Haya Sio Mapenzi Ya Kiafrika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya Sio Mapenzi Ya Kiafrika

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BABA JUICE, Oct 16, 2010.

 1. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unakutana na msichana club,library,church, siku hizi shopping malls Unamtongoza mnakuwa katika relation na mnafanya mapenzi ndio vijana wasiku hizi walivyo lazima wapime, miaka ya nyuma wanaume ndio tulikuwa na sauti unatongoza unachapa mzigo kama vijana wasasa wanavyosema alafu unaacha unatafuta mwingine. Sasa hivi mambo yamebadilika unamtongoza msichana mwisho wa siku unaachwa ww, why hajarizika na ww upo kishamba hauendani nae, ukweli ni kwamba sio upo kishamba au hauendani nae, ni kwamba hauna pesa za kumpela shopping au haumrizishi coz umeathirika na nyeto, wanawake wa sasa wanataka kati ya vitu hivi viwili shopping au good sex{i mean real gud sex sio aaaah then kwisha hapana} money and love are inseparable fahamu hilo ukishindwa kumpa kimoja mpe kingine ndio mtakwenda......sio kwamba wanadada wasasa wanatamaa hapana things have changed....na ww badilika nao.HAKUNA MAPENZI YA KIAFRIKA LOVE IS UNIVERSAL....:glasses-nerdy:
   
 2. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Haya tumekusikia!
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hadithi hiyo kakufundisha nani Baba Juice?
   
 4. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Dah! we kijana we, hata katika nyumba ya BWANA (CHURCH) unaendeleza huo upuuzi? Aisee.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ujumbe wako hasa ni nini???
   
 6. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ulikuwa hujui mpendwa
   
 7. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sijaelewa vyote lkn nineona umetetea kinamama jambo ambalo si rahisi kwani siku zote sie ndo twatupiwa lawama.
   
 8. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Nisaidie na wewe hapo Preta....
   
 9. RR

  RR JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Wewe ni mdada unalalamika au ni mkaka unatoa shule....??:A S confused:...
   
 10. c

  cool guy Member

  #10
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi pia sijaunasa ujumbe uliokusudiwa...
   
 11. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  nashukuru kama unatambua
   
 12. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #12
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  nimemwelewa. Vijana wengi wanashindwa kukamata madem shauri ya ukata .umaskini , Wanaishia masterbation. Na yeye ni shuhuda wa mambo haya.
   
 13. George Gandye

  George Gandye New Member

  #13
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 13, 2008
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shopping au good sex{i mean real gud sex sio aaaah then kwisha hapana} money and love are inseparable fahamu hilo ukishindwa kumpa kimoja mpe kingine ndio mtakwenda......sio kwamba wanadada wasasa wanatamaa hapana things have

  Mie nadhani wanataka vyote bila upungufu. ukimpa kimojawapo ataendela kuwa na wewe ila lazima ata-supplement hiyo tofauti pande ingine! Not ready at all to compromise
   
 14. BABA JUICE

  BABA JUICE JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tuna macho makubwa kuliko akili zetu
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Baba huo ndio ujumbe wa hadithi yako?
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mukubwa naona unatoa ujumbe kwa 'picha', I mean 'picha yako'.

  Nways, mapenzi ni yuniveso mwenyewe nakubali, msichana wa NY siti, Dhaka, Jeddah, au Tandale wote tu wana fikra zilezile , kinachofautiana ni complexity tu. Kwamba nyakati zimebadilika, nakubali. Nakubali kwamba mwenyewe ni shuhuda..hauwezi kupata partner ambayo hafaidiki lolote kwa kuwa na wewe..mambo ya filsofia za 'Dr. Mkwere' ..kule uliwe..hiyo ni fact whether we like it or not.

  Ulimwengu haupo fea, au to be exact, binadamu hayuko fea, so are his/her love preferences..cha kuzingatia ni kuelewa tu undani wa inshu na kutopoteza muda ku-over-analyse haya mambo. Dunia ina vitu vingi vizuri sio lazima saaaaaaaana.
   
 17. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,014
  Likes Received: 416,972
  Trophy Points: 280
  Love has no relationship at all with money..............You are confusing cash induced spousal co-operation to your instant sexual gratification with love...............If you have money you can buy sex; but assuredly I guarantee you, that is not a path to secure enduring love......................When you mingle money with love the end product is showers of hypocrisy.............................
   
 18. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,304
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  mbona kama iko one way traffic, or simply iko ki sexist zaidi, mtakaa hata miaka million lakini siri ya mapenzi hamtoijua, hakuna change hela wala ngono, bt naweza suggest mapenzi ni uwepo wako pale unapohitajika.
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Na ina maana gani alikufundisha?
   
 20. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hizi post zinaishushia hadhi jf inaonekana ni sehemu ya wahuni na watu wasiojua. Ingekuwa vizuri tujadili mustakbali wa nchi yetu haya mambo ya mapenzi tuwaachie kina ngoswe.
   
Loading...