Haya Wakuu Mwenyye Laki 4 Sumsung Galaxy S II

Digitali

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
424
91
Wasalaam ALEIKHUM wakuu
Simu Galaxy SII inauzwa laki 4 tu, inapiga mzigo fresh

Defaulty
Imepasuka kioo cha mbele sehemu ya juu (Tazama Picha) hakuna tatizo lingine zaidi ya hilo
Nasikitika sana kuiuza simu yangu maana tulikuwa tumezoeana sana kwa kipindi chote tulikuwa wote

Bei haipungui IMG_3246.JPG IMG_3243.JPG IMG_3248.JPG

Kandamiza namba hii 0659387945
 
Back
Top Bottom