Haya tena wana JF let's celebrate...

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,825
287,845
...tunaanza kuchukua kidogo kidogo nchi yetu toka mikononi mwa mafisadi. Tulikuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi na jana matunda ya JF yameanza kuonekana. Tumewaangusha akina Lowassa, Karamagi, Msabaha, Hosea. Mapambano bado yanaendelea mpaka pale tutakapoutomeza ufisadi katika nchi yetu. Niliwahi kusikia CNN kwamba mtandao utasaidia sana kuleta demokrasi, nilijiuliza kivipi sikupata jibu. JF imenifumbua macho kwamba kupitia mtandao tunaweza kabisa kupambana na udhalimu ndani ya nchi yetu bila kubeba bunduki wala kulipua bomu na hatimaye kuleta demokrasi ya kweli. Itakuwa si vibaya tukajipongeza kwa moja moto na moja baridi na muziki wa kukata na shoka. Please feel free to add any music video. Let's celebrate

http://www.youtube.com/watch?v=YwEMxYggoKQ
http://www.youtube.com/watch?v=ED6ESvEdCnA&NR=1
http://www.youtube.com/watch?v=ZmOQyyezwCQ
http://www.youtube.com/watch?v=3c7dONn9cNo
http://www.youtube.com/watch?v=osC13hE_xVE&feature=related
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom