Haya ni mabaya ya SITTA, niwekee mazuri yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya ni mabaya ya SITTA, niwekee mazuri yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marytina, Oct 25, 2011.

 1. M

  Marytina JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nimekuwa mzito kumwelewa sitta pls nisaidieni (nionesheni tofauti ya SITTA na mafisadi)

  1.ni sitta aliyeizima dowans bungeni (leo tunatakiwa kuilipa)
  2.ni sitta aliyejijengea ofisi ya spika kwao (kama vile atakuwa spika milele)
  3.ni sitta asiyetaka kuhama kwenye nyumba ya spika hadi leo
  4.ni sitta aliyeunga mkono posho (bilioni 900 kwa mwaka)
  5.ni sitta anayedai elimu bure haiwezekani (yeye alisomeshwa bure)
  6.Alianzisha chama ndani ya chama na kukizima pale alipoahidiwa kuteuliwa spika kwa next term kumbe danganya toto

  Nakaribisha list ya mazuri ya SITTA
  1.
  2.
  3.
  4.
  5.

  My take:SITTA NA LOWASSA WOTE WATATUTEKETEZA INCASE WAKIPEWA NAFASI YA URAIS,
   
 2. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni 6 aliyeifisadi CDA dodoma mpka leo haina mwelekeo
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mimi nimekuomba unisaidie mazuri yake sasa unaniongezea maumivu
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Mazuri......

  Alimuwowa Miss Margaret Simwanza

  [​IMG]
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  6 huyu 6, hata MAN U wanamjua. ni mnafiki sana.
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ulishamwona live tena akiwa anatembea?????
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  nipe zuri mmoja tu na roho yangu ijitanzue
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,258
  Trophy Points: 280
  acheni GUBU na wivi wa NYEGERE
   
 9. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Aliwaita wapinzani wanafiki bungeni, wao kazi yao kupinga kila kitu.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,258
  Trophy Points: 280
  acheni GUBU na wivu wa NYEGERE
   
 11. Panga La Shaba

  Panga La Shaba JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 209
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nakaribisha list ya mazuri ya SITTA
  1.Hakuzima issue ya Downs bungeni..bali aliunda tume
  2.Atakama alijenga kwani ni yake si ya serikali
  3.Kwani nini tatizo ata kama ataki kuhama hiyo nyumba si ya serikali,siku uwaziri ukihisha ata hama tu na kumia Kimara-kwa Tomas Lyimo
  4.Posho ipi hiyo bingwa???
  5.Kwani kuanzisha chama ni ufisadi au ndio upanuzi wa demokrasia???au uelewi nini maana ya ufisadi mkuu???
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,258
  Trophy Points: 280
  ana miaka 43 ya ndoa, we kila uchao unabondwa vibuti na waliokuvua kisepe
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  ongea kama mwanaume na suyo kubwabwaja
  weka mazuri yake ingalao mawili.
   
 14. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  1, amejitahidi kuliongoza bunge bila wabunge kutwangana makonde bungeni.
  2, pia ni mshabiki mzuri wa simba sport club.
  3, alimhukumu zito kutohudhuria vikao vya bunge kwa mda.
  4, alimzuia yule mama kiherere kutoruhusu report ya kamati ya mwakyembe kutosomwa akiwa hayupo.
  5, ..................................................
   
 15. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Mazuri....

  Alisimamia kujenga Selander Bridge Mpya kama Waziri wa ujenzi 1981

  Kabla

  [​IMG]

  Baada

  [​IMG]
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 17. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Hakuna aliyekosa mazuri katika dunia hii. Hata sita ana mazuri yake:
  1. Alifanya vizuri zoezi la kumsambaratisha Lowasa, Rostam na wafuasi wao wakati wa ripoti ya Mwakyembe.
  2. Aliweza kumkemea JK hadharani/bungeni alipodai kujali utawala bora ktk kuwatetea rafiki zake mafisadi wasishitakiwe/wasiadhibiwe.
  3. Amefanikiwa kuzua mjadala katika vyombo vya habari kwa kauli zake controversial. Hapa ametusaidia kujua mengi juu yake na mtandao wa wana CCM wapenda madaraka.
  4. Amenisaidia sana mimi binafsi kujua wazee wetu walivyokuwa wanafiki hasa katika siasa. Alipinga list of shame ya Dr. Slaa na taarifa za mwanzo kuhusu Kagoda lakini leo anatumia mambo hayo kuwahukumu wezi wenzake na anajiita mpinga mafisadi. Hii ndiyo picha ya halisi katika siasa za CCM.
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,383
  Likes Received: 22,258
  Trophy Points: 280
  thread yako haina mashiko.
   
 19. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Aliwahi kuingia bungeni na kaputura wabunge wakamcheka akaenda kubadilisha.
   
 20. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 160
  Mazuri......

  Anacheka na Magamba Super pamoja na yote

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]
   
Loading...