Haya ni madini gani?

Habari zako naitwa Emmanuel,, ni mfanyaji bihashara wa madini katika ununuzi na usambazaji.ni matumaini yangu kuweza Fanya bihashara na wewe
Nice to meet you Mr. Emanuel.... Nakuja inbox...
 
View attachment 530944 View attachment 530945 View attachment 530946 View attachment 530947

Wakuu hii ndo aina nyingine ya Madini niliyonayo, na kwa Comments za wengi hapo juu, nadhani hii ndo Amethyst!
Nipo sahihi!???

..Nimeshindwa kuyaosha vizuri, nimetoa tu Vumbi na mengine niliyapasua kuona ndani kukoje!!
Umeona quality hii ya amethyst

Ova
IMG-20181210-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom