haya tena Magaidi Watumia mbinu mpya ya kuwauwa watu kwa kuwatuma njiwa kasheshe kweli dunia yetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

haya tena Magaidi Watumia mbinu mpya ya kuwauwa watu kwa kuwatuma njiwa kasheshe kweli dunia yetu

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, May 21, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,996
  Likes Received: 3,563
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Hilo bomu litafika kule linapokwenda jamani????????????????
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey!Mzizi, Hiyo kichwani ni baraghashia au macho yangu?
   
 3. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halifiki, huyo njiwa kafungwa mabawa.
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,996
  Likes Received: 3,563
  Trophy Points: 280
  @SIMBA WA TARANGA wee unawachokoza wavaa vibaraghashia mchanga wa pwani huo mimi simo .................. shauri yako unaanza moto wewe je utaweza kuuzima?
   
 5. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Shit! Hata wawatume wake zao bado kuna siku watashindwa. Nashauri kuanzia sasa kuwaua njiwa wote ambao hawakai matunduni mwao ili tuone watawapata wapi hao njiwa. Kuanzia leo natangaza nchi zote zikomeshe uingizwaji na uuzaji wa njiwa katika mipaka yake. Lol! Nimefikiri kama Joji Kichaka ila inatisha washirika.
   
 6. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,765
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Photoshop hiyo
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Nahisi kama ujumbe ni wa mapenzi huo
  Ewe njiwa X2, peleka salamu!
  Kwa yule X2, wangu muhibu!
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 55,604
  Likes Received: 20,050
  Trophy Points: 280
  ....Mhhhh! haya bana!!!
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Halitafika 7bu njiwa kafungwa mbawa zake so hataweza kuruka na litaishia kuwalipukia wenyewe!
   
 10. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Excellent!
   
 11. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 457
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbawa zimebanwa na kamba njiwa atarukajeee!!???
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,588
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Ujumbe wako huo Sheikh........
  :lol:
   
Loading...