Haya ni mtokeo ya kupiga simu wakati unaendesha gari

Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,767
4,035
BE WARNED: ITS STOMACH CRUNCHING
If you know anyone who likes to TEXT

while driving, Pass it along..

If you look at this, you'll never text or cell phone

While driving again!!!


securedownload (1).gif

securedownload (2).jpg
securedownload (1).jpg
securedownload (3).jpg
securedownload (4).jpg
securedownload (6).jpg
securedownload (7).jpg
STAY OFF THE PHONE! HANG UP ANDDRIVE, OR PULL OFF THE ROAD!!!!
 

Attachments

  • securedownload (5).jpg
    securedownload (5).jpg
    65.7 KB · Views: 198
  • securedownload.jpg
    securedownload.jpg
    52.8 KB · Views: 171
ni makosa ambayo wengi wetu tunayafanya!asante mleta uzi kwakututahadharisha!
 
Afu kuna wajinga wengine wanadai eti picha hizi hazitakiwi kuonekana hadharani wakati wao washakuja kuchungulia humu na kujifunza watakavyoonekana baada ya ajali.
 
Mbona picha hii ya marehemu haijaheshimiwa?
Ni jana tu kuna watu walikua wanalia hapa kuhusu kuweka picha za marehemu mitandaoni.

Leo vipi mbona kimya??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom