Haya ni mabaya ya SITTA, niwekee mazuri yake

Mazuri......

Anacheka na Magamba Super pamoja na yote

lowasa%2Bsita.jpg


page+4.JPG


NAPE%2BNA%2BSITTA.JPG



CHENGE+NA+SITTA+USO+KWA+USO.JPG
DU!anawafurahia anapokuwa nao anawaponda anapowapa mgongo!nimependa hizi picha hemu ziongezee nyingine maana 6 amekua anazuga ana uhasama na mafisadi.
 
hongera habari ya kitafiti kabisa,mi huyu mzee nawambiaga watu ni mnafiki hawanielewi,nikama waliopo cdm,wanaotafuta umaarufu
 
wewe ni jinga sana
umesoma nilipoandika My take:LOWASSA NA SITTA ni walewale???
Nani kakwambia JF member ni wa kaskazini tu????
je CDM haikumtaja Lowassa kwenye list of shame????? SITTA kagundulika juzijuzi kwamba ni mtu wa namna gani ni mnafiki 100%
Umma hauna chuki binafsi na SITTA ila sitta amejimaliza mwenyewe na sasa 2015 hatagombea urais kukwepa aibu
Hapo red:Mfa maji haachi kutapatapa huna zuri ulijualo juu ya SITTA zaidi ya chuki zake dhidi ya Lowassa (kiti cha uwazir mkuu) kutufanya leo tulipishwe mamilioni na DOWANS. (sitta hakuizima Dowans bungeni?????????????????????????????????????????)
una akili za kugundishiwa tutokee hapa

Mkuu taratibu Mkuu! Ni uchangiaji tu wa mada, sio kila mtu ana uelewa kama wako! Tupeane nafasi na wengine watajifunza kwetu.
 
Ni 6 huyu huyu amenunua nyumba za serikali na kuzipangisha wakati mawaziri wetu wanakaa kwenye mahotel kwa gharama kubwa ya kodi zetu.
 
Gharama za ujenzi kipindi kile zilikuwa chini, huwezi linganisha na hako ka airstrip alikokajenga... Airbus 300A inaweza kutua hapo? ... Huyo Fisadi tu kama alivyo fisadi Dodoma iliyopaswa kuwa sawa na Abuja ya Nigeria ...
amejenga kiwanja cha mwalimu nyerere akiwa waziri wa ujenzi bila kuchota vijisent
 
Back
Top Bottom