tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,017
- 1,940
Mbali na kwamba hakuna mkamilifu, ila Wahaya kwakweli mara nyingi ukienda naye darasani we jiandaa tu kiwa nyuma yake, na hata km hatakuwa mzuri ki taalimuma basi mambo yake yako well organised sana , lakini tukumbuke, s lazima kila Mhaya afauli ila kwa kiwango kikubwa wanajitahid na kujielewa. Pia hata ukiingia kwenye ofisi za kawaid basi ukimkuta mhaya basi hakosi kwenye nafasi za kiutawala, h