Haya tena gari yangu hiyo mnasemaje wabongo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
405160_217303031705094_1053050851_n.jpg

Mnasemaje kuhus hiyo gari yangu nikiileta hapo Dares-Salaam kuna njia za kupita hilo gari langu?
 
unayo au yakununulia kwenye picha?kwanza unajua hata bei za magari wewe...ebu kuweni na akili hata kidogo kama ya kuku..
 
unayo au yakununulia kwenye picha?kwanza unajua hata bei za magari wewe...ebu kuweni na akili hata kidogo kama ya kuku..
Mkuu jamii01 Ulaya hata kama huna pesa ukipata wazamini wa kazini kwako boss wako akikuzamini

unapata gari hata la mkopo mkuu sipo bongo nipo majuu gari huku ni kitu cha kawaida watu wanaangalia una pesa kiasi gani Bank

hawaangalii una gari au nyumba majuu gari au nyumba ni vitu vya kawaida mkuu majuu huwezi kufananisha na huko kwetu bongo ukiwa

na Gari unawapata mademu kirahisi huku kinachoangaliwa una pesa kiasi gani Bank mkuu amka umelala wewe.............
 
Gari kama hiyo utakua waiendesha Masaki - Posta tu, huku kwingine kuna tutaz kama ugomvi, mfano hapa Migombani karibu na kwa JK au kule Akachube
 
Utaendesha barabara gani....zaidi utaweka roho yako juu
Mkuu MadameX nitakuwa nayo silaha kiunoni pamoja na body guard wangu mmoja nitakuwa ninatembea nae unasemaje?

Gari kama hiyo utakua waiendesha Masaki - Posta tu, huku kwingine kuna tutaz kama ugomvi, mfano hapa Migombani karibu na kwa JK au kule Akachube
Mkuu watu8 kwani nikiwa na silaha kiunoni utanijuwa?ukijaribu kutaka kuniibiwa nakuwasha nayo unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MadameX nitakuwa nayo silaha kiunoni pamoja na body guard wangu mmoja nitakuwa ninatembea nae unasemaje?

Mkuu watu8 kwani nikiwa na silaha kiunoni utanijuwa?ukijaribu kutaka kuniibiwa nakuwasha nayo unasemaje?

Loh! hiyo silaha labda yawe manati...ila kama ni cha moto wazee wa Mabwepande lazima watakuwinda
 
Last edited by a moderator:
Loh! hiyo silaha labda yawe manati...ila kama ni cha moto wazee wa Mabwepande lazima watakuwinda
Mkuu watu8 Silaha itakuwa ni ya moto sio manati si unajuwa wazee wa Mabwepande shida yao uwape pesa tu mambo yote watayamaliza wao wenyewe Mwenye Pesa sio Mwenzio....
 
Traffiki lazima wakukamate watatoa visingizio kibao nakumbuka kama mika miwili iliyopita wakati mabasi haya ya mchina yale yenye kamba za kusimamia kwa ndani hasa yale yanayoenda Mbagala lilishakamatwa kwa kusimamisha abiria, wakaambiwa hii ndio model yake jamaa wakagoma kabisa, source ilikua ITV
 
we mzizi hausboi wa wazungu (if its true ur abroad) ur mindless.. kila ck picha za net, mara gari yang mara nyumba lol..
 
Mzizi umenikumbusha mbali sana enzi zangu za utotoni, tulikua tunakaaga kando ya barabara kuu na kugombania magari, utaskia 'langu hiloo, nimeliwahi mimi', sometimes zilikua zinapigwa kabisa!!

Hiyo mashine ukitua nayo bongo ndo itakua msiba wako!! its either majambazi au virusi!!
 
Back
Top Bottom