Haya Wabongo nataka kujenga nyumba kama hiyo Tanzania mnaseamaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya Wabongo nataka kujenga nyumba kama hiyo Tanzania mnaseamaje?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, May 1, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]Nina kiwanja changu vijibweni nataka kujenga nyumba kama hiyo Mnasemaje? wabongo? itakuwa na thamani ya dola laki 5.
   
 2. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  MM naomba ramani mkuu. Faster . . . .
   
 3. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mbona hakuna kitu hapo. We hilo paa tu ndio limekuzingua. mi sijapenda kabisa, utadhani bucha la nyama!!!.
   
 4. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 803
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  tena bucha la mgogo.
   
 5. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  kumbe umejaa mahela eeeh,kazi ya uganga kumbe inalipa hivi...ngoja na mie niwe mganga....:tape:
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Mbona haina hata garden wala swimming pool? Kiwanja chako kiko magomeni?
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Ya kawaaida sana..
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Haya tena kwa nyuma ni hivi jamani


  64670_154182304621825_117359528304103_266474_6691323_n.jpg
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @Superman Ramani yake bonyeza hapa uchaguwe nyumba unayoitaka House Plans
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @King'asti kwa ndani ina kila kitu hiyo...
   
 11. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mzizi mkavu hongera,,,,,,,

  kumbe wewe ni dada yake mwamvita....!!
   
 12. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Safi sana.. I support you .. Unajua kuangalia vitu vizuri..nimeisave Nataka fasta kuijenga Ubungo kabla yako.. U'll c
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @mama D wewe umemjuaje dada yangu mwamvita yupo mjini Zanzibar ahhh wewe kumbe ni mchunguzi sana?
   
 14. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu nyumbani ni nzuri kwa wastani.
  Tatizo tu ni nyumba ndogo sana, haiwezi kuwa na zaidi ya vyumba viwili.
  Ratio ya built-up area/plot ni kubwa sana, kiwanja kidogo, hivyo kupunguza thamani ya jengo.

  Hata hivyo finishes ni ok ingawaje slightly overdone.

  Hivyo basi thamani ya jingo hilo ikizidi dola laki Tatu nitashangaa,to be conservative pengine two fifty.
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu@Lole Gwakisa Ni Kweli nyumba ni ndogo lakini kwa upande wangu inatosha ina vyumba 4, chumba cha varanda na choo,bafu na jiko kwangu mimi na mke wangu na watoto zetu 2 si inatosha Mkuu? Nyumba zenye vyumba

  vingi zinachosha bwana tunakwenda na wakati nyumba ikiwa na vyumba vingi Wageni hawaihi si unajuwa mimi ni

  Mzaramo wa Bagamoyo. Nitaishi na mke wangu wa kizungu na watoto wetu 2 inatosha mambo ya kupokea wageni hakuna bwana mgeni akitaka kuja nyumbani itabidi apige simu .
   
 16. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  nyumba hiyo kwa vijibweni hata $150,000 kazi kidogo... sikuhizi china iko mwake

  btw the design and everything iko simple sana

  good colors though
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu@Janjaweed hapo nilipo weka Red una maana gani mkuu Janjaweed? Umeipenda nyumba yangu
   
 18. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,491
  Likes Received: 4,760
  Trophy Points: 280
  Nakutafutia Ramani ya Nyumba ya Ezekiel Maige/Mwamvita Makamba nitaku pm sasa hivi
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Nyumba nzuri
  Ila angalia usije ukawa na wewe ni miongoni mwa mafisadi wa bongo
   
 20. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  It's nice and simple,ngoja nimuonyeshe fataki wangu aniporomoshee kama hii lol!
   
Loading...