Kipapatiro
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 1,129
- 1,497
Wanabodi kuna hiyo kitu hapo. Je, tutachomoka wakituletea hao wataalamu kwenye mazungumzo?
We jamaa bana! Unataka kila MTU ashikiliwe akili hapa Tz? Dah bado tunasafari ndefu sanaWapumbavu pekee ndiyo wanaoliombea taifa hili lisifanikiwe.
Kwani mkulu kasema tutapata Noah?Kwani sisi hatuwezi kuzungumza? Wapo wakina profesa mruma na mwenzake ossoro waende wakajitee kama waliandika uongo haituhusu.tunachotaka trilioni 108 kila mtu akajichukulie Noah yake
Mkuu hiyo avatar hapo ni noma...Googlena sisi tuweke wajuvi wa mambo na wabobezi pia. baada ya kujua mbinu zao na sisi tuzitumie pia
Lete CVs zao tuwajue. Mlianza kutabiri Acacia kukimbilia mahakamani, mkashindwa. Sasa mmehamia kwenye psychological warfare, Nakuhakikishia mamluki ninyi mtashindwa pia.Wanabodi kuna hiyo kitu hapo. Je, tutachomoka wakituletea hao wataalamu kwenye mazungumzo?
We jamaa bana! Unataka kila MTU ashikiliwe akili hapa Tz? Dah bado tunasafari ndefu sana
Hatuwezi kuwa na akili moja ndugu yangu! Yaani unamshangilia MTU ambaye wakati mikataba inasainiwa anashangilia. Dah hii Tanzania tuna safari ndefu sanaLete CVs zao tuwajue. Mlianza kutabiri Acacia kukimbilia mahakamani, mkashindwa. Sasa mmehamia kwenye psychological warfare, Nakuhakikishia mamluki ninyi mtashindwa pia.
Hahahaah...wataje tu. Nadhani ndo wale walopitisha sheria kwa hati za dharuraSikoment chochote nisijewataja "wasotajwa"!
Safi sana. Umeongea vema mwanangu. Njoo kwa tumbo hapa nikuyoe lunchDawa ya hao watu ni kujikita kwenye hoja, watu wetu wasikubali kuingiza maswala ya democrasia, utawala wa sheria,ukimwi,umasikini, n.k kwenye mjadala.
Hoja ni moja tu wamekuwa wana underestimate kiwango cha dhahabu na madini mengine yaliyo kwenye mchanga wanaosafirisha.
Na ikiwezekana njia ya kwanza ya kupima kiwango hicho iwe ni ile iliyotumiwa na akina profesa mruma na osolo.
Kama watataka itumike njia ingine tuite warusi waverify accuracy yake.
You say it well!!Well said