HAYA TENA MAFUNDI WA KIBONGO IGENI HII STYLe

Waoh nimeupenda huo ubunifu. Ngoja nimtafute fundi mzuri wa magrill l am sure wanaweza kunitengenezea kabati lenye kitanda kwenye library yangu.
 
Kwa kula ugali wa dona na mboga ya mlenda, kila siku tutakuwa tunashangilia ubunifu wa wenzetu wazungu !!! Mipango ya maendeleo ingekuwa mathubuti watu wangeshiba vizuri na akili ya kubuni ingekuwepo; lakini wapi vipaumbele vya watawala wetu ni kuzunguka zunguka kila pembe ya dunia kutumia rasilimali zinazohitzjika kuliendeleza taifa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom