Tuacheni ushabiki wa kisiasa; kwa kuzingatia elimu tulonazo matumizi ya wimbo wa Taifa sina shaka kila mmoja anayafaham; sidan kama chama binafsi kinaruhusiwa kutumia wimbo wa Taifa kwa sababu zao tofauti si CCM wala CDM labda uwe ni utaratibu mpya na kama ndivyo basi tunakoelekea tutaanza kuutumia hadi kwenye kumbi za starehe na kama haitoshi ataibuka mtu atataka aufanyie remix na kuachia single yake; na mwingine (Njeree) ataibuka na bendera ya taifa ajifunge rubega akate kitaa la hasha tunapotoka"
Hata maana ya serikali unauliza?
Bendera ya Taifa mwenzenu Mwigulu Nchenba kaigeuza hijabu yake, mbona hamumsemi? Sembuse wimbo wa Taifa! Halafu mmesema vema kwamba wimbo huo ni mali ya watz wote. Sasa unawatofautisha vp watz na vyama vya siasa? Au walioko kwenye vyama sio watz?Ni kweli kwamba wimbo wa Taifa ni mali ya watanzania lakini mbona hujasema kwa upande wa vyama vya siasa, je vinaruhusiwa kutumia? Kwa upande wangu ninatambua kuwa wimbo wa taifa ni moja ya alama za kitafa (National symbols) zingine zikiwa ni Nembo (Court of arms) na Bendera (National flag). Kama ambavyo huwezi kuona bendera ya taifa ikipepea katika ofisi za vyama vya siasa hasa ambavyo havijaunda serikali ndiyo inavyotakiwa kuwa hata kwa wimbo wa taifa.
wewe hujaona watu wamevaa bendera ya Taifa ama huja sikia remix ya wimbo wa Taifa je, wimbo wenyewe wa Taifa hujui kama ni remix? amka wewe usinziaye uangaziwe
Matumizi mabaya ya mali za Serikali kwanza anza na chama kilichoko madarakani otherwise akili yako inaonekana tu kama nazi za pale magogoni
Ni kweli kwamba wimbo wa Taifa ni mali ya watanzania lakini mbona hujasema kwa upande wa vyama vya siasa, je vinaruhusiwa kutumia? Kwa upande wangu ninatambua kuwa wimbo wa taifa ni moja ya alama za kitafa (National symbols) zingine zikiwa ni Nembo (Court of arms) na Bendera (National flag). Kama ambavyo huwezi kuona bendera ya taifa ikipepea katika ofisi za vyama vya siasa hasa ambavyo havijaunda serikali ndiyo inavyotakiwa kuwa hata kwa wimbo wa taifa.
Tuacheni ushabiki wa kisiasa; kwa kuzingatia elimu tulonazo matumizi ya wimbo wa Taifa sina shaka kila mmoja anayafaham; sidan kama chama binafsi kinaruhusiwa kutumia wimbo wa Taifa kwa sababu zao tofauti si CCM wala CDM labda uwe ni utaratibu mpya na kama ndivyo basi tunakoelekea tutaanza kuutumia hadi kwenye kumbi za starehe na kama haitoshi ataibuka mtu atataka aufanyie remix na kuachia single yake; na mwingine (Njeree) ataibuka na bendera ya taifa ajifunge rubega akate kitaa la hasha tunapotoka"
MODs, mnaona matusi hayo? hafai kuwa banned huyo kweli. Anafanisha watu wa Ikulu na nazi.

...............................
Kweli kuna tatizo la kifikra kuwa mwenye hati miliki ya nchi hii ni CCM na wanachama wake.
Kimsingi mie siko mbali nawe kwamba hakuna mwenye hati miliki ya wimbo wa Taifa zaidi ya Watanzania sote kwa ujumla hyo ni sawa kabisa lkn Je kwa kuzingatia Elimu ya Uraia tulonayo tangu shule ya msingi ni mazingira yapi nyimbo hizo hutumika?
tunaomba unukuu vifungu vya sheria kutoka kwenye katiba ya kidwanzi iliyoko tz kwa xaxa!Inasemaje kuhusu matumiz ya wimbo wa taifa azawaizi kaa quit!