maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,337
Haya ni maswali muhimu sana ya kujiuliza ili sisi tunaposema CCM ni ile ile mambo mbele kwa mbele muelewe
Na sasa shida inazidi kuongezeka kuna zaga la ndege ya mkulu na undugu uliotamalaki kwenye isue nzima hiyo.
Kubwa tumeshuhudia waliotumbuliwa wakirudishwa kazini huu ni usanii na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali.
Yetu macho muda utatupa majibu ya ukweli wote. Hatuombei mabaya ila mwisho wa Magufuli ni mbaya sana kwa huwaonea watu sana mfano wa wazi ni vyeti feki viongozi wamelindwa ni jambo baya sana
Karibuni wanajamvi