Haya sasa, nani mkweli na nani anaihujumu Tanzania kati ya ADB na IMF?

28 May 2015

AfDB Presidential Election

Gotel Africa is in Abidjan, Cote d'Ivoire covering the African Development Bank's presidential election.



Source : Gotel Africa

AfDB board of governors :
Elect the President of the Bank, suspend or remove him from office and determine his remuneration and conditions of service;
the Board of Governors is the highest decision-making organ of the Bank, composed of one Governor and one Alternate Governor appointed by each Member Country. Each Governor represents his or her country and exercises a voting power proportionate to the capital subscription of his or her country. Governors and Alternate Governors are generally
Ministers of Finance, or Economic Planning, Central Bank Governors, or other high-ranking officials .They serve for a term of five years, subject to termination and reappointment by the member country. Source: https://www.afdb.org/en/about-us/organisational-structure/board-of-governors/
 
Bila ya kuhusisha data za IMF, AfDB wala WB
Yangu mimi ni haya......

Sukari imepanda bei sana tu, ajira zimekuw finyu, biashara huku mijini zinafungwa(hapa sihitaji data kwa sababu najionea), bei za mazao kwa wakulima zimeshuka na pembejeo zipo juu (sihitaji data nipo zone ya kilimo big 4)

Kuna miradi inafanyika Ofcourse ni mizuri lakini miradi hii ina outflow zaid kuliko inflow.
Tuna import much than what we export (-ve balance of payment BOP sidhani kama tulishawahi kuwa na +ve BOP) lakini hata ile export tulokuwa tunaitegemea this year ya korosho imeshuka (from BOT report)

Wale wachumi they know multiplayer effect kwamba injection in the economy leads to more income.
TRA walivunja record ya makusanyo ni kitu kizuri lakini tulishajiuliza kwamba haya makusanyo yanarudi kuimarisha mazingira ya biashara ili next time tukusanye zaidi na kuwe na win win situation. Sijui kama inafanyi.
[Lakini nahisi tunamkamua ng'ombe maziwa bila ya kumpa marisho]

Hatupo pabaya lakini hii ni alarm kwamba tuendako ni kubaya zaidi km hatutokuchulia mambo haya serious na tukaacha siasa za akina prof mbele ya mkuu
 
Yaani haaiingii akilini miradi yote hii afu iwe inadidimiza uchumi. Asante ADB Africa tutajenga wenyewe.
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
 
Hivi mbona awamu hii mnalilia sana kubebwa na takwimu za makaratasi??? Nakumbuka Twaweza walimsifu jiwe kwa takwimu ikawa sherehe, lakini walipotoa takwimu zisizomfurahisha tayari wakawa maadui!

Mimi naona IMF wetu ni sisi wenyewe wananchi ambao hali ikiwa nzuri tunaona, na ikiwa mbaya pia tunaona. Hivyo basi nikiwa kama mjumbe wa IMF yetu nathubutu kusema kuwa uchumi wetu una hali mbaya sana!! Tunaelekea kwenye negatibe (-ve) kabisa.
 
World bank - uchumi wa Tz unakua kwa 7%.
AFDB- uchumi wa Tz unakuwa kwa 7%.
IMF - Uchumi wa Tz unakuwa kwa 4%.

Hapo nyumbu na Zitto watakuambia data sahihi ni zile tu ambazo hazionyeshi kuna maendeleo Tz.

We jamaa sisi hatutaki hizo namba tunataka mfumo wa maisha mazuri alaaaah!
 
Hali ya fedha ni ngumu huku mtaani. Haiitaji ubobezi wa IMF kujua hali ni ngumu sana
Mkuu inaonekana ni msomi lakini msomi usiyejua haya mambo.
Ndiyo maana Nyerere alipolihutubia bunge la Afrika Kusini Huru aliwafahamisha waswazi kutobweteka kwasababu wanasifiwa na wachumi wa world bank kuwa per capita yao ni US$3100. Aliwauliza kama kweli mwananchi anayeishi Soweto anazo hizo dola 3100. Ningekushauri sana usiwe kama kasuku kusimiliza na kukopi kila anachokisema Zitto. Zitto ni mwanasiasa atatumia kila njia kuwapata watu wavivu kama wewe maana hamjisumbui ku research ni watu wa ndiyo mzee.

Msikilize mwalimu

 
Yaaani we jamaa kichwa cha habari kimeanza vizuuuri umeuliza swali zuuuri kabisa kwamba:

"TUMUAMINI NANI KATI YA IMF NA ADB"

Cha ajabu pumba zooote ulizoandika I mean maelezo yoote umeonyeshea kua tumuamini ADB kwa sababu mwafrika mwenzetu ...

Hivi ikifikia mahali Mtanzania mwenzangu ananikaanga itakua mwafrika mwenzangu kweli ...!!!???

Hebu acha maskhara maskhara ... tuongeee vitu vilivokua na serious bana !!!

Jamani swalamaaaaaaa tushauzwa !!!

Mzee nchi imemshinda alikurupuka sana kapoteza timing
 
Yaani nchi hii Ina watu WA ajabu Sana.... Hivi unahitaji kuwa mbobezi kiasi gani kujua kuwa uchumi wetu upo mahututi. Guys tusiongopeane na tuache unafiq
Mpaka sasa inaonekana kunahujuma ilipangwa na IMF kuihujumu Tanzania dhidi ya takwimu za kiuchumi,

Naipongeza serikali kwa kushitukia mchezo huo mchafu,kwa kutoichapisha ripoti hiyo,IMF walitaka tujikaange kwa mafuta yetu wenyewe.

Hili limethibishwa leo ikulu na kiongozi mwandamizi kabisa wa bank ya ADB ,amesema uchumi wetu unakua vizuri na unatarajiwa kukua vizuri kwa asilimia 6 mpaka 7.

Nzuri zaidi ni mwafrika mwenzetu.

Nategemea Zitto ajitokeze na kundi lake kumpinga kiongozi huyu mbobezi wa masuala ya kiuchumi .

Mwisho, ni nani wako nyuma ya hujuma hii dhidi ya nchi yetu?,na nini lengo lao?
 
Back
Top Bottom