Kwa kula ugali wa dona na mboga ya mlenda, kila siku tutakuwa tunashangilia ubunifu wa wenzetu wazungu !!! Mipango ya maendeleo ingekuwa mathubuti watu wangeshiba vizuri na akili ya kubuni ingekuwepo; lakini wapi vipaumbele vya watawala wetu ni kuzunguka zunguka kila pembe ya dunia kutumia rasilimali zinazohitzjika kuliendeleza taifa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.