Haya sasa kwa wale wapenzi wa nyota (horoscopes) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya sasa kwa wale wapenzi wa nyota (horoscopes)

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Lofefm, Aug 1, 2011.

 1. L

  Lofefm Senior Member

  #1
  Aug 1, 2011
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 131
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kujua nyota yako (HOROSCOPES) ya kila siku tembelea BONGOWAP.HEXAT.COM
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Ondoa majini hayo hapa. we msomi mzima unaishi kwa nyota si aibu kubwa hii
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  nyota ndio nini?
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kujua nyota yako! Sijakusoma.
   
 5. k

  kifuniboy Senior Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hawa ndugu zetu wanamatatizo...hayo ni mambo ya kishetani..
   
 6. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #6
  Aug 2, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,869
  Likes Received: 1,559
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Duuuh! Ndo nchi haendelei kwa mambo ya kishirikina, kama vp nenda kwa yule jamaa anaelindwa na ulinzi usioonekana pale waiti hausi maana fundi wake aliekuwa anampatia ulinzi huo katangulia mbele za haki.
   
 7. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #7
  Aug 2, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  We utakuwa tajiri sana una miliki nyota.!
   
 8. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #8
  Aug 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duuh mambo gani tena haya tupa kule
   
 9. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  jamani msiwe wanafiki wa kujifanya kushangaa hata jesus uwepo wake duniani ulitambuliwa na horoscopes! wenzetu siku hizi wanatumia horoscope kujua majanga ya asili yaani [ natural calamities] sasa kama unajua kuwa ni ushetani basi tujuze wenzako maana dunia hii kuna mambo memgi yanazingua hasa haya ya nguvu za giza kama kuna mjuzi atupe precaution
   
 10. olele

  olele JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  we ndo umeachiwa usukani nini
   
 11. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Haya tena Yahya huyooooooo!!!!
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Wamempata mrithi wa shiekh?
   
 13. B

  Bayo Senior Member

  #13
  Aug 3, 2011
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nyota kitu gani bwana.... Wizi mtupu...
   
 14. K

  Karry JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  haya kazi imeanza humu tena hii nayo jokes
   
 15. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,313
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  peleka uchawi wako huko.
   
 16. J

  Josef Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ya Kaisari mpe Kaisari na ya Mungu mpe Mungu!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. O

  Omary sebene Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa nyota hizo zipo juu au unazo za kwako za kuchora?
   
 18. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  waambie kwamba elimu ya nyota ipo na hata mtu akifundishwa ataelewa na sio kubwabwaja tu kuwa hamna hicho kitu wakati mifano ipo mingi sana juu ya elimu ya nyota, mfano mmoja wapo ni kuzaliwa kwa yesu.
  ukibisha kitu uwe na evidence na sio kulipuka kwa jazba tu kwa sababu ya imani yako.
  hapa tupo kujifunza zaidi na sio kuonyesha umwamba wako kwa kupinga vitu bila ushahidi huku ukitumia jazba na kejeli!!
  [HR][/HR]
  "THOSE WHO THINK THEY KNOWS MUCH LET CONSIDER
  THEMSELF KNOWING NOTHING"
   
Loading...