Haya tena Mwanangu huyo Namfundisha Kuendesha Gari Mnasemaje?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
75955_445186452176637_1263500261_n.jpg

Mwanangu anajuwa kuendesha gari mnasemaje Wakuu?
 
Si vizuri wala mapenzi kwa watoto kuwazoeza kushika usukani wakiwa angali makinda; wakikua kidogo huwa na ujasiri wa kutaka kuendesha angali bado sana na hiyo mara nyingi husababisha majanga kwa familia!!
 
@Ndinani Mkuu Gari hiyo ipo Gereji inatengenezwa yeye anachezea tu Usukani hawezi kuendesha Gari mtoto mdogo namna hiyooooooooooooooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom