Aiseeee umenifungua pahalaIntelligence ni neno lenye maana pana sana lakini kwa tafsiri nyepesi ni uwezo wa kuchambua mambo na kuwa na kutunza kumbukumbu.
Sasa mtu anaweza kuwa mzuri wa kuchambua mambo ya dini, mpira, uvuvi, ufugaji, muziki na kadhalika na wala wakati mwingine haitaji kuwa ameenda shule ili kuwa mchambuzi mzuri kwani hobby na uzoefu huwa vinachangia sana. Hata hivyo ukikutana na mtu aliyekisomea kitu halafu ama was na hobby nacho ni rahisi sana kuwa na uwezo mkubwa wa kuchambua suala hilo.
Aidha, kuna masuala ambayo kama mtu hajaenda shule ina kuwa ngumu kuyachambua, mfano masuala ya kisiasa, kiuchumi, kivita, kiteknolojia, kifilosofia na kisaikolojia. Ni masuala kama hayo yanayofanya jamii fulani zionekane zina watu wenye akili nyingi kutokana na kuwa na watu wengi waliofaulu elimu za juu.
Kabla ya kuja elimu ya kimagharibi, mabavu zetu walikuwa wakarithisha elimu kwa watoto wao kupitia uzoefu (experience) na theory kidogo tu tofauti na sasa ambako mtu anakalishwa madarasani kwa miaka hata zaidi ya 20 akimezeshwa material ya kila aina.
Elimu ya uzoefu siyo ngumu kama ya theory na pia elimu ya uzoefu ni ngumu kumtenganisha aliye bora dhidi ya asiye bora tofauti na elimu ya kimagharibi ambayo ukifeli mitihani unaonekana ni kilaza na anayefaulu ni kipanga.
Vituvinavyosababisha baadhi ya makabila kuwa na akili nyingi za darasani ni:
Sifa nyingine ni:
- Genetical origins (asili ya jeni zako). Je, Wewe ni/una mchanganyiko wa damu zifuatazo - semitic, hamitic, nilotic, Bantu, ama San (bushmen)? Hii sifa inaathiri akili zako.
- Climatical Conditions (hali ya hewa). Je eneo la asili la familia, ukoo na Kabila lenu linapata mvua za kutosha (zaidi ya mm 1200) mwaka na kwa angalao miezi tisa inayopata mm 100 @? Hii ndiyo sifa kuu ya kabila kuwa na akili nyingi, possibly 50-60%
Haya hebu fuatilieni asili zenu hasa ukoo wenu. Ulizia sifa hizo kama walikuwa nazo. Kumbuka asili ya jeni zenu na hali ya mvua, zina nguvu kubwa ya labda asilimia 60 -70%. Hivyo kama ukoo wako uliishi eneo ambalo miezi inayopata mvua ya mm 100 ni chini ya 7, basi ujue hata kama mna sifa nyingine zote, hamtakuwa watu wenye akili sana.
- Eneo lenye Udongo wenye rutuba, hasa wa volcanic.
- Eneo lenye Joto la kadri (lisizidi angalao 20 degree centigrade) ili kutunza nishati ya mwili.
- Eneo lisilo na Malaria pamoja na Homa ya Manjano (Yellow Fever).
- Eneo lisilo na Sleeping sickness (Trypanasomiasi na Nagana).
- Eneo lisilo na Kichocho (Schistosomiasis ama Bilharzia).
- Eneo lenye kiwango kidogo cha Madini ya Fluoride (<1.5 mg/L)
- Eneo lenye kiwango cha kutosha cha Madini ya Iodine.
- Eneo lenye utajiri Samaki, hasa wa maji baridi.
- Eneo lenye utajiri wa Mifugo, hasa ng'ombe wa maziwa.
- Eneo lenye Usalama (hasa visiwani na milimani).
NB: Umewadis Wahaya na kumsifia Mkerewe lakini nakwambia hayo makabila ni synonymous kwani yana asili inayofanana na yana sifa za hali ya hewa zinazofanana. They are indeed among the best in the best in Tanzania.
Soon, Nikiwa tayari na uandaaji wa ripoti yangu nitarudi.