Haya ni nimatusi kwa CAG na TAKUKURU

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
11,057
Points
2,000

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
11,057 2,000
Jamani haya nimatusi yanguoni haiwezekani CAG aombe aongezewe muda wakuchunguza kashifa ya kutoa pesa lukuki za wizara ya madini na nishati zizokwapuliwa na Katibu mkuu wake Bwana Jairo Hata kama ni 500MLHaitoshi kutomtia hatiani,Leo Luanjo atamke wazi eti Jairo anatakiwa arudishwe kazini!Je Kazi aliyo kwisha ifanya CAG ni uchafu?Je Takukuru walipokuwa wamefikia na uchunguzi wao Ikulu imeona hakuna maana?kwani hawakusubiri uchunguzi ukamilike halafu wasome repoti ndo wajiridhishe?Hata kama umekamilika inamaana Takukuru wao hawakufanya uchunguzi?Na kwanini hiyo repoti haikupelekwa bungeni huko amabako saga ilianzishwa?Kwa mantiki hiyo utetezi wa Jairo umetosha kumrudisha kazini?bila kupata ripoti ya taasisi husika CAG office,Takukuru office?Ikulu inatumika vibaya dhidi ya idara zilizopo kisheria.Haya nimatusi yanguoni Kwa CAG,TAKUKURU.
 

Forum statistics

Threads 1,353,874
Members 518,415
Posts 33,083,596
Top