Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,029
- 1,252
Yes ndo hvyo mkuuHii nilikua sijui
Yes ndo hvyo mkuuHii nilikua sijui
Soko la maimoria badala ya Soko la memorialKilimanjaro badala ya kilimakyaro
Kiboriloni badala ya kibo Alone
Chaliii badala ya charlie(champlin)
Check Lane inaweza kuwa ndio sahihiitakuwa ni check train
hahahhahahahaha
Na mimi nikiandika check rail ni check line kuna mbaya?🤣Chekereni sio check rain ni
CHECK RAIL (Yaani tahadhari ya reli inayokatiza barabara)
Hapo kwenye chalii (runinga iliwahi sana kwetu wachaga hhhh)Kilimanjaro badala ya kilimakyaro
Kiboriloni badala ya kibo Alone
Chaliii badala ya charlie(champlin)