwa utashi wake lakini kumbuka TBC ina msingi yake ktk uendeshaji wake kama taasisi ya umma.

Dr Rioba ni mzuri lakini kwa TBC ataendesha kwa kufuata msingi ya TBC na si nje ya hapo.

TBC iko makini na kazi zake na INA vyombo vya kisasa na vya gharama sana na kamwe haitafanya Fanya kazi kwa kufuata matakwa ya MTU Bali taratibu za taasisi.

Mkurugenzi Dr Rioba amepewa dhamana na Rais na anajua anachokifanya ili kuboresha shirika na maslahi ya watumishi tumwache afanye kazi.
acha kutetea ujinga vifaa vya kisasa vipi??

kamera mbaya picha kama 3 mega pixel, sauti inakata siku nzima, vipindi vya ovyo kabisi, back ground za vipindi vyote mbaya usasa huo uko wapi?

makala zao wanarudia kila siku nyingine since enzi za JK wakati miradi ya serikali kibao tu inaendelea

tunataka kuona rais akipiga simu TBC na sio Clouds

NOTE: sijasema wapige mziki wala kuweka vipindi vyetu vijana
 
Dk. Rioba huyu sio yule tena brother!, amekwisha kunywa mvinyo wa madaraka kiukweli "TBC" imepoteza mvuto kwa watazamaji na Rioba anajua kilicho mpata "Tido Mhando " na yy kwakuwa ni mchumia tumbo hawezi kwenda tofauti na matakwa ya wanao msimamia japo anajua nn cha kufanya ili kuleta tija amini inchi hii wanao ichelewesha ni wasomi hasa wachumia tumbo tutachelewa sana kama tutaendelea kuwa na wasomi wa aina hii kutuletea maendeleo.
 
Mlau sijakuona ila kulingana na hoja zako ww utakuwa ni mzee, na nimegundua ww utakuwa ni mmoja wa washauri wa serekali hii. Kwa jinsi ulivyotoa utetezi wa uwanja wa ndege wa chato unaonyesha ni mtu usiye mbunifu lakini unayeamini katika nguvu ya dola. Watu kama nyie hamjawahi kujiajiri na hamtokaa muweze kwani hakuna chochote utakachoweza kufanya kwa uwezo wa ushawishi bali nguvu za dola. Na iwapo mtu kama ww itatokea kutakiwa kupunguzwa kazini ni lazima utashinda kwa waganga wa kienyeji kwa huna unalomudu zaidi ya kutegemea mshahara. Kama unaweza kusimama hapa bila aibu na kutetea huo udhaifu na kuita eti hiyo ni taasisi yaani ni bonge la aibu. Kwa maneno marahisi ni kwamba taasisi ya umma haijali ubora bali ni nini watawala wanataka!! Haya mawazo yako nina hakika ndio yalilyochangia kuua viwanda vya nchi hii. Ni aibu watu kama nyie ndio vimbelembele wa madaraka wakati hamjui lolote.
Kiukweli nimeshindwa kukuelewa, hii ndiyo umesema wanakilakitu lakini hawawezi kujiamulia mpaka wapewe muongozo na muongozo huo ni wa kisiasa zaidi kuliko taaluma, hivi unaelewa chombo kuwa cha Umma!?
 
Dola itabaki kama Dola tu ila kumbuka TBC ni chombo cha Umma na Hakiwezi kuendeshwa kwa sababu mnataka kiwafurahishe watu Fulani never.

TV inataendeshwa kwa msingi iliyowekwa na si vinginevyo.

Watz kazi yetu kulalamika hakuna shida nayo ni Fani yetu.

TBC itabaki kuwa TBC na ITV itabaki kuwa ITV no way out.

Mkuu hivi unajua vizuri maana ya statement 'NO WAY OU!' kama umeajiliwa TBC basi nakushauri tafuta shughuri nyingine ya kufanya, kuliko kug'ang'ania kukaa pale bila ya ku-contribute chochote cha maana zaidi ya kutaka kuonekana colourful unapotangaza kwenye luninga, majivuno tu! - kwani hatuwajui?

Nakumbuka mmoja wenu aliwahi kupekekwa na Tido Merikani kutangaza nadhani kuapishwa kwa Obama kwa mara ya kwanza kama sikiosei - sasa nini kilitokea, mtangazaji mwenyewe hajui jeografia ya USA akishindwa kutambua yupo jimbo gani - na mambo mengi aliyokuwa anazungumza/tangaza ni irrelevant kabisa - majivuno mengii, mpaka Tido akakasirika na kumuondoa hewani, sasa baadhi ya watu wa design hiyo ndio bado wapo hapo TBC unategemea miujiza gani, majibu yao ndiyo haya haya Dola, Dola,Dola - wapo wapo tu wacha liende - inasikitisha sana !!
 
Pamoja na watu wengi kumsifia Tido Mhando akiwa TBC ni kweli alifanya mkubwa kwa utashi wake lakini kumbuka TBC ina msingi yake ktk uendeshaji wake kama taasisi ya umma.

Dr Rioba ni mzuri lakini kwa TBC ataendesha kwa kufuata msingi ya TBC na si nje ya hapo.

TBC iko makini na kazi zake na INA vyombo vya kisasa na vya gharama sana na kamwe haitafanya Fanya kazi kwa kufuata matakwa ya MTU Bali taratibu za taasisi.

Mkurugenzi Dr Rioba amepewa dhamana na Rais na anajua anachokifanya ili kuboresha shirika na maslahi ya watumishi tumwache afanye kazi.
Mbona unatoa povu, ungesoma hoja za baadhi ya wachangiaji wa thread hii usingeumuka kama umekunywa hamira. Ni vigumu sana TBC kubadilishwa na mtu bila sera ya uendeshaji wake ambao umeiingiza TBC katika siasa, na ndipo tatizo linapoanzia. Michango ya aina hii husaidia taasisi kuona umuhimu wa kuwa na mabadiliko ya kuboresha zaidi.
 
Sasa hivi tbc wanavipindi vizuri kweli documentary nzuri nimegundua Hilo baada Ya king'amuzi changu kukata
Lakini kwa Upande WA Habari Bado wako nyuma Sana unakuta mwandishi amesoma Habari Lakini mitambo inagoma na hawajali kabisa wanaendelea tu na hiyo inakuwa imetoka kabisa ....!!
 
Pamoja na watu wengi kumsifia Tido Mhando akiwa TBC ni kweli alifanya mkubwa kwa utashi wake lakini kumbuka TBC ina msingi yake ktk uendeshaji wake kama taasisi ya umma.

Dr Rioba ni mzuri lakini kwa TBC ataendesha kwa kufuata msingi ya TBC na si nje ya hapo.

TBC iko makini na kazi zake na INA vyombo vya kisasa na vya gharama sana na kamwe haitafanya Fanya kazi kwa kufuata matakwa ya MTU Bali taratibu za taasisi.

Mkurugenzi Dr Rioba amepewa dhamana na Rais na anajua anachokifanya ili kuboresha shirika na maslahi ya watumishi tumwache afanye kazi.
TBC iko makini?
 
Wana mitambo ya kisasa lakini picha chafu,aiseee.
TBC ni yetu si ya serikali
 
Dr. Ayub Lyoba anaiendesha TBC kwa kifuata kanuni na sharia zilizowekwa nasikwa maamuzi yake binafsi kama mnavyodhani msimuhukumu hatoi mabilioni mfukoni kuiendesha TBC bali anapewa sasa habari zakumsema tulieni asimamie anchoweza kujikuna
Sheria hizo ndo zinazotaka TBC isiwe na viwango vya ubora kwenye pichaaa,isiee na watangazaji na waandishi mahiri,isitangaze habar kwa kuzingatia usawa,iripot habar za kusifia tu?
 
Hiki king'amuzi cha AZAM nao wanatutia stress, kifurushi kikiisha wanafunga channel zote na kubakisha TBC pekee....., ndo muda pekee ninapojikuta naitazama hii channel
 
Pamoja na watu wengi kumsifia Tido Mhando akiwa TBC ni kweli alifanya mkubwa kwa utashi wake lakini kumbuka TBC ina msingi yake ktk uendeshaji wake kama taasisi ya umma.

Dr Rioba ni mzuri lakini kwa TBC ataendesha kwa kufuata msingi ya TBC na si nje ya hapo.

TBC iko makini na kazi zake na INA vyombo vya kisasa na vya gharama sana na kamwe haitafanya Fanya kazi kwa kufuata matakwa ya MTU Bali taratibu za taasisi.

Mkurugenzi Dr Rioba amepewa dhamana na Rais na anajua anachokifanya ili kuboresha shirika na maslahi ya watumishi tumwache afanye kazi.
Mkuu sijakuelewa, una maana taratibu na misingi ya uendeshaji WA TBC zinawataka watangazaji wao waruke habari za Ukawa na kurusha zile za CCM? ushahidi wa hili uko wazi .Andishi lako ni Kama linatetea kile wanachofanya.
 
Hilo lilikuwa kosa na ndiyo maana TCRA walitoa adhabu.
 
Back
Top Bottom