Haya ni maajabu kukiko yale ya yesu kutembea juu ya maji

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Haya ni maajabu makubwa kuliko yale maajabu ya yesu kutembea juu ya maji yaliyotokea nchini tanzania,haya ni maajabu zaidi ya yale ya yesu kutembea juu ya maji,tulioambiwa wametusababishia wizi wa triloni 108,wanakula bata mtaani lkn,gazeti limepewa adhabu kali kama ya mauwaji
 
Kiherehere chao cha kutaka kuwa wa mbele ndo kimewafikisha hapo. Lazima wajue kuwa, mkuu hakosei hivyo hawana njia ya kurudi jukwaani hadi adhabu iishe. Msinijaribu,,Kwishaaaa. Na mkiomba msamaha tunawaongezea mara dufu yaani hadi 2020 Dec. Yapo magazeti mengi yasomeni hayo
 
Haya ni maajabu makubwa kuliko yale maajabu ya yesu kutembea juu ya maji yaliyotokea nchini tanzania,haya ni maajabu zaidi ya yale ya yesu kutembea juu ya maji,tulioambiwa wametusababishia wizi wa triloni 108,wanakula bata mtaani lkn,gazeti limepewa adhabu kali kama ya mauwaji
Ni kulindana tu hapo hakuna sera nyingine
 
cbae556b102ea577b1490605a17d654b.jpg
 
Haya ni maajabu makubwa kuliko yale maajabu ya yesu kutembea juu ya maji yaliyotokea nchini tanzania,haya ni maajabu zaidi ya yale ya yesu kutembea juu ya maji,tulioambiwa wametusababishia wizi wa triloni 108,wanakula bata mtaani lkn,gazeti limepewa adhabu kali kama ya mauwaji
This is Tanzania
 
chadema hakuna mnachosimamia kwa sasa.Hoja ya kufungiwa gazeti imewekwa wazi kabisa,lakini mtu kaamua kuleta comedy
 
Back
Top Bottom