HAYA: The most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
4,278
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
4,278 2,000
Sasa unapoona fahari kuitwa the "most intelligent people" pia usione aibu kuitwa "the most "tribalist" tribe on earth"-- in this case you are second to none-- "hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro" wahenga wamesema, na kasoro yenu ni "tribalism" ikiambatana na "nepotism".

Nilipokuwa sekondari nilisoma na wahaya kadhaa darasani, Kuna Muhaya mmoja alikuwa anaona "Aibu" kuniuliza maswali ya hesabu yaliyomshinda na alikuwa anatoka kwenda kuuliza hayo maswali kwa Muhaya mwingine katika darasa jingine, na alikuwa akienda bila kijificha yaani anakwenda huku akisema mbele yetu "nakwenda kwa fulani akanifundishe".

Mwanzoni mimi nilikuwa siwajui vyema Wahaya lakini nilipoanza kuwajua vyema haikunipa shida tena.

Primary nilikuwa na rafiki wa kihaya "Emanuel Ruta",alikuwa rafiki yangu, alikuwa analeta vitabu vya hesabu vya form one au two vya kaka yake tunafanya pamoja mahesabu ya form one alinipenda kwa sababu nilikuwa nakokotoa kinyama- namshukuru Mungu kwa hilo.

NB, Kuna baadhi ya Wahaya wachache ni poa sana.

Ninasema ukweli kwa sababu Wahaya ni watani zangu.
We kabila gani Kwanza .

Nami nikuchambue nilioshakutana nao

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2018
Messages
845
Points
1,000
Qwy

Qwy

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2018
845 1,000
Sasa kwa nin lectures wengi wawe nshomile?


Na sio UDSM Tu hata MUHAS, Bugando hata mkuu wa hospital ya Bugando pia ni nshomile.


Je kairuki hospital na chuo je? Vyote vinamilikiwa na wahaya.

Why wahaya?
Good question.
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
2,033
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
2,033 2,000
Sasa kwa nin lectures wengi wawe nshomile?


Na sio UDSM Tu hata MUHAS, Bugando hata mkuu wa hospital ya Bugando pia ni nshomile.


Je kairuki hospital na chuo je? Vyote vinamilikiwa na wahaya.

Why wahaya?

Wanapenda kazi ya ualimu kama jinsi Wakurya wanavyopenda kazi ya Jeshi na Polisi, full stop.
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
4,278
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
4,278 2,000
Na muache kula "nsenene", kuleni samaki na "matoke" tu, nsenene wanayo madhara kama hamjui !!
Kuleni na nyie muwe na akili kama wahaya.

Kuna Siri kubwa kwenye wadudu hao
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
4,278
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
4,278 2,000
Wanapenda kazi ya ualimu kama jinsi Wakurya wanavyopenda kazi ya Jeshi na Polisi, full stop.
Hebu tuje kwenye Sheria sasa.
Hiv unajua kuna wanasheria wangapi wahaya? Mawakili je?

Bila Shaka unamfahamu jaji Rweyemamu wa mahakama kuu.je jaji Themistocles kaijage? Na wengine kibao.Njoo kwenye afya sasa mkuu wa hospital ya bugando na pale 60 % ni wahaya.njoo kairuki hospital inamilikiwa na wahaya yote.muhimbili ,na hospital kibao nenda muhas utazame wanafunzi wahaya.


Njoo kwenye sekta ya Ardhi sasa hebu njoo Ardhi university angalia idadi kubwa ya wanafunzi, maafisa wa Ardhi .
Masurveyors naongelea hapa kwa sababu na Mimi ni surveyor.


Njoo mainjinia sasa bila Shaka unamfahamu Tanroads,na makampuni makubwa ya ujenzi abemulo enterprise na mengine mengi kama luganuza


Njoo sekta ya biashara sasa ambayo Tukianza na Waziri wake Kwanza bashungwa.njoo kwenye matajiri wakubwa bongo kama ally mfuruki ambaye yupo top ten Kwa matajiri ndo mtu pekee mweusi aliyebaki baada mengi kufariki.


Njoo kwenye dini sasa hasa Catholic kama unavyojua asilimia tisini ya wahaya ni wakatoliki ( ndo maana majina Yao mengi huishia na us) Jimbo la Bukoba ndo lenye mapadre wengi wazawa kuliko yote
Kardinali wa Kwanza mweusi no muhaya ujue pia na mapadre wa Kwanza tz ni wahayaLakini hata mapungufu tunayo maana biashara na mambo mengi yameanzisha na wahaya ukija kwenye mziki WA asili na mziki wakina Ruge.hata biashara ya sinza mori, ukimwi nk yote yalianzia uhayani hii yote Kwa sababu ya exposition kubwa iliyopo uhayani.
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
2,033
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
2,033 2,000
Lakini hata mapungufu tunayo

Hapo sasa, that is it, kwamba mapungufu mnayo.

Wewe sasa umekuwa "Muhaya bora" kuliko Wahaya wengine πŸ™πŸ»πŸ™πŸ».--- siyo kujiita tu the most intelligent people bila kueleza mapungufu yenu.

The most intelligent people on earth are Isralites, by intelligence, I mean the ability of the brain to function effectively on several problems and issues facing mankind.

Hata vitabu vya Mungu vinakiri jambo hilo kwamba Isralites are very brainy, ni wengi wao ndio wanaoshikilia zawadi za Nobel in proportion to the world population.

Je, kama Wahaya wangekuwa na akili kama za Waisraeli ingekuwa vipi??😁😁, au angekuwepo Muhaya mmoja tu aliyepata zawadi ya Nobel ingekuwa vipi?!😁😁.

Halafu nikadhani ungepinga kwamba nyinyi Wahaya hampendi kazi ya Ualimu.
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
2,033
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
2,033 2,000
Kuleni na nyie muwe na akili kama wahaya.

Kuna Siri kubwa kwenye wadudu hao

Kuleni Migebuka na Mawese, siyo kula Wadudu, sasa Paka ale nini??.

Nasikia huko hata unaweza kuoa kwa debe moja la nsenene,😁😁
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
4,278
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
4,278 2,000
Hapo sasa, that is it, kwamba mapungufu mnayo.

Wewe sasa umekuwa "Muhaya bora" kuliko Wahaya wengine .--- siyo kujiita tu the most intelligent people bila kueleza mapungufu yenu.

The most intelligent people on earth are Isralites, by intelligence, I mean the ability of the brain to function effectively on several problems and issues facing mankind.

Hata vitabu vya Mungu vinakiri jambo hilo kwamba Isralites are very brainy, ni wengi wao ndio wanaoshikilia zawadi za Nobel in proportion to the world population.

Je, kama Wahaya wangekuwa na akili kama za Waisraeli ingekuwa vipi??, au angekuwepo Muhaya mmoja tu aliyepata zawadi ya Nobel ingekuwa vipi?!.

Halafu nikadhani ungepinga kwamba nyinyi Wahaya hampendi kazi ya Ualimu.
Ila kuna uhusiano uliopo.maana history inasema wahaya walitoka misri walikuja kupitia mto nile na kupita Uganda na kussetle kagera .


Pia waislaeli wanamapungufu Yao juzi wamechagua viongozi mashoga.
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
4,278
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
4,278 2,000
Kuleni Migebuka na Mawese, siyo kula Wadudu, sasa Paka ale nini??.

Nasikia huko hata unaweza kuoa kwa debe moja la nsenene,
Hao waha wanaokula migebuka kila siku .wako nyuma Sana kulinganisha na wahaya pamoja na kuwa watani wao.
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
2,033
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
2,033 2,000
Ila kuna uhusiano uliopo.maana history inasema wahaya walitoka misri walikuja kupitia mto nile na kupita Uganda na kussetle kagera .


Pia waislaeli wanamapungufu Yao juzi wamechagua viongozi mashoga.

Hata kama mlitoka Misri lakini hakuna mahusiano yoyote kati ya Waisraeli na Wahaya-- angalia Lugha tu, Wahaya na Waganda ni jamii moja inayoongea kibantu na Waisraeli wanaongea semitic language na hata tamaduni hazifanani kabisa.

Labda useme Wahaya ni kutoka jamii ya Wamisri wa kale (jamii ya Wanubi/ Pharaoh's tribes), lakini sio Waisraeli.

Kama mnayo mahusiano na Waisraeli mbona Wenzenu wamechagua Shoga na nyinyi mtachagua nani??
 
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Messages
2,033
Points
2,000
M

Mokaze

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2018
2,033 2,000
Hao waha wanaokula migebuka kila siku .wako nyuma Sana kulinganisha na wahaya pamoja na kuwa watani wao.

Ni mfumo kandamizi wa Nyerere uoliofanya Mkoa wa Kigoma ubaki nyuma kisa eti watu wa Kigoma sio raia wa Tanzania, wanadai ni raia kutoka Kongo na Burundi hivyo kunyimwa maendeleo ya elimu ilikuwa ni "haki".

Hadi mwaka 1979 kulikuwa na sekondari moja tu (o level) mkoa mzima, tena ilijengwa na Wakoloni.

Vipi miaka hiyo Kagera kulikuwa na sekondari ngapi??-- in this case it is incomparable between kigoma and Kagera, had there been a fair playing field in this case, then probably Kigoma (the people) would have been far nowadays.
 
Ukana Shilungo

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
2,005
Points
2,000
Ukana Shilungo

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
2,005 2,000
Wahaya mmekosa haya ya ukabila.

Ntakugambira stupid in front of your wife !!.😁
IWE MWANA ASHOMILE ! KULIKO MATAA ! ASHOMILE MPAKA FORM SIX πŸ˜‚πŸ˜‚

,MWANA ASHOMILE MPAKA UNIVERSITY BUT NO COURSE ! AGAMBA GENDA AGAMBA STOP😁😁😁

WAHAYA WAZEE WA CODE MIXINGπŸ˜…πŸ˜…
 

Forum statistics

Threads 1,304,787
Members 501,517
Posts 31,526,964
Top