Haya ni muhimu katika maandalizi ya mchakato wa katiba mpya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ni muhimu katika maandalizi ya mchakato wa katiba mpya

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by amanibaraka, Jan 4, 2011.

 1. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ILI MCHAKATO WA UUNDAJI WA KATIBA UENDE, JE HAMUONI IPO HAJA YA:

  1. ELIMU KUSAMBAZWA JUU YA MAANA YA KATIBA, KAZI YA KATIBA NA MAMBO MUHIMU YA KINCHI AMBAYO KATIBA INATAKIWA KU-REFLECT?

  2. KUELIMISHA WATU JUU YA MCHAKATO WA UUNDWAJI WA KATIBA NA MISINGI YA UUNDWAJI WA KATIBA (km Ushirikishwaji), NAMNA MBALIMBALI ZA NAMNA ZOEZI LINAVYOWEZA KUENDESHWA KWA KU-REFER KATIKA EXPERIENCES ZA NCHI NYINGINE.

  3. KUHAMASISHA USOMAJI WA KATIBA YA ZAMANI ILI WAKATI WA KUJADILI KATIBA MPYA WATU WAWE WAWE INFORMED JUU YA KATIBA YA ZAMANI NA MAPUNGUFU WAYAONAYO?

  ZOEZI HILI LA UELIMISHAJI NA UHAMASISHAJI LIFANYWE KWA PAMOJA NA WADAU WOTE IKIWEMO SERIKALI, NGOs, CBOs NK.
   
Loading...