REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,895
Haya sasa Nairobi ndio Jiji chafu kupindukia* kuliko Jiji lolote Africa Mashariki na kati report ya WHO imesema, Tanzania yaongoza kwa kuwa na miji misafi huku ikiwa na idadi kubwa ya miji misafi na yenye kupendeza
Kila mwaka Shirika la Afya Duniani ‘WHO’hutoa ripoti ya hali ya Mazingira Duniani ambapo mwaka 2017 WHO pia imetoa list mpya ya miji 38 michafu na yenye hali mbaya ya hewa barani Africa.
Nigeria inaongoza list kwa kuwa na miji mingi michafu ikiwa na miji 12 ikifuatiwa na Afrika Kusini ambayo imeingiza miji 8 kwenye list hiyo. Jiji la Nairobi limetajwa kuwa chafu kwa upande wa majiji makubwa Afrika Mashariki hukuMorogoro ukiwa mji pekee kwenye list hiyo kutoka Tanzania.