Haya ni kijijini kwetu, je kwenu?

Good Morning wananchi !

May be good evening....

I just joined this interesting forum. Those who have information about Khat, miraa, mirungi PLEASE SHARE WITH ME.

Hivi khat ndio mirungi. Nataka kujua kama wanawake wengi kiasi wanatumia, ama ni jamii gani hasa hupendelea hii kitu.

SUALA LA kHAT LIMENIVUTIA!. kama una information yoyote email me at sozina.jasper@yahoo.com nafaya research ya hii kitu kwa afya ya wanawake.

I believe it is still not banned in TZ kwa hiyo hutumika kihalali.
 
Aisee Huko kwenu kuna raha! ni vijiji vichache vilivyo kuwa kama hicho vingi sasa vimeshaharibika.
 
NGULI,

nimekupa. Maendeleo unayoyasifia kijijini kwenu ambayo ukiangalia kwa mamakini ni tofauti na katika maeneo mengine, hayo ni matokeo ya mfumo usio sawa (imbalance system) wa kugawa pato la taifa, kwa maana kwamba maeneo fulani fulani hasa maeneo unakotoka wamekuwa wakijipendelea sana kuliko maeneo mengine.Angalia unazungumzia bara bara za lami kijijini, nyumba za kifahari na umeme mapaka umewekwa kwenye miti, wakati mikoa kama Kigoma hakuna umeme wa grid, barabara ya lami ni moja iliyopo mjini tena mbovu sana imejaa mashimo, hakuna wenye uwezo wa kujenga nyumba zisizotumika vijijini. Hapa tunaona matokeo ya akina Basil Mramba, Waziri Mkuu wa zamani Msuya kupendelea mikoa wanayotoka na kusahau kabisa mikoa mingine kwa sasa ninyi mlioendelea mnaiita mikoa ya pembezoni.

Kulikokujisifia namna hiyo ebu piga kelele na mikoa mingine ipewe mgawo uliosawa na huo unaopelekwa kwenue ili wote kwa pamoja tusifie vijiji vyetu kama ulivyosifia vya kwenue. MUNGU IBARIKI MIKOA YA PEMBEZONI NAYO IKUMBUKWE KIMAENDELEO
Kigoma barabara, uwanja wa Ndege, Umeme toka Burundi, HEP na daraja kubwa katika Mto Malagarasi vinajengwa, unajua kwanini? kwa vile wamepigia kura upinzani yaani Chadema na CCM wanataka kurudisha jimbo na kulinda yaliyo chini yao! kwa hiyo imewabidi wapeleke huduma muhimu! Kuhusu kwa huyu jamaa ukiacha Upareni na suala la Msuya majimbo yaliyobaki yanapata maendeleo kwa vile huwa rebellion kwa CCM kama unakumbuka Mkapa aliweka kambi kubwa sana kugomboa majimbo ya Kilimanjaro na ahadi kemkem ikiwa na barabara za huyu baba anazojinadi zao! Hata huko Pemba barabara zinajengwa asikwambie mtu umeme ndo huo unakatiza bahari, airport ndo kama hivyo, mpk bandari wamejengewa na kituo cha redio cha kisasa ukiacha zahanati! Kwa hiyo ili na kwenu kujengwe pigia upinzani baba pigia CUF au Chadema haki ya Mungu next uchaguzi CCM watakuja na ahadi lukuki na mtasaini makubaliano! Amka kaka hamna cha kupendelewa huko Kilimanjaro wangekuwa na senior positions kwenye serikali ungesema hivyo the highest position waliyowahi kuwa nayo ni hiyo ya Waziri wa Fedha Mramba kwa kipindi kimoja tu!
 
Good Morning wananchi !

May be good evening....

I just joined this interesting forum. Those who have information about Khat, miraa, mirungi PLEASE SHARE WITH ME.

Hivi khat ndio mirungi. Nataka kujua kama wanawake wengi kiasi wanatumia, ama ni jamii gani hasa hupendelea hii kitu.

SUALA LA kHAT LIMENIVUTIA!. kama una information yoyote email me at sozina.jasper@yahoo.com nafaya research ya hii kitu kwa afya ya wanawake.

I believe it is still not banned in TZ kwa hiyo hutumika kihalali.

Wewe unatakiwa upewe ban hadi kwenye server kabisa. HII NI OFF THREAD.
 
Mim kijini kwangu ni Tandale Uwanja wa Fisi kuna kila ktu unachokihitaji kwa Binadamu Starehe ,Ukabaji,Wizi na kila jambo baya lipo hapo karibuni washikaji kijijini kwangu hata Serikali inaogopa kututembelea hapo kijini kwetu raha tupu mnakaribishwa wana JF wenzangu Karibuni wote Wabongo.
 
nimekupa.

Mazee hapa umenipa nini?

Maendeleo unayoyasifia kijijini kwenu ambayo ukiangalia kwa mamakini ni tofauti na katika maeneo mengine, hayo ni matokeo ya mfumo usio sawa (imbalance system) wa kugawa pato la taifa, kwa maana kwamba maeneo fulani fulani hasa maeneo unakotoka wamekuwa wakijipendelea sana kuliko maeneo mengine.
Msuya kupendelea mikoa wanayotoka na kusahau kabisa mikoa mingine kwa sasa ninyi mlioendelea mnaiita mikoa ya pembezoni.

Tunajipendelea na nini? soma historia ya nchi vizuri...kwa hio hata wakoloni walitupendelea?? na kama ndio kwa nini?? Je mikoa yenu haina viongozi? kama wapo kazi yao ni nini? mbona wasipendelee kama wetu unavyodai wanatupendelea?

Kulikokujisifia namna hiyo ebu piga kelele na mikoa mingine ipewe mgawo uliosawa na huo unaopelekwa kwenue ili wote kwa pamoja tusifie vijiji vyetu kama ulivyosifia vya kwenue.

Kwa taarifa yako kuna maeneo huku kijijini kwetu yamewekwa lami na watu binafsi na hawakuisubiri serikali.

MUNGU IBARIKI MIKOA YA PEMBEZONI NAYO IKUMBUKWE KIMAENDELEO

Mungu ameshabariki siku nyingi hapa nahisi anakushangaa na hio statement watu wafanye kazi kwa bidii watunze mazingira ..kwa mafano kijijini kwetu ni kosa kukata miti ila unaruhusiwa kupanda miti, kumegeuka msitu, ikifika jumamosi kuna kitu kinaitwa msarakambo lazma wote mwaamke saa 12 am mkasafishe vyanzo vya maji au kuchimba barabara na usiposhiriki wanakuja kuchukua mbuzi 1 wanauza wanamlipa kibarua anafanya ile kazi yako. Je kwenu hilo lipo??

Mkuu umenena kidogo,
Historia ya nchi naijua. Mkoloni kweli aliegemea maeneo yenu nadhani ni hali ya hewa. *Mengine ya kujenga shule, vituo vya mission ambavyo ni chachu ya maendeleo nakubali kabisa. Lakini Mkoloni hakupenda tu maeneo yenu, tuangalie Mikoa ya kusini hasa Ruvuma, mkoloni aliyapenda na akajenga vituo vya missio vikubwa tu (peramiho) lakini maendeleo ya mikoa hiyo hayalingani kamwe na maeneo yenu. Nachelea kusema kuwa, uwepo wa viongozi wengi wa serikali kutoka maeneo ya kaskazini hasa kwenye wizara nyeti kama fedha na ngazi kubwa (uwaziri mkuu) angalia hata sasa TRA kumeweza kubadili hali ya mambo. Sisemei lingine, ni kuipa kipaumbele mikoa ya kaskazini na kuisahau mikoa mingine (Angalia vitega uchumi vya serikali katika mikoa hiyo).

Suala la kwa nini viongozi wetu hawajali kwao, hapo sikubaliani na wewe, viongozi wetu waliopo wachache na kwenye maeneo yasiyo kuwa nyeti wanajali kwao. Kumbuka Bungeni kulizuka zogo, baada ya Basil Mramba akiwa waziri wa miundo mbinu kutenga fedha za kujenga barabara ya Tarakea ambayo haikuwa kwenye orodha ya barabara za kujengwa na kuinyima barabara ya Itigi-Tabora-kigoma ambayo ndiyo ilikuwa kipaumbele (alaniwe Mramba)

Kutoka kwenye maelezo yako sasa, nachukua juhudi binafsi za wananchi za kujiletea maendeleo bila kusubiri serikali hapo umenena, hasa utunzaji wa mazingira kupitia kauli mbiu ya Msarakambo (Lakini isiwe inafadhiliwa na mafisadi wa maeneo hayo). Mkakati huu nadhani ndio utatuokoa kuliko kutegemea fedha za serikali tu ambazo wenye kutoa maamuzi wana akili kama ya Mramba

Bado nasemA MUNGU, ibariki mikoa ya pembezoni ikumbukwe kama mikoa mingine
 
Mim kijini kwangu ni Tandale Uwanja wa Fisi kuna kila ktu unachokihitaji kwa Binadamu Starehe ,Ukabaji,Wizi na kila jambo baya lipo hapo karibuni washikaji kijijini kwangu hata Serikali inaogopa kututembelea hapo kijini kwetu raha tupu mnakaribishwa wana JF wenzangu Karibuni wote Wabongo.
hata avatar yako inaprove maneno yako
 
Mkuu, umenikumbusha mbaliiii!

Niko kijijini kwetu kwa vacation nilikuwa sijafika kwa miaka 2 nimefurahi kukuta maendeleo ambayo ni mazuri kwa mfano barabara ina kiwango cha lami hadi karibu na mpakani.

me nina miaka 3 sijaenda sipati picha pakoje kwangu kwa sasa, sijui hiyo barabara ya kutoka marangu kwenda rombo imefikia wapi?

Ila kilichonishangaza ni hizi nyumba za kifahari kali kuliko hata baadhi ya nyumba za maeneo ya masaki na O'bay ambazo hazina wapangaji wala mtu anayeishi, unakuta nyingi zina babu na bibi ambao wanafanya usafi na kuitunza. Kwa mtazamo wangu tungejenga rum 2/3 kwa ajili ya siku kuu za xsmas na mwaka mpya na hizo hela zikafanya mambo mengine. najua huku kuna mashule na hospital basi tusaidie wengine/wa eneo tofauti. Baadhi ya hizi nyumba zingekuwa zinabebeka zingekuwa dispensary maeneo mengine au hata hospitali za rufaa.

kwetu tangu 2001 mambo yalikuwa hivi, yani kosoka iho mrarunyi koambiya numba tso chandu tsiwaka lee, leka tupu.

Hapa kijijini kwetu raha kweli ukiwa padre unaheshimika kuliko hata waziri wala mmbunge. Ukisoma seminary ukaacha unaweza pewa radhi na bibi yako...huku padre anaitwa mopiaa....raha kweli.

hapo nilipobold nimecheka kweli kweli, umenikumbusha mbali sana

Kuna makanisa yenye kengele ambazo ingekuwa dar ikipigwa ule mchana kwa mfano st. Peters wangesikia hadi bagamoyo. Ikipigwa hata kama mtu anakunywa/ria pombe ya mbege anaacha na kusali sala ya malaika/anjelusi hata kama amelewa ulevi unakata then unarudi upya baada ya sala.

hapo me mwenyewe shahidi mkuu

Kijijini kwetu kweli raha bado mambo ya ndizi na matunda.

cha, iye koooo!!!!!!!!!!

Kilichonishangaza zaidi ni kuwa makao makuu ya mkoa kuna gym 1 tena ina masharti magumu sana kuweza kufaidi huduma hio. Zilizokuwepo zote zimefungwa na sijapata sababu ya msingi ila nahisi ni demand kuwa ndogo.

suprised tooo..?!

Je kijijini kwako?

pamoja na kwamba nimetoka huko long, hakuna tofauti sana na kwenu mkuu, au tunatoka kijiji kimoja?
 
Good Morning wananchi !

May be good evening....

I just joined this interesting forum. Those who have information about Khat, miraa, mirungi PLEASE SHARE WITH ME.

Hivi khat ndio mirungi. Nataka kujua kama wanawake wengi kiasi wanatumia, ama ni jamii gani hasa hupendelea hii kitu.

SUALA LA kHAT LIMENIVUTIA!. kama una information yoyote email me at sozina.jasper@yahoo.com nafaya research ya hii kitu kwa afya ya wanawake.

I believe it is still not banned in TZ kwa hiyo hutumika kihalali.

wewe kwa nini umetaka kujua habari za Khat? anyway kukufahamisha ni kuwa khat, mirungi,miraa ni kitu kimoja tofauti ya majina inategemea ni wapi. Somalia ndio hasa chimbuko kuu na kule ndio inaitwa khat, Kenya wanaiiita miraa, TZ ndio inaitwa mirungi. Hapa TZ ni marufuku kufanya biashara ya mirungi, so usifikiri utapata soko kama ndio biashara unayotegemea kufanya. itakulipa zaidi ukiifanyia Somalia wateja ni wengi kule na pia wanawake wa kisomali wanatumia, kuhusu kuipenda hatujawauliza kwa sababu wanawake wa kitanzania hawatumii......nadhani umeridhika
 
Mkuu, umenikumbusha mbaliiii!

Niko kijijini kwetu kwa vacation nilikuwa sijafika kwa miaka 2 nimefurahi kukuta maendeleo ambayo ni mazuri kwa mfano barabara ina kiwango cha lami hadi karibu na mpakani.

me nina miaka 3 sijaenda sipati picha pakoje kwangu kwa sasa, sijui hiyo barabara ya kutoka marangu kwenda rombo imefikia wapi?

Ila kilichonishangaza ni hizi nyumba za kifahari kali kuliko hata baadhi ya nyumba za maeneo ya masaki na O'bay ambazo hazina wapangaji wala mtu anayeishi, unakuta nyingi zina babu na bibi ambao wanafanya usafi na kuitunza. Kwa mtazamo wangu tungejenga rum 2/3 kwa ajili ya siku kuu za xsmas na mwaka mpya na hizo hela zikafanya mambo mengine. najua huku kuna mashule na hospital basi tusaidie wengine/wa eneo tofauti. Baadhi ya hizi nyumba zingekuwa zinabebeka zingekuwa dispensary maeneo mengine au hata hospitali za rufaa.

kwetu tangu 2001 mambo yalikuwa hivi, yani kosoka iho mrarunyi koambiya numba tso chandu tsiwaka lee, leka tupu.

Hapa kijijini kwetu raha kweli ukiwa padre unaheshimika kuliko hata waziri wala mmbunge. Ukisoma seminary ukaacha unaweza pewa radhi na bibi yako...huku padre anaitwa mopiaa....raha kweli.

hapo nilipobold nimecheka kweli kweli, umenikumbusha mbali sana

Kuna makanisa yenye kengele ambazo ingekuwa dar ikipigwa ule mchana kwa mfano st. Peters wangesikia hadi bagamoyo. Ikipigwa hata kama mtu anakunywa/ria pombe ya mbege anaacha na kusali sala ya malaika/anjelusi hata kama amelewa ulevi unakata then unarudi upya baada ya sala.

hapo me mwenyewe shahidi mkuu

Kijijini kwetu kweli raha bado mambo ya ndizi na matunda.

cha, iye koooo!!!!!!!!!!

Kilichonishangaza zaidi ni kuwa makao makuu ya mkoa kuna gym 1 tena ina masharti magumu sana kuweza kufaidi huduma hio. Zilizokuwepo zote zimefungwa na sijapata sababu ya msingi ila nahisi ni demand kuwa ndogo.

suprised tooo..?!

Je kijijini kwako?

pamoja na kwamba nimetoka huko long, hakuna tofauti sana na kwenu mkuu, au tunatoka kijiji kimoja?

koose kukeri kuro..chaa kui cha mochi lanye....wechirera sana lakinyi mochi koendelea iwa wuye.....viva Kipoo, viva kimawenze, viva mochi
 
Mkuu umenena kidogo,
Historia ya nchi naijua. Mkoloni kweli aliegemea maeneo yenu nadhani ni hali ya hewa. *Mengine ya kujenga shule, vituo vya mission ambavyo ni chachu ya maendeleo nakubali kabisa. Lakini Mkoloni hakupenda tu maeneo yenu, tuangalie Mikoa ya kusini hasa Ruvuma, mkoloni aliyapenda na akajenga vituo vya missio vikubwa tu (peramiho) lakini maendeleo ya mikoa hiyo hayalingani kamwe na maeneo yenu. Nachelea kusema kuwa, uwepo wa viongozi wengi wa serikali kutoka maeneo ya kaskazini hasa kwenye wizara nyeti kama fedha na ngazi kubwa (uwaziri mkuu) angalia hata sasa TRA kumeweza kubadili hali ya mambo. Sisemei lingine, ni kuipa kipaumbele mikoa ya kaskazini na kuisahau mikoa mingine (Angalia vitega uchumi vya serikali katika mikoa hiyo).

Suala la kwa nini viongozi wetu hawajali kwao, hapo sikubaliani na wewe, viongozi wetu waliopo wachache na kwenye maeneo yasiyo kuwa nyeti wanajali kwao. Kumbuka Bungeni kulizuka zogo, baada ya Basil Mramba akiwa waziri wa miundo mbinu kutenga fedha za kujenga barabara ya Tarakea ambayo haikuwa kwenye orodha ya barabara za kujengwa na kuinyima barabara ya Itigi-Tabora-kigoma ambayo ndiyo ilikuwa kipaumbele (alaniwe Mramba)

Kutoka kwenye maelezo yako sasa, nachukua juhudi binafsi za wananchi za kujiletea maendeleo bila kusubiri serikali hapo umenena, hasa utunzaji wa mazingira kupitia kauli mbiu ya Msarakambo (Lakini isiwe inafadhiliwa na mafisadi wa maeneo hayo). Mkakati huu nadhani ndio utatuokoa kuliko kutegemea fedha za serikali tu ambazo wenye kutoa maamuzi wana akili kama ya Mramba

Msarakambo ni njia ya jadi ilikuwa inatumika siku nyingi kabla hata ya kuja wakoloni na bado ipo.

Bado nasemA MUNGU, ibariki mikoa ya pembezoni ikumbukwe kama mikoa mingine

Bolded Black-Kumbuka pia kuna vivutio vya utalii kama Mlima kilimanjaro,Mbuga za wanyama na Ngorongoro creta (iko ktk maajabu 8 ya dunia)

Kijijini kwetu hakuna mafisadi,

Hata kwetu hakuna mafisadi na ukiangalia mtiririko utaona niliangalia vitu vinavyochekesha nakusifia pale panakostahili.

Mkuu, umenikumbusha mbaliiii!

Pamoja mkuu wewe unaweza kuwa home boy/girl prodactizo

Niko kijijini kwetu kwa vacation nilikuwa sijafika kwa miaka 2 nimefurahi kukuta maendeleo ambayo ni mazuri kwa mfano barabara ina kiwango cha lami hadi karibu na mpakani.

me nina miaka 3 sijaenda sipati picha pakoje kwangu kwa sasa, sijui hiyo barabara ya kutoka marangu kwenda rombo imefikia wapi?

Ila kilichonishangaza ni hizi nyumba za kifahari kali kuliko hata baadhi ya nyumba za maeneo ya masaki na O'bay ambazo hazina wapangaji wala mtu anayeishi, unakuta nyingi zina babu na bibi ambao wanafanya usafi na kuitunza. Kwa mtazamo wangu tungejenga rum 2/3 kwa ajili ya siku kuu za xsmas na mwaka mpya na hizo hela zikafanya mambo mengine. najua huku kuna mashule na hospital basi tusaidie wengine/wa eneo tofauti. Baadhi ya hizi nyumba zingekuwa zinabebeka zingekuwa dispensary maeneo mengine au hata hospitali za rufaa.

kwetu tangu 2001 mambo yalikuwa hivi, yani kosoka iho mrarunyi koambiya numba tso chandu tsiwaka lee, leka tupu.

Hapa kijijini kwetu raha kweli ukiwa padre unaheshimika kuliko hata waziri wala mmbunge. Ukisoma seminary ukaacha unaweza pewa radhi na bibi yako...huku padre anaitwa mopiaa....raha kweli.

hapo nilipobold nimecheka kweli kweli, umenikumbusha mbali sana

Kuna makanisa yenye kengele ambazo ingekuwa dar ikipigwa ule mchana kwa mfano st. Peters wangesikia hadi bagamoyo. Ikipigwa hata kama mtu anakunywa/ria pombe ya mbege anaacha na kusali sala ya malaika/anjelusi hata kama amelewa ulevi unakata then unarudi upya baada ya sala.

hapo me mwenyewe shahidi mkuu

Kijijini kwetu kweli raha bado mambo ya ndizi na matunda.

cha, iye koooo!!!!!!!!!!

Kilichonishangaza zaidi ni kuwa makao makuu ya mkoa kuna gym 1 tena ina masharti magumu sana kuweza kufaidi huduma hio. Zilizokuwepo zote zimefungwa na sijapata sababu ya msingi ila nahisi ni demand kuwa ndogo.

suprised tooo..?!

Je kijijini kwako?

pamoja na kwamba nimetoka huko long, hakuna tofauti sana na kwenu mkuu, au tunatoka kijiji kimoja?

Inawezekana ukawa ndugu yangu wewe siunajua majina yetu huku ni ya bandia??
 
Nguli na NPL kijiji chenu kimenipa changamoto kubwa sana kuhusu kijiji chetu
 
Mkuu umenena kidogo,
Historia ya nchi naijua. Mkoloni kweli aliegemea maeneo yenu nadhani ni hali ya hewa. *Mengine ya kujenga shule, vituo vya mission ambavyo ni chachu ya maendeleo nakubali kabisa. Lakini Mkoloni hakupenda tu maeneo yenu, tuangalie Mikoa ya kusini hasa Ruvuma, mkoloni aliyapenda na akajenga vituo vya missio vikubwa tu (peramiho) lakini maendeleo ya mikoa hiyo hayalingani kamwe na maeneo yenu. Nachelea kusema kuwa, uwepo wa viongozi wengi wa serikali kutoka maeneo ya kaskazini hasa kwenye wizara nyeti kama fedha na ngazi kubwa (uwaziri mkuu) angalia hata sasa TRA kumeweza kubadili hali ya mambo. Sisemei lingine, ni kuipa kipaumbele mikoa ya kaskazini na kuisahau mikoa mingine (Angalia vitega uchumi vya serikali katika mikoa hiyo).

Suala la kwa nini viongozi wetu hawajali kwao, hapo sikubaliani na wewe, viongozi wetu waliopo wachache na kwenye maeneo yasiyo kuwa nyeti wanajali kwao. Kumbuka Bungeni kulizuka zogo, baada ya Basil Mramba akiwa waziri wa miundo mbinu kutenga fedha za kujenga barabara ya Tarakea ambayo haikuwa kwenye orodha ya barabara za kujengwa na kuinyima barabara ya Itigi-Tabora-kigoma ambayo ndiyo ilikuwa kipaumbele (alaniwe Mramba)

Kutoka kwenye maelezo yako sasa, nachukua juhudi binafsi za wananchi za kujiletea maendeleo bila kusubiri serikali hapo umenena, hasa utunzaji wa mazingira kupitia kauli mbiu ya Msarakambo (Lakini isiwe inafadhiliwa na mafisadi wa maeneo hayo). Mkakati huu nadhani ndio utatuokoa kuliko kutegemea fedha za serikali tu ambazo wenye kutoa maamuzi wana akili kama ya Mramba

Bado nasemA MUNGU, ibariki mikoa ya pembezoni ikumbukwe kama mikoa mingine
Mzee Fugwe, mimi nimefanya kazi Mwanza na nimepita mikoa mingi ya bara na sasa nafanya kazi Arusha na hawa ndugu zetu wanaojisifia wanastahili kujisifu kwa kuangalia Arusha! si ati wanapendelewa kama unavyodhani hawa watu ndo wanajenga Arusha sasa! sekta ya utalii na madini wapo na hata Mwanza na Tanga wanakuja kwa kasi! hata kwetu Iringa wapo hawa bwana!

Ukiangalia uwepo wao kwenye serikali si mkubwaa sana kama unavyosema hapa! ukifanya uchunguzi utagundua Nshomile wako wengi sana hasa kwenye nafasi za ukatibu mkuu! sasa mbona huko Kagera hamna maendeleo namna hiyo na wako mipakani pia? yaani ni nafasi nzuri ya kuwekeza kibiashara ukiangalia ukiacha majigambo yao wengi wa Nshomile wanazo yaani matajiri!

Ila kuna suala la kujituma na mwamko wa maendeleo! Hata tukisema wasipewe cheo chochote kwenye serikali naamini bado wataendelea kwa vile wana mwamko! Pita Arusha uone! Hufuata penye pesa na kufanya kazi hawajali wako wapi, kitu ambacho kila Mtanzania anaruhusiwa na anapaswa kuiga!
 
.

Kuna makanisa yenye kengele ambazo ingekuwa dar ikipigwa ule mchana kwa mfano st. Peters wangesikia hadi bagamoyo. Ikipigwa hata kama mtu anakunywa/ria pombe ya mbege anaacha na kusali sala ya malaika/anjelusi hata kama amelewa ulevi unakata then unarudi upya baada ya sala.

haya makengele huitwa kimanga. nadhani tabata kimanga wamekopi huko
 
Kuna makanisa yenye kengele ambazo ingekuwa dar ikipigwa ule mchana kwa mfano st. Peters wangesikia hadi bagamoyo. Ikipigwa hata kama mtu anakunywa/ria pombe ya mbege anaacha na kusali sala ya malaika/anjelusi hata kama amelewa ulevi unakata then unarudi upya baada ya sala.

[/QUOTE]

haya makengele huitwa kimanga
 
hayo makengele bwana nguli waambie huitwa kimanga. kule kwetu kama mrema angekuwa bado CCJ, sorry CCM ungekuta tuna lami hadi kiraracha. siasa si nzuri kiivyo
 
acheni kuongea kilugha mnatuharibia thread.
SALAMU YETU UREWEDI.soon nakuja kuwapa mambo ya kijijini kwetu dengelua ikiwa included.
 
Niko kijijini kwetu kwa vacation nilikuwa sijafika kwa miaka 2 nimefurahi kukuta maendeleo ambayo ni mazuri kwa mfano barabara ina kiwango cha lami hadi karibu na mpakani.

Ila kilichonishangaza ni hizi nyumba za kifahari kali kuliko hata baadhi ya nyumba za maeneo ya masaki na O'bay ambazo hazina wapangaji wala mtu anayeishi, unakuta nyingi zina babu na bibi ambao wanafanya usafi na kuitunza. Kwa mtazamo wangu tungejenga rum 2/3 kwa ajili ya siku kuu za xsmas na mwaka mpya na hizo hela zikafanya mambo mengine. najua huku kuna mashule na hospital basi tusaidie wengine/wa eneo tofauti. Baadhi ya hizi nyumba zingekuwa zinabebeka zingekuwa dispensary maeneo mengine au hata hospitali za rufaa.

Mkuu,

Natabiri kijijini kwako ni Rombo, kama sio basi ni kijiji kati ya vijiji mkoani Kilimanjaro. Mimi kijijini kwangu ni karaha tupu. Hakuna jipya kule na mbunge wetu kule ni mmoja kati ya mafisadi wachache lakini alitumia nafasi yake kujinufaisha zaidi yeye na jamaa zake wa karibu. Kule umasikini ni kama kawaida tu. Kuna dispensary moja inayohudumia vijiji karibu kumi lakini hakuna dawa hata Asprin hakuna. Unaandikiwa dawa ambayo ili uipate lazima uende kwa agent wa the so called Doctor ambaye kimsingi ni RMA. RMA anafanya biashara ya kuuza dawa kwa kumtumia agent wake. La sivyo inabidi upande HIACE kwenda makao makuu ya wilaya na mkoa kununua hizo dawa. Gharama ya HIACE kwenda na kurudi ni Tshs. 7,000. Nikienda kijijini likizo wakati mwingine natokwa na machozi na ukijaribu kuwapa somo kwamba umasikini wao chanzo chake nikuipigia kura CCM hawaelewi kabisa. Inasikitisha kwamba kule vijijini ukienda KINYUME na matakwa ya viongozi wa CCM unashughulikiwa!!!

Tiba
 
koose kukeri kuro..chaa kui cha mochi lanye....wechirera sana lakinyi mochi koendelea iwa wuye.....viva Kipoo, viva kimawenze, viva mochi
wachaka wekyengyichihira sana yaani, wakapata eleri tupu wekyendesungusia kanyi kuoka, nyi londu wakacheiendelea na kunu mrinyi
big up kina mangi, bwashe n.k!!
 
Back
Top Bottom