Haya ni maajabu, jaribu na wewe ulete mrejesho

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
3,871
8,380
Jaribu kutuma sms(text message ya kawaida yenye neno FREEMAON kwa mtu yeyote yule uone Kama itaenda!!

Kwangu haziendi, jaribu ulete mrejesho
 
Najua kuna waliojaribu, majibu wanayo!!


Mm haziruki zinagoma

Goite
 
Goite,
Mimi zinaenda, tena naulizwa una maana gani? wale watani/wasinipenda wanajibu live nimeanza kuvuta bangi! ukubwani, eti'' Bangi mbaya''
 
Back
Top Bottom