Haya sasa, nani mkweli na nani anaihujumu Tanzania kati ya ADB na IMF?

Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
Jambo hili halihitaji IMF wala ADB waje watuambie, kama mwaka wa nne sasa mishahara inashindikana kuongezwa, maana yake uchumi uko ICU.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ha ha waambie ADB waweke 12 sio 6au7 na kwakuwa tunapenda maisha ya mazingumbwe na kusikia tunachokitaka waweke 12 ili tuwe donnar country alafu huku mtaani tutaheshimiana
 
April 26, 2018
Dodoma, Tanzania

On 26 April 26, 2018 the AfDB PRESIDENT DR.AKINWUMI ADESINA COMMENDS PRESIDENT MAGUFULI PERFORMANCE
AfDB PRESIDENT DR.AKINWUMI ADESINA COMMENDS PRESIDENT MAGUFULI PERFORMANCE ON IMPROVING TANZANIA ECONOMY.-
 
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
 
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
Uchumi unakuwa 27% tuko vizuri
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
April15, 2019
Dar-es-Salaam, Tanzania

President of African Development Bank (AfDB) Dr. Akinwumi Adesina commends the 7% Economic growth of Tanzania

Hizi clip mbili za video hapo juu za Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika AfDB ya tarehe 26 April 2018 mwaka jana post #103 na ya 15 April 2019 post # 108 taarifa zake zinafanana sana maudhui, aliteuliwa kuwa Rais wa AfDB mwaka 2015, ni kama Adesani anazunguka Afrika kujipigia debe kupata urais wa AfDB kwa mara ya pili mwaka 2020. Na kwa vile wakuu wa nchi za kiafrika wana mkono wao katika kuamua nani awe Rais wa AfDB basi lazima Rais wa AfDB anakuwa 'makini' kutowaudhi wenye ushawishi nani akalie kiti hicho cah urais wa benki ya AfDB.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pumbavu kabisa!! Umejitoa kabisa ufahamu na kuwa ZWAZWA!

Mjomba wako huyu hapa ZWAZWA

We utakuwa wa kizazi Cha WhatsApp!! Kwani IMF wajomba zetu?
 
Hawampendi kiongozi wa sasa 'Raisi Magufuli'

Wanaona njia ya kumwangusha Magufuli ni kuhakikisha hafanikiwi kiuchumi ikibidi hata kwa kuhujumu Taifa 'ikiwemo kwa kuchezea macroeconomic variables'

Walichezea exchange rates wakabainika sasa wamehamia kwenye economic growth (GDP)
Acha propaganda usidhani watu ni wajinga kiasi hicho
 
The president obsession with the imaginary world that things are fine is beyond me.

Magu anajaribu na anaonesha anajali data kudos for that walau unaweza tafsiri psychologically kweli kichwani kwake anataka kuipeleka Tanzania mbele.

Tatizo linakuja ataki kukubali policy wise and strategic approach ya washauri wake ni ovyo, and easily predictable.

Hivi sijui nani anaweza mwambia get back to the real world huna washauri wazuri wa uchumi; that is real.
 
Tufanye unakuwa kwa 25%.Naona ndio habari mnazozotaka kusikia Mashetani wa Kijani.Mmezuia watu kukusanya takwimu mpaka kwa kivuli cha serikali.Alafu mtupe mafigure yenu tuwaelewe.Thubutu.

Tunawaamini IMF.
 
Achana na takwimu hembu tufafanue kukua kwa uchumi kwa hali ya huku mitaani hali ikoje
 
Kuna tofauti yoyote Kati ya ADB na Albert Daudi Bashite?Nahisi hizo sifa zimetolewa na Bashite kwa majina yake halisi aliyopatia Zero. Fuatilia mkuu
Whatsapp Generation . Haiwezi kufikiri zaidi nje keyboard, sitaki niamini kuwa tunafanya vyema kama sera za nchi LAKINI sitaki niwe mjinga kwamba Ukoloni mamboleo hasa ecomonic and polical colonization ktk Afrika haipo na wala wazungu waluondoka Afrika kwa furaha na sherehe kihivyo nitakuwa nimegoma kutumia akili zangu,
 
Nchi kushuka kukua toka figures mbili kwa miaka matano mfululizo kufikia figure moja inayoashiria uchumi umeshuka kwa zaidi ya asilimia 40 si kitu cha mchezo.

Nadhani Mheshimiwa Rais Magufuli anafahamu ukiwachokonoa hawa wakubwa kwenye miradi yao ni kuwa umetangaza vita ya kiuchumi, amelisema hilo mara kadhaa lakini kuna mtu aliandika humu "sikio la kufa halisikii dawa".

Jinsi ya kupambana na vita ya kiuchumi si kuonyesha makucha yetu, tulionyesha makucha wakati wa Marehemu Nyerere, haikusaidia kitu bali ilididimiza uchumi wetu tukawa masikini wa mwisho duniani.

"Mabeberu" hawana huruma likija suala la maslahi yao, mifano ni mingi, mmoja ni Tanzania wakati wa Marehemu Nyerere, mwengine ni Mugabe, mwengine ni Saddam Hussein, kama haitoshi turejee ya Ghaddafi. Hakuna aliyesalimika. Hata Urusi kuna wakati ili "bow down" kuna watakaokumbukawatakaikumbuka "perestroika".

Nini cha kufanya?

Tumeshawahi kufanya na tukafanikiwa, turejee wakati wa Mwinyi na Mkapa na kisha wa baba la uchumi wa kidiplomasia Mheshimiwa Rais mstaafu Kikwete. Walijua yanayaoendelea na mwisho wa siku wakatufahamisha "kula uliwe".

Naamini, kwa umasikini wetu wa teknolojia, hata tuwe na viwanda vya kila aina kama hatujakubali kula na kuliwa basi ni wazi tutarudi enzi za Nyerere, ambao hamjawahi kuziona ni heri mzisikie tu.

"You are either with us or you're against us" - George Bush Jr.

Mabeberu tukubali watupande tu, si ndiyo kazi yao?
 
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
Mkuu unajisumbua bure, hawa jamaa wanaamini akiongea mtu mweupe (mzungu) yaan kwao ni Mungu. Kingine wanapenda zaidi mambo ambayo ni hasi kwa taifa, mambo ambayo ni chanya hawayapendi wala hawayakubali.
 
Nchi kushuka kukua toka figures mbili kwa miaka matano mfululizo kufikia figure moja inayoashiria uchumi umeshuka kwa zaidi ya asilimia 40 si kitu cha mchezo.

Nadhani Mheshimiwa Rais Magufuli anafahamu ukiwachokonoa hawa wakubwa kwenye miradi yao ni kuwa umetangaza vita ya kiuchumi, amelisema hilo mara kadhaa lakini kuna mtu aliandika humu "sikio la kufa halisikii dawa".

Jinsi ya kupambana na vita ya kiuchumi si kuonyesha makucha yetu, tulionyesha makucha wakati wa Marehemu Nyerere, haikusaidia kitu bali ilididimiza uchumi wetu tukawa masikini wa mwisho duniani.

"Mabeberu" hawana huruma likija suala la maslahi yao, mifano ni mingi, mmoja ni Tanzania wakati wa Marehemu Nyerere, mwengine ni Mugabe, mwengine ni Saddam Hussein, kama haitoshi turejee ya Ghaddafi. Hakuna aliyesalimika. Hata Urusi kuna wakati ili "bow down" kuna watakaokumbukawatakaikumbuka "perestroika".

Nini cha kufanya?

Tumeshawahi kufanya na tukafanikiwa, turejee wakati wa Mwinyi na Mkapa na kisha wa baba la uchumi wa kidiplomasia Mheshimiwa Rais mstaafu Kikwete. Walijua yanayaoendelea na mwisho wa siku wakatufahamisha "kula uliwe".

Naamini, kwa umasikini wetu wa teknolojia, hata tupe na viwanda vya kila aina kama hatujakubali kula na kuliwa basi ji wazi tutarudi enzi za Nyerere, ambao hamjawahi kuziona ni heri mzisikie tu.

"You are either with us or you're against us" - George Bush Jr.

Mabeberu tukubali watupande tu, si ndiyo kazi yao?
Ukweli mchungu! Ila inatisha sana kufikiri huo ulazima wakuendelea kunyonywa ili na sisi tule kidogo, mwisho wake itakuwa lini? Km haina mwisho itakuwaje vizazi vijavyo vitakuta nn? Au ndio watakuwa watumwa kwani kila kitu kitakuwa kimehamishiwa ng'ambo? Najaribu kuwaza tu...
 
Back
Top Bottom