Haya wapenzi wa man utd ni muda wa kudhihilisha kuwa siku ile barc.aliwaotea tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya wapenzi wa man utd ni muda wa kudhihilisha kuwa siku ile barc.aliwaotea tu.

Discussion in 'Sports' started by white wizard, Jul 22, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,200
  Likes Received: 334
  Trophy Points: 180
  Hatimaye kocha wa manchester united,amefanikisha ule mpango wake wa kupata mechi ya kirafiki na barcelona itakayopigwa tarehe 30,mwezi huu.ili adhihilishe kuwa siku ile aliotewa tu!yasije yakawa zaidi ya yale.
   
 2. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  kuna vitoto vipya pale barca vipo moto balaa sasa yasije yakaongezeka na sir ferg degedege likampata upya
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,277
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kwahyo mechi kesho!
   
Loading...