Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

Mkuu umeandika kwa hasira sana je ungeoa mzaramo ungekuwa chizi dk hii niulize mm na alikua ni gal wangu tu ila nilikiona cha mtema kuni
Mkuu yaani wewe acha tu,iliniumiza sana.Nilioa nikidhani nimepata,na nime settle issue ya mke once and for all, kumbe nilikuwa nimepatikana na nimepoteza muda bure.Iliniudhi sana kusema kweli.

Kwa upande wa Wazaramo uko sahihi kabisa mkuu,Mhaya ni extreme nyingine na Mzaramo ni extreme nyingine,they are equally bad.
 
Kuna jamaa aliaandika mada kuhusu Mwalimu Nyerere enzi za Tabora Government School inabidi mkaisome..Inajulikana sehemu zote kuna Utawala kabla ya Mkoloni.Kila kabila lina desturi zake na mfumo wa utawala..baada ya mkoloni kupata sehemu ya kulima buni na chai aliwafaidisha pia elimu watu wa maeneo husika Kagera,Kilimanjaro n.k Ukitazama sasa kuna Uwiano wa Elimu kwa wote.Kitendo cha Mwl Nyerere kuweka mizani ya kufaulu kilizingatia desturi,uchumi na exposure mfano Watu wa vijiji vya ndani kabisa huwezi wawekea passmark sawa na watu wanoishi karibu na mjini au mjini penyewe.Enzi za Usomi wa wahaya walipata favor ya fedha za kumudu maisha kupitia zao la buni hivyo hivyo kwa watu wa Kilimanjaro..
 
Utamaduni na Mazoea ni kitu cha ajabu sana..Jamii zetu zinahitaji mageuzi ya fikra
 
Nilibahatika kuzaa naye mkuu,ila huwaga sitaki kukumbuka episode ile,it was difficult.
Bila shaka mmoja kati yenu alikosa uvumilivu, kama aliyekosa uvumilivu ni wewe, mtalaka wako anatakiwa kusema wewe " areafifityone" sio mvumilivu na sio kabila lako. Na kama mkosaji ni mtalaka wako kama unavyotuaminisha basi mtaje yeye kwa jina lake kuwa sio mvumilivu. Katika hili ni kosa hata kuihukumu familia yake, achilia mbali kabila lake. Vinginevyo utakuwa na tabia kama za askari wa morogoro walio mkamata mjamzito kwa makosa ya mme wake hadi akajifungulia kituoni. Toa hukumu ya haki ndugu hasa ukitilia mbali huyo ni mzazi mwenzio hadi mwisho wa maisha yenu.
 
Sina sababu ya kueneeleza hii dialogue inanikumbusha extremely trying times in my life.Nilifikia elastic limit,that is all that I can say.
 
Wangekuwa na akili kama unavyotuaminisha tuamini tungeona maendeleo vijijini kwao. Wangetengeneza Beverly Hills moja japo ya 1sqkm wakali wote wakaishi humo ndani. Hapo tungejuwa jamaa wana akili
 
unaweza linganisha vijiji vya wahaya na pengine kweli? tembelea bukoba,muleba ,misenyi huone migeto vijijini hii ni baadhi
tapatalk_1537285485096.jpeg
tapatalk_1537285487680.jpeg
tapatalk_1537285490088.jpeg
tapatalk_1537285473190.jpeg
 
Kuna jamaa aliaandika mada kuhusu Mwalimu Nyerere enzi za Tabora Government School inabidi mkaisome..Inajulikana sehemu zote kuna Utawala kabla ya Mkoloni.Kila kabila lina desturi zake na mfumo wa utawala..baada ya mkoloni kupata sehemu ya kulima buni na chai aliwafaidisha pia elimu watu wa maeneo husika Kagera,Kilimanjaro n.k Ukitazama sasa kuna Uwiano wa Elimu kwa wote.Kitendo cha Mwl Nyerere kuweka mizani ya kufaulu kilizingatia desturi,uchumi na exposure mfano Watu wa vijiji vya ndani kabisa huwezi wawekea passmark sawa na watu wanoishi karibu na mjini au mjini penyewe.Enzi za Usomi wa wahaya walipata favor ya fedha za kumudu maisha kupitia zao la buni hivyo hivyo kwa watu wa Kilimanjaro..
Acheni uongo wenu, msitufanye wote mazuzu. Kuanzia miaka ya 1990s kurudi nyuma ni asilimia ngapi ya wanafunzi waliokuwa wanashinda mitihani ya darasa la VII halafu wanashindwa kuendelea?
Kipindi hicho ilikuwa ni nadra mtu kushinda mtihani wa la VII so hoja haikuwa mwanafunzi wa familia masikini kukosa ada bali hoja ilikuwa shule nyingi kukosa watoto wenye uwezo mkubwa wa kushinda mtihani wa kwenda sekondari kwani shule zilikuwa chache.
Mfano: Mimi nilishinda peke yangu kwenye darasa la wanafunzi 75 mwishoni mwa 1990s japokuwa wengine watatu miongoni mwa waliorudia shule nyingine za msingi, walishinda hadi hao kufanikiwa kufika vyuo vikuu.
So, utaona kuwa, Wahaya hawakufaulu kwa sababu ya kahawa, that's the big NO.

Ili uone kuwa, mfano wako siyo kweli, kinachofanya Wahaya, Wachaga ama Wanyakyusa kuonekana kupungua katika ratio ya wasomi, ni liberalization ya elimu yetu baada ya kupanua magoli kwa kuruhusu wenye uwezo mdogo kuendelea na masomo.

Katika mwaka wetu wakati tunamaliza A-Level, wote waliopata Division I ya pointi 9 za masomo ya Arts, hawakuteuliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kozi yoyote isipokuwa ya Ualimu pekee. Kipindi hicho hakukuwepo vyuo binafsi zaidi ya SAUT iliyokuwa ikifundisha tu Journalism na Accountancy.
Eti leo hii watu wanapata II bado wana uhakika wa mikopo vyuoni, kipindi chetu, ukipata II, wewe hauendi Varsity.

So kwa kuwa wenye makisi ndogo wanaendelea mbele, ni wazi itaingiza wenye uwezo wa kati lakini ukiamua kufuatilia kwa undani kwa sasa wanafunzi wanaosoma Phd (uzamili na uzamivu), utawakuta tena hao hao Wahaya, Wachaga na Wanyakyusa ndio wanadominate. Ulizia watakuambia.
 
Tarafa ya kiziba mkoani kagera wilaya mpya ya missenyi, ndiko sehem ambako wanapatikana maprofessa 1/3 ya maprofessa walioko Tanzania, sababu ni kama ifuatavyo
1. Wamisionary walikaa kule mapema , na ikawa sifa kwa aliyekuwa anasoma kama wamisionary hivyo watu wa kiziba wakawa na mwamko wa elimu mapema
2. Miundombinu ya elimu nchini Uganda ilikuwa imara zama zile ikapelekea wanakiziba kwa kuwa wapo maeneo ya kanyigo karibu na Uganda wasome kule maana wazazi wa zaman walitaman watoto wao waende shule ambazo kwa kusema ukweli huku hazikuwepo, ila wakaamua kuwapeleka Uganda,
3. Baada ya wao kupata elimu Uganda wakawa na mifumo ya kuanzisha shule mbalimbali za TARAFA, hazikuwa za kata zilikuwa za TARAFA nyingine mikononi mwa serikali japo zilijengwa na wananchi na nyingine za binafsi mfano, BWABUKI, BURUDEA, TWEYAMBE, KADEA, KABALE, MARUKU, MUGEZA, OMUMWANI , nk, hizi zilisaidia sana watu kwenda shule hata kama hawakuchaguliwa na serikali, hivyo ikasaidia kuongeza idadi ya wasomi
4. Kiziba wanasoma kwa ushindani na anasoma akiwa na role model wake mfano wao wanasoma ili wawe kama fulan aliyewatangulia
" ninesoma kule japo kwetu Mara ,baba yangu alikuwa ni mhasibu wa TANICA uko kagera hivyo ikalazimu niwe Kule kimasomo mpaka alivyostaafu" ila darasan ni kama ifuatavyo utasikia kila mmoja
Nasoma niwe kama TA RUGEJUNA,
Nasoma niwe kama na kazi ya TA MULOKOZI
Nataka nije niwe kama TA NDYANABO
nataka kusoma alivyosomea TA RWEGASIRA
na kwa kipindi hicho huyo ambaye unataka kuwa kama yeye akikusikia anakusaidia, hivyo ikaansha ari
5. Waliosoma mapema waliwasaidia ambao wamekwama hasa kwenye ada au kuwataftia shule,
Mfano mzee Balyagati ana program ya kusomesha watoto wasiopingia 1000 kwa mwaka mpaka vyio vikuu na kuwasomesha had PhD
Mzee Wellington George, ana wasomesha watoto wengi sana hasa pale hekima na tweyambe secondary na wengineo wengi
Kuna mifuko ya kusomesha watoto kama GSES, HEDEMORA PARTAGE na mengine

Hayo yote juu yamesababisha kiziba iwe juu na kupelekea kuwa wanapata PhD's wengi hadi professor,

Siku hizi asiyejua anaweza kudhan wahaya hawana ubabe tena kuelimu lakin watu hawa wapo sana mikoa mingine na majina walianza kuyabadili makusudi hawatumii ya kihaya kwa usalama wa elimu yao na Huduma hasa kutoka kwa wasiowapenda

Hivyo ndo mafanikio yako hivyo

Kiziba mpaka sasa wameshatoka si maprofessa tu Bali ukienda sehem inaitwa KIGARAMA KANYIGO KUNA MABIBI AMBAO KILA.NYUMBA WANAONGEA KIINGEREZA KWA UFASAHA, NA WAUME ZAO AU WATOTO WAO WANAISH ULAYA NA KWINGINEKO DUNIAN,

KIZIBA NDO UNAPATA NYUMBA ZENYE HADHI YA KUWA MJINI , KUNA NYUMBA ZIKO KULE HATA BUKOBA MJIN HAKUNA
Wakola waitu omukama akubele ugile emilembe Mushaija.
 
Acheni uongo wenu, msitufanye wote mazuzu. Kuanzia miaka ya 1990s kurudi nyuma ni asilimia ngapi ya wanafunzi waliokuwa wanashinda mitihani ya darasa la VII halafu wanashindwa kuendelea?
Kipindi hicho ilikuwa ni nadra mtu kushinda mtihani wa la VII so hoja haikuwa mwanafunzi wa familia masikini kukosa ada bali hoja ilikuwa shule nyingi kukosa watoto wenye uwezo mkubwa wa kushinda mtihani wa kwenda sekondari kwani shule zilikuwa chache.
Mfano: Mimi nilishinda peke yangu kwenye darasa la wanafunzi 75 mwishoni mwa 1990s japokuwa wengine watatu miongoni mwa waliorudia shule nyingine za msingi, walishinda hadi hao kufanikiwa kufika vyuo vikuu.
So, utaona kuwa, Wahaya hawakufaulu kwa sababu ya kahawa, that's the big NO.

Ili uone kuwa, mfano wako siyo kweli, kinachofanya Wahaya, Wachaga ama Wanyakyusa kuonekana kupungua katika ratio ya wasomi, ni liberalization ya elimu yetu baada ya kupanua magoli kwa kuruhusu wenye uwezo mdogo kuendelea na masomo.

Katika mwaka wetu wakati tunamaliza A-Level, wote waliopata Division I ya pointi 9 za masomo ya Arts, hawakuteuliwa kujiunga na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kozi yoyote isipokuwa ya Ualimu pekee. Kipindi hicho hakukuwepo vyuo binafsi zaidi ya SAUT iliyokuwa ikifundisha tu Journalism na Accountancy.
Eti leo hii watu wanapata II bado wana uhakika wa mikopo vyuoni, kipindi chetu, ukipata II, wewe hauendi Varsity.

So kwa kuwa wenye makisi ndogo wanaendelea mbele, ni wazi itaingiza wenye uwezo wa kati lakini ukiamua kufuatilia kwa undani kwa sasa wanafunzi wanaosoma Phd (uzamili na uzamivu), utawakuta tena hao hao Wahaya, Wachaga na Wanyakyusa ndio wanadominate. Ulizia watakuambia.
Kwa hiyo mna akili sana? Nini maana ya Elimu endapo huyo mwenye uwezo unaouita mdogo ataachwa asipate kuongeza maarifa? Mimi navyofahamu Desturi,Umaskini,kutokuwa na kipato,Chakula na msaada wa Mkoloni(mfano Shule,Hospitality nk) kwa enzi hizo kulisababisha baadhi ya jamii/kabila kukwama katika Elimu.Si kila Mchaga,Mnyakyusa au Mhaya ni msomi bali walitangulia kwenye kupata Mwanga hivyo basi ata vizazi vyao vimefuata njia hiyo hiyo,ila kwa sasa mchuano ni Mkali japo si Mchuano wa Kikabila bali kupata Mwanga na Maslahi kwa Jamii zote kwa Ujumla
 
Tofautisha kati kuwahi kupata huduma ya kielimu mapema na intelligence wahaya na wakikuyu walikuwa ni jamii za kwanza kwanza kupata elimu na si kwamba wana akili kuzidi jamii zingine ...ni sawa na wachina na wajapani ni kwamba wajapani waliwahi kuindustrized mapema tofauti na wachina ambao mapenza kuendelea miaka '40s kwa mantiki hiyo usirudie kusema upuuzi wako
 
Kati ya Mhaya na Mkwere wa Bagamoyo na Mhadimu wa Zanzibar, ni wapi walianza ku-enjoy matunda ya elimu ya kizungu?
 
Tofautisha kati kuwahi kupata huduma ya kielimu mapema na intelligence wahaya na wakikuyu walikuwa ni jamii za kwanza kwanza kupata elimu na si kwamba wana akili kuzidi jamii zingine ...ni sawa na wachina na wajapani ni kwamba wajapani waliwahi kuindustrized mapema tofauti na wachina ambao mapenza kuendelea miaka '40s kwa mantiki hiyo usirudie kusema upuuzi wako
Poleni sana kwa uelewa finyu wa mambo. Yaani wewe na akili zako unaongea bila aibu kuwa, Wajapani walianza ku-industrialise mapema - inamaana hivyo viwanda vilijirusha kutoka mbinguni na kuangukia Kumamoto, Yamaguchi, Yokohama, Hiroshima, Sapporo na Osaka?
Msitufanye mazwazwa, mshindwe tu wenyewe halafu mnakimbilia kulaumu wengine.
Mmekuwa mkidai kuwa, baadhi ya makabila yalipendelewa kielimu: Dar es Salaam ni jiji tangu wakati wa uhuru na kuna shule nyingi kibao, mbona hatuoni Wazaramo na Wakwere huko elimu ya juu na badala yake tumezoea kuona jamii ambazo mpaka kufikia mwaka 1990, Wilaya nzima hakukuwepo sekondari lakini imekuwa ikitoa vijana smart wanaokimbiza kielimu?
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom