Haya sasa!

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
492
117
ndoa nyingi siku hizi hazidumu kwa muda mrefu .Ninavyodhani tatizo lipo kwenye hatua ya uchumba.Swali langu ni hili:Ni mambo gani ya msingi kabisa mtu mme au mke anatakiwa kuyafahamu au kuyazingatia pindi atafutapo mwenza au mchumba?.AKSANTE
 
Swala la kutafuta life patner linahtaji umakini sana lazima wewe mwenyewe ujitambue na ujue ni mtu wa aina gani atakayekufaa na kwa nini
 
mshirikishe mungu kwa maombi tangu mwanzo unapoanza kuweka nia a kutaka kupata mwenza wako, pia usiconcetrate sana kwenye maswala ya ngono bali mjenge kujuana kitaboa, interest na mapungufu zaidi, mrekebishane mapema vile vinavyowezekana kuliko kusubiriana mkiingia ndani, kikubwa uwe makini watu wanaficha baadhi ya mambo then ukiingia ndano utayaona ila ukimtanguliza mungu hutapata shida.
 
Mi naona ni umpatapo mwenza,ki2 cha kwanza kila mmoja ajaribu kwa 80% kuwa mwaminifu kwa mwenzie. Hakuna dawa zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom