Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Sasa kwa nin lectures wengi wawe nshomile?

Na sio UDSM Tu hata MUHAS, Bugando hata mkuu wa hospital ya Bugando pia ni nshomile.

Je kairuki hospital na chuo je? Vyote vinamilikiwa na wahaya.

Why wahaya?

Wanapenda kazi ya ualimu kama jinsi Wakurya wanavyopenda kazi ya Jeshi na Polisi, full stop.
 
Wanapenda kazi ya ualimu kama jinsi Wakurya wanavyopenda kazi ya Jeshi na Polisi, full stop.
Hebu tuje kwenye Sheria sasa.
Hiv unajua kuna wanasheria wangapi wahaya? Mawakili je?

Bila Shaka unamfahamu jaji Rweyemamu wa mahakama kuu.je jaji Themistocles kaijage? Na wengine kibao.

Njoo kwenye afya sasa mkuu wa hospital ya bugando na pale 60 % ni wahaya.njoo kairuki hospital inamilikiwa na wahaya yote.muhimbili ,na hospital kibao nenda muhas utazame wanafunzi wahaya.

Njoo kwenye sekta ya Ardhi sasa hebu njoo Ardhi university angalia idadi kubwa ya wanafunzi, maafisa wa Ardhi .
Masurveyors naongelea hapa kwa sababu na Mimi ni surveyor.

Njoo mainjinia sasa bila Shaka unamfahamu Tanroads,na makampuni makubwa ya ujenzi abemulo enterprise na mengine mengi kama luganuza

Njoo sekta ya biashara sasa ambayo Tukianza na Waziri wake Kwanza bashungwa.njoo kwenye matajiri wakubwa bongo kama ally mfuruki ambaye yupo top ten Kwa matajiri ndo mtu pekee mweusi aliyebaki baada mengi kufariki.

Njoo kwenye dini sasa hasa Catholic kama unavyojua asilimia tisini ya wahaya ni wakatoliki ( ndo maana majina Yao mengi huishia na us) Jimbo la Bukoba ndo lenye mapadre wengi wazawa kuliko yote
Kardinali wa Kwanza mweusi no muhaya ujue pia na mapadre wa Kwanza tz ni wahaya

Lakini hata mapungufu tunayo maana biashara na mambo mengi yameanzisha na wahaya ukija kwenye mziki WA asili na mziki wakina Ruge.hata biashara ya sinza mori, ukimwi nk yote yalianzia uhayani hii yote Kwa sababu ya exposition kubwa iliyopo uhayani.
 
Lakini hata mapungufu tunayo

Hapo sasa, that is it, kwamba mapungufu mnayo.

Wewe sasa umekuwa "Muhaya bora" kuliko Wahaya wengine 🙏🏻🙏🏻.--- siyo kujiita tu the most intelligent people bila kueleza mapungufu yenu.

The most intelligent people on earth are Isralites, by intelligence, I mean the ability of the brain to function effectively on several problems and issues facing mankind.

Hata vitabu vya Mungu vinakiri jambo hilo kwamba Isralites are very brainy, ni wengi wao ndio wanaoshikilia zawadi za Nobel in proportion to the world population.

Je, kama Wahaya wangekuwa na akili kama za Waisraeli ingekuwa vipi??😁😁, au angekuwepo Muhaya mmoja tu aliyepata zawadi ya Nobel ingekuwa vipi?!😁😁.

Halafu nikadhani ungepinga kwamba nyinyi Wahaya hampendi kazi ya Ualimu.
 
Kuleni na nyie muwe na akili kama wahaya.

Kuna Siri kubwa kwenye wadudu hao

Kuleni Migebuka na Mawese, siyo kula Wadudu, sasa Paka ale nini??.

Nasikia huko hata unaweza kuoa kwa debe moja la nsenene,😁😁
 
Hapo sasa, that is it, kwamba mapungufu mnayo.

Wewe sasa umekuwa "Muhaya bora" kuliko Wahaya wengine .--- siyo kujiita tu the most intelligent people bila kueleza mapungufu yenu.

The most intelligent people on earth are Isralites, by intelligence, I mean the ability of the brain to function effectively on several problems and issues facing mankind.

Hata vitabu vya Mungu vinakiri jambo hilo kwamba Isralites are very brainy, ni wengi wao ndio wanaoshikilia zawadi za Nobel in proportion to the world population.

Je, kama Wahaya wangekuwa na akili kama za Waisraeli ingekuwa vipi??, au angekuwepo Muhaya mmoja tu aliyepata zawadi ya Nobel ingekuwa vipi?!.

Halafu nikadhani ungepinga kwamba nyinyi Wahaya hampendi kazi ya Ualimu.
Ila kuna uhusiano uliopo.maana history inasema wahaya walitoka misri walikuja kupitia mto nile na kupita Uganda na kussetle kagera .

Pia waislaeli wanamapungufu Yao juzi wamechagua viongozi mashoga.
 
Kuleni Migebuka na Mawese, siyo kula Wadudu, sasa Paka ale nini??.

Nasikia huko hata unaweza kuoa kwa debe moja la nsenene,
Hao waha wanaokula migebuka kila siku .wako nyuma Sana kulinganisha na wahaya pamoja na kuwa watani wao.
 
Ila kuna uhusiano uliopo.maana history inasema wahaya walitoka misri walikuja kupitia mto nile na kupita Uganda na kussetle kagera .

Pia waislaeli wanamapungufu Yao juzi wamechagua viongozi mashoga.

Hata kama mlitoka Misri lakini hakuna mahusiano yoyote kati ya Waisraeli na Wahaya-- angalia Lugha tu, Wahaya na Waganda ni jamii moja inayoongea kibantu na Waisraeli wanaongea semitic language na hata tamaduni hazifanani kabisa.

Labda useme Wahaya ni kutoka jamii ya Wamisri wa kale (jamii ya Wanubi/ Pharaoh's tribes), lakini sio Waisraeli.

Kama mnayo mahusiano na Waisraeli mbona Wenzenu wamechagua Shoga na nyinyi mtachagua nani??
 
Hao waha wanaokula migebuka kila siku .wako nyuma Sana kulinganisha na wahaya pamoja na kuwa watani wao.

Ni mfumo kandamizi wa Nyerere uoliofanya Mkoa wa Kigoma ubaki nyuma kisa eti watu wa Kigoma sio raia wa Tanzania, wanadai ni raia kutoka Kongo na Burundi hivyo kunyimwa maendeleo ya elimu ilikuwa ni "haki".

Hadi mwaka 1979 kulikuwa na sekondari moja tu (o level) mkoa mzima, tena ilijengwa na Wakoloni.

Vipi miaka hiyo Kagera kulikuwa na sekondari ngapi??-- in this case it is incomparable between kigoma and Kagera, had there been a fair playing field in this case, then probably Kigoma (the people) would have been far nowadays.
 
Wahaya mmekosa haya ya ukabila.

Ntakugambira stupid in front of your wife !!.😁
IWE MWANA ASHOMILE ! KULIKO MATAA ! ASHOMILE MPAKA FORM SIX 😂😂

,MWANA ASHOMILE MPAKA UNIVERSITY BUT NO COURSE ! AGAMBA GENDA AGAMBA STOP😁😁😁

WAHAYA WAZEE WA CODE MIXING😅😅
 
Wanazidi kitoboa Tu.

Watu waendelee kuumia.

Mwingine huyu hapa amewagalagaza wazungu wote wa Frederick university of California
Screenshot_20190630-182411.jpeg
Screenshot_20190630-182447.jpeg
 
IWE MWANA ASHOMILE ! KULIKO MATAA ! ASHOMILE MPAKA FORM SIX

,MWANA ASHOMILE MPAKA UNIVERSITY BUT NO COURSE ! AGAMBA GENDA AGAMBA STOP

WAHAYA WAZEE WA CODE MIXING
Inaonekana watu wengi, wanatami kuwa wahaya, kama ilivyo.
 
Wahaya ni misifa tu inawasumbua kwani wana kutabia cha kutaka kuonekana kuwa wana akili Kumbe wanalazimisha tu.

These guys ni wasanii ... Opportunists and hypocrites!

Hebu tuwekee wahaya mabilionea kwani kuwa kwenye hizo taasisi kwa wingi ulioutaja ni ishara kwamba wana elimu kubwa ... Sawa wana elimu but ARE THEY ABLE TO PUT THE KNOWLEDGE INTO PRACTICE?

Ndugu competence inaundwa na vitu muhimu vitatu: KNOWLEDGE, SKILLS & ATTITUDE (ASK). Tofauti Kati ya knowledge na skills ni kwamba knowledge (Intelligence Quotient - IQ hufanya watu waelewe vitu kwa wepesi kuliko wengine) inapatikana kwa kuhudhuria lecture na kusoma makabrasha meeengi na makubwa makubwa (wahaya ni mahiri hapa nakubali); SKILLS ni uwezo wa kutumia knowledge kusolve problems (hapa wako zero kwani miPhD na Uprofesa haujawasaidia kuleta Ubunifu katika kazi ... Ndio maana maprof wengi ni maskini ... Ukijumlisha vipato vya maprof na MaDR wote bongo havifikii nusu ya utajiri wa mtu Kama Dewj au Mengi); Attitude inamfanya mtu awe na low/high Emotional Intelligence/quotient (EQ) ... Hapa wahaya wengi wana EQ ndogo kwani Sifa mingi na kujifanya wajuvi huwafanya wanajamii wawakimbie ukiongeza na utapeli ndio basi tena.

Kwa hiyo mleta mada kujipanga upya ... Nenda ukasome kuhusu intelligence vizuri ndio uje umwage PUMBA zako hapa!!!
Sasa hiv kuna bilionea mmoja Tu mweusi katika top ten ya bongo naye ni ally mufuruki muhaya wa huko Bukoba
 
We ndo mbumbumbu kabisa.
Isack Newtown alikuwa most intelligent na hajawahi kutokea mtu kama huyo
Je Einstein

Hawa walikuwa mabilionea?
 
Back
Top Bottom