Haya sasa tuufunge mwaka 2016 kwa wana jf kufahamiana hapa!

Naitwa slandoi lendungu, picha sina camera ya simu yangu ina makengeza hivyo hapigi picha vizuri
 
Imetumwa na hao wanaotaka info za member wa jf wakamshikilia Melo...Ili iweje mkuu au hujui huku tunachat na wakubwa wa nchi so vunga
 
Eliakim Xav
 

Attachments

  • 1482011484282.jpg
    1482011484282.jpg
    32.1 KB · Views: 24

Similar Discussions

Back
Top Bottom